Watawala na Watawaliwa:-"Inawezekana tatizo la panya kwa paka lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo.
Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni" - Mwl. J. K. Nyerere
Nataka nifuge pet ikiwa ni kama kiumbe alieumbwa kutoka kwa muumba alietuumba hata sisi wanadamu na vingine vilivyomo ndani ya dunia.
Nao ni viumbe kama sisi wala si wa kuchukiwa, kunyanyaswa, kudharauliwa, n.k. kufanya matendo haya mabaya kwao ni sawa na kumdharau muumba aliyewaumba...
Halafu mnaosema kuwa sijui ukiona Paka na Paka 'Wananyanduana" utakufa au utapatwa na Misiba Mimi mbona nina bahati ya Kushuhudia huo 'Unyanduano' Wao ila sijafa na wala sijapokea Taarifa yoyote ile ya Msiba?
Na ninachokipenda hasa ( zaidi ) katika "Mnyanduano' wa Paka na Paka ni pale Paka Jike...
Ili kudhibiti kuenea na kusambaa kwa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa sheria inasema kila mfuga mbwa au paka kumchanja ili kuzuia kichaa cha mbwa na endapo hatozingatia basi adhabu yake ni faini ya kati ya Shilingi 500,000 hadi Shilingi milioni 10 au kifungo cha mwaka mmoja jela.
Mkurugenzi wa...
Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa...
Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka!
David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA waliruhusu mazingira yamuondoe!
Dr. slaa, huyu aliishika nchi kisawa sawa, watu hawakuwa wanaogopa...
Katika mji wa Yangzhou, Jiangsu, China, duka la kwanza la paka limefunguliwa rasmi. Duka hilo lina zaidi ya paka 70 wa aina mbalimbali.Wapenzi wa paka na watoto wanaweza kununua na kucheza na paka katika duka hilo.
Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao
Inasemekana jamaa kafariki dunia
Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu...
Msako wa Wanigeria wanaoweza kubadilika na kuwa paka
21 Machi 2022
Onyo: Makala haya yana maelezo ambayo yanaweza kuwakera baadhi ya wasomaji
Wale waliokuwa na hamu ya kukaribia soko la Gbagi walitawanyika haraka waliposikia ujumbe wake. "Mtu yeyote ambaye anaweza kutoa ushahidi wowote wa...
Napenda sana wanyama, kwangu ni viumbe wenzetu tulioumbwa nao pamoja isipokuwa sisi tulipewa upendeleo mkubwa wa kuwa na akili na kupewa mamlaka juu yao. Hata nyumbani kwangu nawajali sana wanyama, hata kuku nikimleta kwajili ya kitoweo basi haki yake ya mchele, maji na banda safi ataipata.
Ipo...
Paka Reuben sasa anajulikana kama
, Sir Ruben J. Cat, KBE
A cat in Exeter who is famous for moving into peoples homes for months at a time is to have a book published about his adventures.
Ruben the cat is well known for wandering the streets of Exeter and paying visits to houses around his...
Wanachokifanya Marekani, NATO na mataifa ya magharibi kwa ujumla dhidi ya urusi ni kuifunga mikono na miguu Urusi wakati ikipigana na ukraine, ili kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo. Hakuna asiyejua kuwa nguvu ya kiuchumi ndiyo mikono na miguu inayohitajika sana wakati wa vita ili kuwezesha...
Kiukweli paka ni wanyama wakatili sana, kuna paka hapa nyumbani huwa akikamata panya huko store inakuwaga ni mateso makali sana kwa panya.
Anachofanya anambeba panya kwa mdomo anamleta uwanja wa wazi anamwachia, hapo panya akianza kukimbia paka anamrukia anampiga makucha panya, anambeba upya...
Kwakuwa Siku hizi kupatikana kwa PhD's ( Doctorates ) ni rahisi nchini Tanzania mwakani GENTAMYCINE nami najiandaa Kukiomba Chuo Kikuu Kimoja ( siyo cha Genius cha SAUT ambacho nimesoma na Kupikika vyeka ) kuwatunuku ambapo nitalipia pia Mbwa wangu Kipenzi aitwae Baitekon na Paka wangu Rafiki...
Ni mshangao mkubwa haya kutokea kwa upande wa serikali yenye kupaswa kuupata uhalali wake kutokea kwa wananchi wanaoilipa kodi.
Ni mshangao mkubwa zaidi kuwa walioko huko serikalini tunaowalipa mishahara na marupurupu wanaweza kufikia kucheza na haki za wananchi kwa kiwango hiki.
Kwamba...
Paka ni jamii ya wanyama wadogo, na mara nyingi hujulikana kama paka wa kufugwa ili kumtofautisha na wanyama wa mwituni. Paka anaweza kufugwa kama paka wa nyumbani, paka wa shambani au paka wa porini (Kimburu) ambaye yupo huru na huepuka kuwasiliana na binadamu.
Paka wa nyumbani huthaminiwa na...
Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu.
Naomba jibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.