Paka: ni paka
Kila mtu: OMG
Wengi wetu hatukerwi na paka, hata Sheikh Walid Mehsas, akiongoza sala za usiku za Ramadhani nchini Algeria siku ya Jumatatu. Paka huyu mdadisi alionekana kufurahia maombi (huenda!, au labda alifikiri Sheikh alikuwa akificha kitu kizuri cha kula mahali fulani)...