palestina

  1. Ritz

    Maandamano ya kudai uhuru wa Palestina, Marekani hayatakoma pamoja na mkwara wa Trump

    Wanakumbi. Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud Khalil. ======================= Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC...
  2. Ritz

    Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano ya Palestina

    Wanaukumbi. ⚡️🇺🇸IRais wa Marekani Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano haramu" Haya yanajiri baada ya maandamano ya chuo kikuu yaliyokuwa yakitetea Wapalestina na Wazayuni wakidai kuwa maandamano haya ni "chukizo". Swali hapa ni: Je, ana...
  3. Ricky Blair

    Historia ya Palestina

    Kozi fupi ya historia ya DOLA YA KIPALESTINA: 1. Kabla ya Israel, kulikuwepo na mamlaka ya Waingereza, siyo dola ya Kipalestina. 2. Kabla ya mamlaka ya Waingereza, kulikuwepo Dola ya Ottoman, siyo dola ya Kipalestina. 3. Kabla ya Dola ya Ottoman, kulikuwepo dola ya Kiislamu ya Mamluk wa...
  4. Webabu

    Netanyahu na Trump wamechanganyikiwa kuhusiana na Hamas. Imekuwa kaa la moto. Waropokwa ovyo

    Njama dhidi ya Palesina,Gaza na Hamas zimeshindwa vibaya mpaka sasa kiasi kwamba wahusika wakuu kutoka Marekani na Israel wamekuwa wakiropokwa ovyo. Raisi Trump wiki mbili zilizopita alitoa ya moyoni yaliyokuwa wameyaficha pale aliposema anataka awahamishe wapalestina na kupajenga upya...
  5. george aloyce

    Hii ndio sababu kuu vita haitakuja kuisha Palestina vs Israeli

    MGOGORO PALESTINA, ISRAEL: UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina. Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na...
  6. Yoda

    Hospitali ya Sinza Palestina ina uhusiano gani na Palestina?

    Wajuzi wa Historia ya mji wa Dar es Salaam, Hospitali ya iliyoko Dar es Salaam inayoitwa Sinza Palestina ina uhusiano wowote na Palestina? Ilikuaje ikapewa hilo jina la Palestina?
  7. S

    Serikali ya Israeli na Hamas wamekubaliana juu ya makubaliano ambayo yatasimamisha mapigano huko Gaza

    Serikali ya Israeli na Hamas wamekubaliana juu ya makubaliano ambayo yatasimamisha mapigano huko Gaza na kusababisha kuachiliwa kwa hatua kwa hatua kwa mateka na wafungwa wa Kipalestina, vyanzo vinaeleza CNN. Chini ya makubaliano hayo, ambayo bado hayajatangazwa rasmi, Hamas na makundi ya...
  8. W

    Ni kama sielewi naombeni ufafanuzi, Kumewahi kuwa nchi au falme inayoitwa Palestina kabla ya 1948 inayoongozwa na waarabu kabla ya 1948 ?

    Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
  9. Ritz

    Israel na Palestina ziko mbioni kusitisha mapigano

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇮🇱 🇵🇸 Israel and Palestine are on the verge of a ceasefire Netanyahu is preparing to present the agreement to end the war in Gaza to his government tomorrow for approval. Channel 12 Hebrew published some details of the crystallized deal, quoting a political official...
  10. Minjingu Jingu

    Rashid Khalidi: Mauaji yaliyofanyika Palestina ni mauaji ambayo hayakuwahi kutokea hapo kabla

    Wana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.
  11. Morning_star

    Huu ni ukuta kati ya Palestina na Misri, halafu wee mbongo....?

    Jirani wa Palestina anawajua vizuri wapalestina jinsi walivyo!
  12. Mhaya

    Waislamu wanavyopitia hukumu ya Pilato huko Palestina na India

    Fujo za kidini huko Palestina na India zimekuwa na athari kubwa kwa jamii ya Waislamu, zikichangia matatizo makubwa ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hali hizi ni matokeo ya mizozo ya muda mrefu, ambapo Waislamu mara nyingi wanajikuta katika hali ngumu ya kimaisha kutokana na changamoto za...
  13. Mhaya

    Si mnaona Palestina na Israel hawaposti Pray for Kariakoo!

    Jamani tuacheni shobo (Ushauri na si kwa ubaya). Kama tunakutwa na janga, acha tupambane nalo, tuone wapi tumekosea na tujirekebishe. Haya mambo mengine ya kutaka watu wakuposti, wala hayasaidii. Watu wamepata matatizo, acha wapray wao kwa wao, kama sisi tunavyoachwa tupray sisi kwa sisi...
  14. G

    Baadhi ya contacts wanaweka status za Palestina sijawahi kuwasumbua, leo nimewka Status za Israel nimevamiwa inbox bila salamu

    Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status za kuonyesha huruma Israel inapotoa dozi. Napenda sana kutazama status, lakini huwa nashangaa sana...
  15. britanicca

    Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya 1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya Uingereza 1920-1948 wala...
  16. kwisha

    Kurudi kwa Israel pale Palestina ni mpango wa Mungu

    Najua wengi watabisha tu kutokana na ushabiki wao juu ya imani fulani Ila mimi ninasema ninachokiamini According to the bible Kurudi kwa israel ni mpango wa Mungu Na hakuna wakuzuia sio mrusi,mchina,mkorea, au nani mpango unabii ukamilike Kumbukumbu la Torati 30:3-5 [3]ndipo BWANA, Mungu wako...
  17. FatherOfAllSnipers

    Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania wameokoa Maisha yangu

    Assalam Aleykum! Habari zenu wakuu, mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu. Nilikuwa katika zunguka zunguka zangu hapa jijini kutafuta mkate wangu wa kila siku, nikiwa na njaa...
  18. Yoda

    Nani anaweza kushinda vita kati ya Ukraine na Palestina au angalau mwenye afadhali?

    Ukraine na Palestina wote wako katika vita vya muda mrefu dhidi ya mataifa makubwa yenye nguvu na yanayopigana vita kwa ukatili mkubwa sana. Kati ya hawa wawili nani angalau ana ishara ya kumshinda adui yake na kupata haki yake anayoidai au angalau kupata hata makubaliano ya amani yenye...
  19. Cecil J

    Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

    Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel. Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu...
  20. U

    Netanyahu sasa imetosha, uwafanyie wepesi ndugu zetu wa Palestina, naamini wameshajifunza na hivyo hawatorudia tena kufanya makosa

    Wadau hamjamboni nyote? Naomba sote kwa nguvu moja bila kujali itikadi zetu mniunge mkono ninapoa. WITO kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyau awaonee huruma ndugu zetu wa Mashariki ya kati na hivyo asitishe vita. Netanyau hao ndugu zetu ni wanyonge kwako na hakuna namna wanaweza kushindana nawe...
Back
Top Bottom