palestina

  1. Mpinzire

    Kwanini waliojaribu kutafutia suluhu ya mgogoro wa Israel na Palestina waliuawa?

    Kisa cha kwanza. May 20, 1948 UN ilimteua Count Folke Bernadotte kuwa mpatanishi mkuu katika mgogoro wa Israel na Palestina. Mapendekezo ya Count Folke Bernadotte 1. Kurejesha wakimbizi wa Kipalestina: wakimbizi wa Kipalestina waruhusiwe kurejea kwenye makazi yao au kulipwa fidia kwa mali zao...
  2. Eli Cohen

    Wanaharakati wa Palestina mbona hamkupiga kelele watoto wa Yemen kufa na utapiamlo kutokana na vita ya Houthi?

    Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote. Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop. Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu houthi kama vile mnavyo mshutumu israel. Kwa nini? Eti kisa ni Muyahudi. Hio inaprove unafiki na...
  3. H

    Ni ajabu kwa Watanzania kuchambua na kufuatilia mgogoro wa Israel na Palestina badala ya nchi yao

    Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao. Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga. Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
  4. Heart Wood.

    Ukifuatilia sana yanayojiri huko Israel, Lebanon, Iran, Palestina, Russia na Ukraine unaweza fikiri Dunia itawaka moto usiku huu na Kuteketea kabisa

    Wakuu, Kichwa cha thread chahusika. Yaani ukijifanya kuwa mfuatiliaji sana wa kinachojiri huko kwa wenzetu unaweza pata wasiwasi na kuhisi dunia itafikia mwisho usiku wa leo. Kumbe maisha yapo tu na yataendelea kuwepo sana. Mwanzoni wakati nasikia Russia ikiwapiga beat Ukraine pamoja na...
  5. H

    Watu 23 wa Israel wameuawa kufuatiwa kupigwa risasi na raia wawili wa Palestina

    Raia wawili wenye silaha wanaodaiwa kuwa wametoka Palestina wamewapiga Risasi watu 23 raia wa Israel apo Jana usiku kati kati ya mji mkuu wa Israel Tel Aviv. Vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha. Wakati huo huo Iran imerusha makombora aina ya ballastic yapatayo 300 leo usiku kama...
  6. Hypersonic WMD

    Kwanini Al jazeera huwa hawaoneshi video za Walestina wanaopinga Hamas?

    Wakuu ni nadra sana kuona hizi video mtandaoni hasa kwene media za al jazeera! Hawa raia wanawatukana Hamas kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga ndio yanawaua https://youtu.be/5JJK0X7D82w?si=BsTgKOsUjPAt__gz
  7. Pdidy

    Hizi pesa za silaha za vita palestina israel hezbollah zinatokea wapi jamani aisee

    Nikijaribu kuangalia Sudan Wanavyomalizana Congo wanavyomalizana Ethiopia wanavyomalizia Kule Chad nako wameanza kumalizana Narudi kwa vita vya Ukraine wanavyomalizana na Russia Nirejee Israel vs Palestine gaza na sasa vs Lebanon na wa hesbollah Nawaza ty hizi silaah zote zinatokea wapi...
  8. Mrengwa wa kulia

    ISRAEL kuikalia palestina Milele

    Wayahudi wana haki waliyopewa na Mungu kwa nchi hii. Kiongozi mmojawapo wa vyama viwili vya siasa kali za mrengo wa kulia, vinavyounga mkono walowezi, ambavyo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alivileta katika muungano wake wa serikali baada ya uchaguzi wa 2022. Smotrich anahudumu kama waziri wa...
  9. G

    West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  10. Bams

    Rais Fikiria Kumteua Awadhi Kuwa Balozi Palestina

    Mtu kuweza ku-perform vizuri ni pale unapompa kazi inayoendana na hulka yake. Maadam afande Awadh kila alipopita inaonekana ni mtu mwenye hulka ya kupenda kupigana, hulka ya kutotaka kutumia akili wala weledi, bali nguvu, huyu anaweza kuitendea vema hulka yake akiishi sehemu ambayo kuna...
  11. U

    Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi yake!

    Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi ya Iran! Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu hayo ni mapya kutoka Tehran Kwa naibu waziri mambo ya nje Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ALI BAGHER. Naibu waziri...
  12. B

    Palestina ni wahanga, Iran na Israel hawachekani, ila Marekani wapewe maua yao

    Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu. Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine? Kwa hakika Gen Z wamepata funzo: "Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha." Kwamba vita ni rasilimali ziwe...
  13. daraja la kigamboni

    Kabla ya vita vya Israel vs Palestina, Russia vs Ukraine hili jukwaa mijadala ilikuwa inahusu nini?

    Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo. Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
  14. FaizaFoxy

    Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

    Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman. Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za...
  15. E

    Hii ramani ya Palestina na Israel ni ya kweli ?

    Kama kweli ,hawa wapalestina wa bongo wanayaelewa haya ? Au wanashabikia tu vita vya gaza
  16. W

    inakuaje Nchi zinaungana kuipiga Israel lakini inashindikana, Yemen, Iran, Lebanon, Syria, Palestina hawaoni aibu?

    Na hapo kumbuka Israel inapigana kwa tahadhari ku target zaidi magaidi ili kupunguza casualities za civilians zisizokwepeka, ni tofauti na nchi hizi zingine ambazo hushambulia zaidi raia wa kawaida wa Israel, lengo lao huwa ni kuua raia wa Israel wengi kadri inavyowezekana. Hii sio mara ya...
  17. Yoda

    Wapenzi wa Palestina, rafiki yenu ni Democrats sio Republicans

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo analihutubia bunge la pamoja la Marekani (House of Representatives na Senate), nusu wabunge na maseneta kutoka chama cha Democrats wamesusia na kutohudhuria hotuba yake huku wabunge na maseneta karibia wote wa chama cha Republicans wakihudhuria.
  18. U

    Taarifa njema Mke wa Waziri Mkuu Victoria mteule Uingereza ni myahudi, Mungu ibariki Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi Mungu ibariki Israel Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother...
  19. MK254

    Afisa ugavi wa HAMAS auawa na Israel

    An IDF drone carried out a targeted attack on a vehicle carrying Hamas's Lebanon supplies director, Ayman Ratma, in the Bekaa Valley of Lebanon on Saturday, the military reported. Ratma had reportedly helped to direct weapons supplies for Hamas and Jamaa Islamiya in Lebanon. The army said that...
  20. dem boy

    Rasmi sasa Armenia nayo waitambua Palestina kama nchi

    aljazeeraenglish #Armenia has officially recognised a Palestinian state, the Armenian Foreign Ministry said in a statement on Friday, defying Israel, which is opposed to such moves.⁠ .⁠ Armenia supports a #UN resolution on an immediate ceasefire in Gaza and is in favour of a two-state solution...
Back
Top Bottom