Mpaka sasa meli mbili zimeshazamishwa na wapiganaji wa Yemen maeneo ya bahari nyekundu na bahari inayoizunguka Yemen.
Meli ya pili kuzama ni ile iliyoripotiwa kupigwa na droni ya baharini wiki iliyopita ambapo baharia mmoja alikufa papo hapo kabla ya wengine kuokolewa hapo juzi wakati meli hiyo...
Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.
Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za...
Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa 36,000 na 83,000 kujeruhuwa kwenye vita ambavyo havina umuhimu kwao.
============================...
Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na...
Norway ambayo ni moja ya nchi tatu zilizoamua kulitambua taifa la Palestina imesema uamuzi wake huo ni kuendana na makubaliano yaliyofikiwa nchini mwake mwaka 1993.
Makubaliano hayo yaliyotiwa saini White house nchini Marekani yalifanyika mwak 1993 wakati wa uongozi wa Yasser Arrafat na Bill...
Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah.
Nchi zilizoamua kuachana na ukiritimba wa Ulaya na kuamua kuitambua Palestina ni Ireland Spain na...
Uamuzi wa Hamas kulitetea taifa la Palestina unaendelea kuzaa matunda kwa mataifa mengi zaidi kuendelea kulitambua taifa hilo katika ngazi ya Umoja wa mataifa.
Katika kura zilizopigwa jana kwenye baraza kuu la UN jumla ya kura 143 ziliunga mkono,Tisa tu ndizo zilizokataa na 25 wakaamua kutopiga...
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa...
Wanakumbi.
🚨🇺🇳🇵🇸BREAKING: UN YAPITIA AZIMIO LA KUSAIDIA UANACHAMA WA PALESTINA
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha kwa wingi azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya na kuunga mkono uanachama kamili wa Palestina katika Umoja wa Mataifa.
Nchi mia moja arobaini na...
Imagine karne moja iliyopita kulikuwa na vita za kidunia Hitler na wenzake walihukumiwa na kuchorwa katika picha ya ugaidi, kiongozi wa kiimla, iddi amini dada alionekana ni the same, Gadadi na wengi neo.
Kwa bahati mbaya zaidi hakuna mtu ambaye amepinga vitendo vya jeshi la NATO dhidi ya...
Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika?!
2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na kina Muroto?! Hawa ndugu si walikuwa wakimnyooshea kidole jiwe dhidi ya migomo na maandamano?! Kumbe na wao, ni wachumba tu?!
3. Kulikoni leo Marekani kuyadurufu ya "vipigo vya...
Kumekuwepo na nukta ambazo zimekwamisha makubaliano ya kusitisha vita kwa muda mrefu kati ya Israel na Hamas.
Israel imeshikilia haitaki kuona Hamas ikiendelea kuitawala Gaza na la plli ni kupata mateka wote wanaoendelea kushikiliwa na Hamas.
Kulikuwa na baadha ya nukta pia viongozi wa Hamas...
Katika utambuzi wake huo Jamaica imesema imefanya hivyo kwa kutekeleza maazimio ya umoja wa mataifa na kanuni za usawa na kuheshimiana.
Kilichoisukuma kufanya hivyo ni vita vinavyoendelea Gaza na dhulma wanazofanyiwa wapalestina.
Ni nchi gani zitafuata kufanya maamuzi ya hekima kama ya Jamaica.?
Kila mara na kila wakati tumekuwa tukisema hapa JF, uislamu hauwezi kuwaunganisha waarabu na haujawahi kuwaunganisha waarabu (kwa sababu waarabu sio waumini wazuri wa kiislamu japokuwa hutumia uislamu kama utamaduni wao wa kujitambulisha, kujisambaza duniani na kufunikia mambo yao).
Ni rahisi...
1. Pigo jingine kwa Benjamin Natenyahu; ushindi mwingine kwa wapalestina na HAMAS.
2. Wapigania katiba wa kwetu hawatambui haki hupiganiwa kwa jasho na damu ikibidi. Wamekaa kitako, kuilaumu CCM.
3. Viva HAMAS, viva Palestina; mlidhamiria na kwa hakika ushindi unanukia sasa kuliko wakati...
Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Ijumaa April 05.2024 anatarajia kushiriki maandamano yaliyoandaliwa na waumini wa Kiislam wa dhehebu la Shia yanayolenga kupinga mauaji ya Halaiki na dhulma dhidi ya raia wa Palestina, yanayotarajiwa kufanyika Ilala Boma, Dar es Salaam...
Joto la vita limeanza kupanda ndani ya Jordan ambayo pamoja na Misri ndizo nchi muhimu kwa usalama wa Israel.
Wananchi wa nchi hiyo hawajaridhishwa na namna nchi yao ambayo ina udugu mkubwa na Palestina kwa namna inavyoshughulikia madhila ya wapalestina na vita vya Gaza. Hata walipomuona mfalme...
Wanaharakati wanaopigania haki za wapalestina wametoa uchambuzi ukifafanua juu ya uharamu wa bandari inayoendelea kujengwa na Marekani eneo la Gaza kwa kisingizio cha kupeleka misaada.
Mshangano wa mwanzo wa wanaharakati hao ni kuwa Marekani imepeleka malori na mashine nzito za ujenzi zipatazo...
Wale wanaotaka Palestina irejeshwe, nawajuza kuwa Palestina haijawahi kuwapo kwenye sura ya dunia.
1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina
2. Kabla ya Ukoloni wa Mwingereza mwaka 1917 kulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.