palestina na israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Israel yavamia makazi ya Wakristo na kuchoma kila kitu!!

    Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli. ======= An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank. Palestinian Christians, the first Christians in...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Indonesia Prabowo Subianto: Tuko tayari kuitambua Israel ikiwa Israel itaitambua Palestina

    Rais wa Indonesia Prabowo Subianto alisema Indonesia iko tayari kutambua na kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel ikiwa Tel Aviv italitambua taifa la Palestina. Iwapo Indonesia inataka uhusiano wa kidiplomasia, wanapaswa kusaidia kwa kuchukua baadhi ya ndugu zao Waislamu—Wapalestina...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kwa Unafiki wao, Aljazeera hawawezi kukuonyesha video hii

    Jana baada ya Israel kutoa amri ya watu kuhama kwenye maeneo yao na kwenda sehemu nyingine walioelekezwa, Majeshi ya Israel 🇮🇱 jiani talia za kugawa maji na bites kwa wanawake na watoto waliokuwa wanahama. Aljazeera kwa unafiki wao hawawezi kabisa kuonyesha video hiyo maana wao ni wazee wa...
  4. adriz

    JamiiForums Tanzania Historia isiyozungumzwa : Vijue vikundi vya Kigaidi vya kizayuni na operations zao katika kupigania Ardhi ya Palestina mpaka kuunda IDF

    Moja kwa moja. NB : Huu Uzi umejikita zaidi kuzungumzia harakati za chinichini za Siri na wazi za Mazayuni zenye malengo wa Kigaidi zilizopelekea kuunda Taifa la Israeli . Kabla ya kuundwa kwa Taifa la Israel Jamii mbalimbali za Waislamu , Wakristo na Wayahudi walikuwa wakishi kwa amani katika...
Back
Top Bottom