Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Jana baada ya Israel kutoa amri ya watu kuhama kwenye maeneo yao na kwenda sehemu nyingine walioelekezwa, Majeshi ya Israel 🇮🇱 jiani talia za kugawa maji na bites kwa wanawake na watoto waliokuwa wanahama.
Aljazeera kwa unafiki wao hawawezi kabisa kuonyesha video hiyo maana wao ni wazee wa Propaganda za Israel inaua wanawake na watoto bila kusema ukweli wa mambo!
Aljazeera kwa unafiki wao hawawezi kabisa kuonyesha video hiyo maana wao ni wazee wa Propaganda za Israel inaua wanawake na watoto bila kusema ukweli wa mambo!