Kwa Unafiki wao, Aljazeera hawawezi kukuonyesha video hii

Mna bahati sana Israel sio China au Urusi, mngepigwa carpet bombing bila kujali mende au kunguni, nyie na dini na miungu yenu mliyobuni juzi mna bahati sana.
Nakuhakikishia huyu ndugu yetu hawezi kuonesha cheti wala ushuhuda wa kuwa na taaluma yoyote ile,si dini wala dunia. Nipo hapa namngoja. Wenye Elimu hawazungumzi hivi.
 
Mna bahati sana Israel sio China au Urusi, mngepigwa carpet bombing bila kujali mende au kunguni, nyie na dini na miungu yenu mliyobuni juzi mna bahati sana.
Nakuhakikishia huyu ndugu yetu hawezi kuonesha cheti wala ushuhuda wa kuwa na taaluma yoyote ile,si dini wala dunia. Nipo hapa namngoja. Wenye Elimu hawazungumzi kama anavyozungumza.
 
Mtu alieelimika/msomi siku zote huwa anatanguliwa na Humanity, ukimuona mtu yeyote wa dini yeyote hana utu basi jua kosa sio la dini yake bali kosa ni yeye kukosa Misingi ya Utu,malezi sahihi,na Mafundisho au Taaluma.
 
Wenye lana ya asili ni wale wana Abudu ngo'mbe na binadamu
Kwahiyo ardhi ni muslims? Maana Quran chapter 2 ni Ng'ombe Al-Baqarah
Mudy aliiba kwa Hindu

Al-Baqarah (Arabic: الْبَقَرَة, ’al-baqarah; lit. "The Heifer" or "The Cow"), also spelled as Al-Baqara, is the second and longest chapter (surah) of the Quran.[1] It consists of 286 verses (āyāt) which begin with the "muqatta'at" letters alif (ا), lām (ل), and mīm (م).[2][3] The Verse of Loan, the longest single verse in the Quran, is in this chapter.

1747590593401.jpeg
 
Mimi ni muislam sipo upande wa yeyote katika hao, pia sifurahishwi na alichokifanya Israel wala hamas, naamini kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu kuwa kila mwanaadam ana haki ya kuishi kwa amani bila kujali tofauti za kidini,kikabila,wala utaifa.
Haumin katika kumpigania uislam dini ya Allah kama wafanyavyo hamasi ili wakifika akhera wakabidhiziwe mabikira wao

Utakuwa kafiri wewe
 
Kwahiyo ardhi ni muslims? Maana Quran chapter 2 ni Ng'ombe Al-Baqarah
Mudy aliiba kwa Hindu

Al-Baqarah (Arabic: الْبَقَرَة, ’al-baqarah; lit. "The Heifer" or "The Cow"), also spelled as Al-Baqara, is the second and longest chapter (surah) of the Quran.[1] It consists of 286 verses (āyāt) which begin with the "muqatta'at" letters alif (ا), lām (ل), and mīm (م).[2][3] The Verse of Loan, the longest single verse in the Quran, is in this chapter.

View attachment 3338415
We dogo huna elimu ya dini zaidi ya ku copy copy hadith fake. Eti Paulo alitumwa na Allah hapo ndio umeniwacha hoi nikaona nisipoteza mda na mjinga kama wewe

وَعِبَادُ الرَّحْمَٰنِ الَّذِينَ يَمْشُونَ عَلَى الْأَرْضِ هَوْنًا وَإِذَا خَاطَبَهُمُ الْجَاهِلُونَ قَالُوا سَلَامًا

The servants of the Most Merciful are those who walk upon the earth easily, and when the ignorant address them, they say, “Peace.”
 
Mimi na chuki na wale hawana utu wa kwanza wewe unacho shangilia kule Gaza inaonyesha wazi wewe huna ubinadamu kabisa, na mara nyingi sana ukichunguza anaye furahia watoto kufa yupo kwenye ma group haya atakuwa ni shoga, au hana watoto au hakulelewa na wazazi wake inaonyesha ulilelewa na chinja chinja tu au mama wa kambo.
Mimi huwa naripoti tu yanayotokea hata siku moja sijawahi kuripoti uongo kwa watoto wanauliwa huo uongo mimi siwezi kuufanya hata siku moja.
 
Anhaa kumbe unaleta habari huna uhakika nazo hebu tuonyeshe video ya Abu Obaida kafaa au Mohamed Al Sinwar kama huna basi wewe ni.muza kanga tu
 
Mimi sipelekeshwi na Mjinga na Mpumbavu!!
Kwa taarifa yako tu Jioni hii tulikuwa kwenye sherehe kusherehekea vifo vya Magaidi 3 Yahya Sinwar,Mohamed Sinwar na Mdogo wao Zacharia Sinwar tumekula sana halua na Tende tumeambiwa jinsi walivyokuwa wanaua watu.

Kusema kweli hao walikuwa si watu ni nusu watu nilizoea kula tenda za msaada Ziemka kwenye malkontenta miezi mingi leo nimekula halua na Tende flesh kabisa kuna jamaa yetu Mwarabu anaitwa Yoseif Haddad angalia hiyo video akigawa Halua na Tende kwa washiriki utapendaaaaaaa!!!
 
Attachments

  • video_2025-05-18_21-58-28.mp4
    14.5 MB

Echolima1 kwa Bata unalokula Israel utarudi bongo kweli wewe mtumish
 
Kwa hio shoga unashindiliwa tu huko Tela Aviv safi sana
 
Mimi ni muislam sipo upande wa yeyote katika hao, pia sifurahishwi na alichokifanya Israel wala hamas, naamini kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu kuwa kila mwanaadam ana haki ya kuishi kwa amani bila kujali tofauti za kidini,kikabila,wala utaifa.
Ok Brother je kwa hali hii ambapo Hamas waliteka watu 251 na kuua 1,200 Israel inataka mateka wake warudishwe na Hamas hawataki je Israel inavyotaka watu wake inakosea wapi?

Je dini yenu inaruhusu kuteka nyara maiti na kuzikatalia mpaka mlipwe?
 
Echolima1 kwa Bata unalokula Israel utarudi bongo kweli wewe mtumish
Jun 08,2025 Narudia ni nyumbani huko huku niko ugenini tu!! Ila jamaa pamoja na kuwasema vibaya jamaa wana maendeleo makubwa sana natamani hata nchi yangu ingekuwa hivi!!!

Kama kula Bata huku kuna watu wanakula bata kweli kweli!!!
 
We dogo huna elimu ya dini zaidi ya ku copy copy hadith fake. Eti Paulo alitumwa na Allah hapo ndio umeniwacha hoi nikaona nisipoteza mda na mjinga kama wewe

وَعِبَادُ الرَّحْمَٰنِ الَّذِينَ يَمْشُونَ عَلَى الْأَرْضِ هَوْنًا وَإِذَا خَاطَبَهُمُ الْجَاهِلُونَ قَالُوا سَلَامًا

The servants of the Most Merciful are those who walk upon the earth easily, and when the ignorant address them, they say, “Peace.”
Hahaha cheki Mungu wenu huyo mmoja hajazaa Hana mshirika halafu Hadi ana kinyeo.

FB_IMG_1747606601930.jpg

Jagina Malaria 2

Nyau de adriz
 
Na wanaloliabudu na kulisujudia nakulipa uungu Jiwe moja jeusi halijazaa Na halina mshirika.

Jagina

Nyau De adriz
Nani anaye abudu jiwe jeusi hahahaha mnataka kufananisha Uislam na upagani. Nyie ndio mnasala special mnaita stone prayer hahaha. Upagani kuabudu binadamu ambaye ni Yesu, na baniani kuabudu ngo'mbe.

Hebu we tafuta Muislam hata aliye enda Makkah Al Mukarama mulize umewahi kumuona Mungu, usikie jibu lake. Watakupa jibu kama alivyo sema Mussa na Yesu hakuna anaye weza kumuona Mungu akaishi. Nyie.mlimtundika Yesu kwenye cross mlitaka kumua na mlipiga naye story kama vile baniani anakunywa mkoja wa ngo'mbe huo ndio upagani.
 
Back
Top Bottom