Israel yavamia makazi ya Wakristo na kuchoma kila kitu!!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

​
Source: Asia News
 
kobazi mnajua kuripoti taarifa mbaya za Israel embu tulete na taarifa za bokoharamu kuua wakristo huko Nigeria?
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Tutajuaje kama ni habari za kweli. Tupe kwanza sababu za kufanyika kwa tukio hilo. Halafu utambue kuwa uteule wa Israel sio kwasababu ni waungwana wasafi hawana dhambi. Hapana Waisraeli ni watu wenye dhambi kama waarabu wasfrika na wazungu. Wote ni wenye dhambi na wanamhitaji mwokozi Yesu Kristo. Lakini Israel ni Taifa alilolinda Mungu mwenyewe na ardhi ya Israel ni ardhi ya Mungu mwenyewe kaichagua kwa mapenzi yake mwenyewe. Hivyo, ni busara tu kujua huo ukweli na hizo nchi zinazojaribu kutaka kulichukua hilo eneo watapata tabu sana. Soma Zekaria 12:1-9
 
Nimesoma hiyo kichwa tu sijamalizia chini lakini wacha nicheke..hahahahaa.Acheni udini
 
Hawa hata wakiambiwa waweke yas zao zimebarikiwe na Israel wataweka! Huwaambii kwa baraka za Yahudi!
Sasa hayo ni matusi waombe radhi leta hoja kama huna la kuchangia bora upite kwa amani usisahau sisi sote ni Binadamu.
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Hii Israel si ndio baba wao wa Imani? Imekuaje tena? 😂😂
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Wewe ndio msukule hujitambui
 
Wakiristo whumu jf wanadai mayahudi ni wenzao wa damu
 
Taifa teule linauwa Wakristo wa kwanza duniani

Wakristo wa kwanza kabisa, waliuawa kwa amri ya makuhani, ambao walikuwa wayahudi. Hata Yesu Masiha, alikamatwa na kutengenezewa mashtaka ya uwongo na makuhani, ambao walikuwa ni wayahudi.

Ifahamike pia kuwa mitume wote wa Yesu Masiha walikuwa wayahudi. Na hawa wote walikubali kuuawa kwaajili ya ukristo. Hivyo ndani ya Wayahudi kulikuwa na neema na baraka, lakini pia kulikuwa na laana pia.

Neno la Mungu, kuoitia manabii wake, Israel itapitia magumu mengi, mpaka hapo watakapomkiri Yesu kuwa ndiye Masiha. Hilo litakapotokea, ndipo uteule wa Israel utakapoonekana kwa Ulimwengu mzima, kwani hakuna atakayeweza kuigusa Israel tena. Kwa sasa Israel ipo kwenye adhabu ya kumkana Kristo, lakini haijafutwa kuwa Taifa teule. Ni sawa uwe na mwanao, akakengeuka na kuwa mwovu, hakomi kuwa mwanao. Atapitia shida shida ningi kwa sababu ya uovu wake, mpaka siku atakapobadilika na kuwa mwema. Na akishabadilika, ataichukua nafasi yake kama mwanao mpendwa wako.
 
Wakiristo whumu jf wanadai mayahudi ni wenzao wa damu

Tulikumbuke kanisa la Damascus, lile ndilo kanisa la pili kwa ukubwa katika Ulimwengu wa kale, baada ya lile la Jerusalem. Na kwenye kanisa lile la Damascas ndipo shahidi na askofu Ignatius alihudumu, na huyu aliandika nyaraka za kumbukumbu ya ukristo wa kale. Waraka wake ule wa mwaka 100AD ndipo anaandika waraka wake kwa Kanisa Katoliki (Universal Church).
 
Bora wao hawawalazimishi watu kufuata dini yao, kinacho fanya watu wengi wasiwaunge mkono waislam kwenye vita yoyote ile, ni kitendo cha wao kulazimisha kueneza uislam kwa mabavu
 
Rudisheni watoto wa Wayahudi la sivyo mtaendelea kufa sana acheni kujificha kwa Wakristo, mfahamu kabla uislamu kuanzishwa, Wayahudi walishinda miungu yote ya hapo kabla ujio wa huyo wenu.
 
Back
Top Bottom