Israel yavamia makazi ya Wakristo na kuchoma kila kitu!!

Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Nyinyi Waislamu wa manzese endeleeni tu na ndoto zenu za alinacha; ila mjue hamuwadanganyi wakiristo hata kidogo kutoiunga mkono Israel dhidi ya shetan allah. Mlijiegemeshaga kwa Mpalestina mwenzenu Fake Pope Francis, he's gone.
Sasa nikwambie kitu? Masheikh wenu huko Hebron akili zimeanza kuwarudia. Sasa hivi wanataka kuachana na ndoto zenu za Alinacha kuwa iko siku Waislamu wataifutilia mbali Israel. Badala yake na wao wanataka to join in the Abraham Accord ili waishi kwa amani na Israel. Mambo yanaenda kwa Kasi mno huko middle east. Msipoangalia mtajikuta mmebaki wenyewe tu huko manzese na vijimisikiti vyenu vya kuhongwa na Qatar na Uturuki
Habari zaidi soma: https://www.timesofisrael.com/liveb...as-emirate-dismiss-two-state-solution-report/
Screenshot_20250706-154905_Chrome.jpg

Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing View attachment 3392461
 
Hebu ficha upumbavu wako hata kama kusoma hujui kwamba hata picha huoni, nani asiyejua kwamba kila mnapoenda mnalazimisha kuzaliana kwa wingi na kueneza uongo wa imani yenu, pamoja na kulazimisha misikiti ijengwe na kutaka watu wa eneo husika wafuate imani yenu bila kujali kama mko ndani ya secular state au la, mna sheria za kijinga eti mwanaume wa kiislam anaruhusiwa kuoa mwanamke wa kikristo ila mwanamke wa kiislam haruhusiwi kuolewa na mwanaume wa kikristo, na juu ya yote mtu anayeikana imani yenu anauawa na yule asiye tayari kuikubali imani yenu pia anauawa, japo mnasingizia eti hizi ni propaganda tu na kwamba hayo mambo yanafanywa na vikundi vya watu wachache tu ilihali hivyo vikundi vinafanya hayo chini ya mwamvuli wa uislam, na hatuoni waislam mkikemea hilo huku wengi wenu ndio kwanza mkiunga mkono na kudai eti imani yenu ndio ya ukweli na haki hivyo kila mtu anatakiwa aikubali whether kwa hiyari au kwa lazima
Kumbe naongea na FALA!
Umefaa kutukanwa, nilikua nakuonaga una akili kumbe ni MPUMBAVU!?

Unaongea maneno mengi ambayo ya kihisia na inaonekana huna unalojua.
Uislam umejengwa juu ya sheria zake na taratibu zake,hakuna ayah yeyote katika uislam inayosema kuwa Kuna kulazimishana katika dini, Qur'an 2:255 Mungu alisema "hakuna kulazimishana katika dini kwani Kila kitu kimetanabaishwa".
Kuanzia kwa Mtume Muhammad (s.a.w) hakuna siku aliyolazimisha mtu aingie katika uislam,ndio maana hata Makkah walipomkataa aliondoa hakupigana wala kushika silaha.

Tuje kwenye hoja ya kuzaana,China na India wanaongoza kuzaana je wao ndio waislam!??
China population yao ni 1.4 India ni 1.4+ billions je hao waislam?
Kuzaana na uislam kunaingilianaje!??

Tuje kwenye makundi unayoyasemea,je makundi gani hayo uyasemayo wewe ambayo tuliyakana na tukasema hayahusiani na sisi?
Taja kuwa specific sio unaruka ruka kama umekalia msumali wa matako.

Mwisho nakutolea mfano wa Qatar,Qatar ina makanisa na ina wakristo waarabu,Lebanon ina makanisa na wakristo,Syria Ina makanisa na wakristo,Dubai Ina makanisa na wakristo.
Aya sema taifa hapo wakristo waliuawa kisa waliukataa uislam!??

Hoja ya kuoa mke zaidi ya mmoja ipo ila haikulazimishwa na ina sheria zake,kama ukitimiza vigezo basi unaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja,kama hujatimiza marufuku kuoa mke zaidi ya mmoja,je unajua hayo masharti!??

Siku zote inatakiwa uwe mtu wa kuongea kile ulichokithibitisha na ulicho na ukweli nacho.
Usiropoke tu kama umeingizwa bunzi la makalio.
Yani huna unachojua halafu umekuja kwa dharau,siku nyingine KOMA kuropoka kama hujui kitu.
 
Hawa wakristo Qatar wametokea wapi kama uislam unalazimisha watu kukubali dini yao!?
Kwanini Kuna makanisa pia Qatar?
Screenshot_20250706-171556.png

Mkijiskia kuropoka mnaropoka tu nyambafu nyie.
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Kobazi na fake news!!!
🤣🤣🤣
It is painful to be a hater of Israel
 
Kumbe naongea na FALA!
Umefaa kutukanwa, nilikua nakuonaga una akili kumbe ni MPUMBAVU!?

Unaongea maneno mengi ambayo ya kihisia na inaonekana huna unalojua.
Uislam umejengwa juu ya sheria zake na taratibu zake,hakuna ayah yeyote katika uislam inayosema kuwa Kuna kulazimishana katika dini, Qur'an 2:255 Mungu alisema "hakuna kulazimishana katika dini kwani Kila kitu kimetanabaishwa".
Kuanzia kwa Mtume Muhammad (s.a.w) hakuna siku aliyolazimisha mtu aingie katika uislam,ndio maana hata Makkah walipomkataa aliondoa hakupigana wala kushika silaha.

Tuje kwenye hoja ya kuzaana,China na India wanaongoza kuzaana je wao ndio waislam!??
China population yao ni 1.4 India ni 1.4+ billions je hao waislam?
Kuzaana na uislam kunaingilianaje!??

Tuje kwenye makundi unayoyasemea,je makundi gani hayo uyasemayo wewe ambayo tuliyakana na tukasema hayahusiani na sisi?
Taja kuwa specific sio unaruka ruka kama umekalia msumali wa matako.

Mwisho nakutolea mfano wa Qatar,Qatar ina makanisa na ina wakristo waarabu,Lebanon ina makanisa na wakristo,Syria Ina makanisa na wakristo,Dubai Ina makanisa na wakristo.
Aya sema taifa hapo wakristo waliuawa kisa waliukataa uislam!??

Hoja ya kuoa mke zaidi ya mmoja ipo ila haikulazimishwa na ina sheria zake,kama ukitimiza vigezo basi unaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja,kama hujatimiza marufuku kuoa mke zaidi ya mmoja,je unajua hayo masharti!??

Siku zote inatakiwa uwe mtu wa kuongea kile ulichokithibitisha na ulicho na ukweli nacho.
Usiropoke tu kama umeingizwa bunzi la makalio.
Yani huna unachojua halafu umekuja kwa dharau,siku nyingine KOMA kuropoka kama hujui kitu.
Wewe hebu nenda kawadanganye wapumbavu wenzio bhana unaniletea mambo ya aya za quran wakati mimi nakuambia matendo halisi ambayo waislam wenzako wanafanya yale yanayofanywa na vikundi kama al shabaab na boko haram ni nini na kama havihusiani na ninyi kwanini hamkemei badala yake mnaunga mkono, haya na hao wapumbavu wa huko zanzibar ambao ikifika kipindi cha mfungo wanatandika viboko wakristo wanaokula hadharani yani wanataka wao wakifunga basi na kila mtu afunge au alie mafichoni kwanini umpangie mtu mahali na muda wa kula je ushawahi kusikia wakristo wanafanya huo upumbavu, kuhusu kuzaliana hujaelewa umekurupuka mimi nimesema waislam nchi yoyote mnayoenda huwa mnaenda kwa lengo la kuzaliana ili muwapiku wakristo na watu wa dini nyingine kwa idadi ili mueneze dini yenu kirahisi wewe unanitolea mifano ya wachina na wahindi ambao wanazaliana zaidi kwenye nchi zao, halafu ni wapi mimi nimeongelea habari za kuoa wake wanne sasa mbona kama ni wewe ndio unaandika kama umewekewa hilo gunzi huko makalioni maana mimi nimesema dini yenu inaruhusu mwanaume wa kiislam kuoa mwanamke wa kikristo ila hairuhusu mwanamke wa kiislam kuolewa na mwanaume wa kikristo nadhani unajua sababu, halafu mbona hujataja nchi kama Saudi Arabia na Yemen unataja hizo ambazo zimeanza kucoexist na watu wa dini nyingine miaka ya hivi karibuni tu tena napo ni kwa sababu tu wanahitaji mapato ya utalii pamoja kuogopa vikwazo vya nchi za magharibi kwa kuingilia haki za binadamu yani kama kuna nchi za kiislam zimestaarabika sasa hivi ni kwa sababu tu ya sheria za umoja wa mataifa ila mioyoni mwao bado wana chuki sana na watu wa dini nyingine wanatamani duniani hapa ibaki na itawale dini yao tu wasisikie kuna nyingine
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Ukiwa gaidi hatuwezi kusympathize na wewe uwe umkristu, myahudi au mwislam unaliwa kichwa tu. Hakuna kujificha kwenye dini. We kama unatetea magaidi kwa sababu ya dini huna akili usituhusishe wafrika wote.
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Waafrika wafia dini ni watu wajinga sana, mpaka muda huu wanaamini Wayahudi ndiye wateule wa Mungu, wanashindwa kujiuliza wao (Waafrika) ni watoto wa nani. Kwa juu juu sitoshangaa akaja mbongo mfia dini hapa na kusema sisi ni chimbuko la shetani na ndiyo maana weusi. Wale Wayahudi wallopo Israel si Wayahaudi kweli, wale ni Wayahaudi waliotengenezwa toka Ulaya Mashariki na kuvamia eneo lisilo lao (Palestina), mtu kama hujuwi historia ya hizi dini na kubaki kuzidandia tu, utabaki kuwa mtumwa wa akili na mjinga uliyepitiliza.
 
Wewe hebu nenda kawadanganye wapumbavu wenzio bhana unaniletea mambo ya aya za quran wakati mimi nakuambia matendo halisi ambayo waislam wenzako wanafanya yale yanayofanywa na vikundi kama al shabaab na boko haram ni nini na kama havihusiani na ninyi kwanini hamkemei badala yake mnaunga mkono, haya na hao wapumbavu wa huko zanzibar ambao ikifika kipindi cha mfungo wanatandika viboko wakristo wanaokula hadharani yani wanataka wao wakifunga basi na kila mtu afunge au alie mafichoni kwanini umpangie mtu mahali na muda wa kula je ushawahi kusikia wakristo wanafanya huo upumbavu, kuhusu kuzaliana hujaelewa umekurupuka mimi nimesema waislam nchi yoyote mnayoenda huwa mnaenda kwa lengo la kuzaliana ili muwapiku wakristo na watu wa dini nyingine kwa idadi ili mueneze dini yenu kirahisi wewe unanitolea mifano ya wachina na wahindi ambao wanazaliana zaidi kwenye nchi zao, halafu ni wapi mimi nimeongelea habari za kuoa wake wanne sasa mbona kama ni wewe ndio unaandika kama umewekewa hilo gunzi huko makalioni maana mimi nimesema dini yenu inaruhusu mwanaume wa kiislam kuoa mwanamke wa kikristo ila hairuhusu mwanamke wa kiislam kuolewa na mwanaume wa kikristo nadhani unajua sababu, halafu mbona hujataja nchi kama Saudi Arabia na Yemen unataja hizo ambazo zimeanza kucoexist na watu wa dini nyingine miaka ya hivi karibuni tu tena napo ni kwa sababu tu wanahitaji mapato ya utalii pamoja kuogopa vikwazo vya nchi za magharibi kwa kuingilia haki za binadamu yani kama kuna nchi za kiislam zimestaarabika sasa hivi ni kwa sababu tu ya sheria za umoja wa mataifa ila mioyoni mwao bado wana chuki sana na watu wa dini nyingine wanatamani duniani hapa ibaki na itawale dini yao tu wasisikie kuna nyingine
Bado unaropoka hisia zako pia unapinga ulichosema,umesema kuhusu wake wanne ila unakataa.
Wacha nikusamehe maana nazungumza na PSYCHOPATH NYAMBAFU.

Tuanze na bokoharam na Alshabaab, Alshabaab ni kikundi cha kikabila tena asili kuu ni amhara/mahara,wao wapo kugombania serikali sio suala la dini,HUNA UNALOJUA maana wewe wa kuropoka tu.
Boko Haram ni wale wale political affiliation,na mashehe wa West Africa na Marais wa West Africa ambao wapo waislam ikiwemo Burkinafaso na Mali waliunda hadi tume ya kupambana na ugaidi ikiwemo bokoharam.
Alshabaab wanavamia makao ya serikali, Bokoharam wanateka Wanawake na kudai pesa za ransom,je uislam unaruhusu hilo??
Kisa kasema yeye muislam ndio tuseme kuwa yeye ni kweli muislam??
Twende kwa mfano wa kikristo,unawajua Antibalaka wa Central African republic,Anti balaka walikua ni kikundi Cha wakristo kama sijakosea wakatoliki,walikua wakiendesha shughuli za kihalifu na ubakaji na uporaji Central African republic,hadi nchi kama South Africa iliingilia kati kijeshi na kusaidia serikali ya S.Afrika dhidi yao,je kwa matendo ya Antibalaka kisa wakristo tulaumu ukristo mzima??
Kuhusu Zanzibar uislam haujaruhusu mtu kumpiga mwingine kisa anakula Ramadan mchana.
Kwanini hilo halifanyiki Somalia,Djibouti, Morocco,Misri au Algeria?
Utashi wa waislam wachache wa Zanzibar unaugeuza kuwa utashi na sheria ya uislam mzima!??
Kwanini?
Tuje kwa Anglicans kuruhusu ndoa za ushoga na usagaji huko England,je tulaumu ukristo mzima kuwa umeruhusu ushoga na usagaji hadi makanisani!??

Unaweza ukaniletea ushahidi wa uislam kuruhusu mwanaume kuoa mwanamke mkristo!??
Mbona unaongea ufala ambao haupo?
Wewe hayo umeyatoa wapi??
Kuhusu kuzaliana uislam hauzaliani kimakusudi kwa Kulenga ajenda unayosemea wewe.
Hivi unajua kuwa USA Caucasians na South Americans ndio wanaongoza kuzaliana kuliko waarabu waislam hapo USA??
Wamexico wanazaliana familia Moja unaweza Kuta Ina watoto hadi 16,wamarekani kusini ndio wanaongoza kuzaliana USA.
Sasa hiyo justification yako ya kusema waislam wanalazimisha kuzaana sana hata kwa watu ili wa take domain ya sehemu usika ni ufala wa hali ya juu.

Naona unakwepa hoja,nimekutajia Qatar,UAE,Lebanon,Syria hizi nchi nenda kazifuatilie zina historia kubwa ya ukristo,Syria Kuna kanisa lenye historia ya miaka zaidi ya 200.
Lebanon Kuna makanisa ya kale zaidi ya miaka 200.
Jordan ndio usiseme,na hadi sasa yapo na watu wanaabudu.
Usenge uliojazwa huko na wapumbavu wenzako hauna maana yeyote.
Yemeni makanisa yapo na wakristo wapo ukitaka nakutajia hadi majina ya makanisa,na kuna hadi waimbaji wa kikristo hapo Yemeni wa zamani sana na ukumbusho wao upo.
Unahama mada tena unakuja kwenye suala la kusema wanawakirimu dini tofauti kisa kuogopa vikwazo vya kiuchumi vya wamagharibi, geopolitics huzijui,hakuna nchi ya Kiarabu inayoogopa sanctions za wamagharibi.
Na kama unazungumzia civilization waarabu na waajemi ni miongoni mwa watu ambao wanaongoza kwa civilization ulimwenguni kihistoria.
Kawasome kina IBN BATUTA huyo ni mwarabu na pia alikua ni miongoni mwa watu walioleta civilization ulimwenguni.
Mfano mwingine mzuri tuje kwa IRAN,Iran ni taifa la kiislam la shia lenye misimamo mikali sana,ila Iran tangu zamani Kuna wayahudi na masinagogi,Kuna wakristo pia na makanisa,na hao wote wanaabudu kiuhuru.Kihistoria wamagharibi wanajivunia haki za Wanawake na haki za binadamu,hizo zilivumbuliwa ama kuanzishwa na Mesopotamia current Iraq na Persia current Iran.
Democracy ilianzishwa na Persia current Iran.
Hivyo waislam wako civilized toka enzi na enzi.
Hakuna taifa la mid east linaogopa economic sanctions za wamagharibi.
Ila wanaogopa nguvu ya kijeshi ya wamagharibi na sana sana ugomvi upo kwasababu ya Israel.
Uache kuropoka.

Huna unalojua unaropoka tu kama umetiwa bunzi la matakoni.
Uislam una sheria zake mtu akizikiuka ameshatoka nje ya uislam hata akijiita muislam,uislam hauendeshwi na utashi wa mtu.
NAKUSUBIRI UANZISHE UPUUZI MWINGINE NIPO HAPA,NITAKULA SAHANI MOJA NA WEWE HADI AKILI IKUKAE SAWA.
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Ukiondoa udini tu utajua ya kuwa huko middle east hakuna shida kama za huku kwetu ,congo, sudani na sehemu za Africa ya kati
 
Bado unaropoka hisia zako pia unapinga ulichosema,umesema kuhusu wake wanne ila unakataa.
Wacha nikusamehe maana nazungumza na PSYCHOPATH NYAMBAFU.

Tuanze na bokoharam na Alshabaab, Alshabaab ni kikundi cha kikabila tena asili kuu ni amhara/mahara,wao wapo kugombania serikali sio suala la dini,HUNA UNALOJUA maana wewe wa kuropoka tu.
Boko Haram ni wale wale political affiliation,na mashehe wa West Africa na Marais wa West Africa ambao wapo waislam ikiwemo Burkinafaso na Mali waliunda hadi tume ya kupambana na ugaidi ikiwemo bokoharam.
Alshabaab wanavamia makao ya serikali, Bokoharam wanateka Wanawake na kudai pesa za ransom,je uislam unaruhusu hilo??
Kisa kasema yeye muislam ndio tuseme kuwa yeye ni kweli muislam??
Twende kwa mfano wa kikristo,unawajua Antibalaka wa Central African republic,Anti balaka walikua ni kikundi Cha wakristo kama sijakosea wakatoliki,walikua wakiendesha shughuli za kihalifu na ubakaji na uporaji Central African republic,hadi nchi kama South Africa iliingilia kati kijeshi na kusaidia serikali ya S.Afrika dhidi yao,je kwa matendo ya Antibalaka kisa wakristo tulaumu ukristo mzima??
Kuhusu Zanzibar uislam haujaruhusu mtu kumpiga mwingine kisa anakula Ramadan mchana.
Kwanini hilo halifanyiki Somalia,Djibouti, Morocco,Misri au Algeria?
Utashi wa waislam wachache wa Zanzibar unaugeuza kuwa utashi na sheria ya uislam mzima!??
Kwanini?
Tuje kwa Anglicans kuruhusu ndoa za ushoga na usagaji huko England,je tulaumu ukristo mzima kuwa umeruhusu ushoga na usagaji hadi makanisani!??

Unaweza ukaniletea ushahidi wa uislam kuruhusu mwanaume kuoa mwanamke mkristo!??
Mbona unaongea ufala ambao haupo?
Wewe hayo umeyatoa wapi??
Kuhusu kuzaliana uislam hauzaliani kimakusudi kwa Kulenga ajenda unayosemea wewe.
Hivi unajua kuwa USA Caucasians na South Americans ndio wanaongoza kuzaliana kuliko waarabu waislam hapo USA??
Wamexico wanazaliana familia Moja unaweza Kuta Ina watoto hadi 16,wamarekani kusini ndio wanaongoza kuzaliana USA.
Sasa hiyo justification yako ya kusema waislam wanalazimisha kuzaana sana hata kwa watu ili wa take domain ya sehemu usika ni ufala wa hali ya juu.

Naona unakwepa hoja,nimekutajia Qatar,UAE,Lebanon,Syria hizi nchi nenda kazifuatilie zina historia kubwa ya ukristo,Syria Kuna kanisa lenye historia ya miaka zaidi ya 200.
Lebanon Kuna makanisa ya kale zaidi ya miaka 200.
Jordan ndio usiseme,na hadi sasa yapo na watu wanaabudu.
Usenge uliojazwa huko na wapumbavu wenzako hauna maana yeyote.
Yemeni makanisa yapo na wakristo wapo ukitaka nakutajia hadi majina ya makanisa,na kuna hadi waimbaji wa kikristo hapo Yemeni wa zamani sana na ukumbusho wao upo.
Unahama mada tena unakuja kwenye suala la kusema wanawakirimu dini tofauti kisa kuogopa vikwazo vya kiuchumi vya wamagharibi, geopolitics huzijui,hakuna nchi ya Kiarabu inayoogopa sanctions za wamagharibi.
Na kama unazungumzia civilization waarabu na waajemi ni miongoni mwa watu ambao wanaongoza kwa civilization ulimwenguni kihistoria.
Kawasome kina IBN BATUTA huyo ni mwarabu na pia alikua ni miongoni mwa watu walioleta civilization ulimwenguni.
Mfano mwingine mzuri tuje kwa IRAN,Iran ni taifa la kiislam la shia lenye misimamo mikali sana,ila Iran tangu zamani Kuna wayahudi na masinagogi,Kuna wakristo pia na makanisa,na hao wote wanaabudu kiuhuru.Kihistoria wamagharibi wanajivunia haki za Wanawake na haki za binadamu,hizo zilivumbuliwa ama kuanzishwa na Mesopotamia current Iraq na Persia current Iran.
Democracy ilianzishwa na Persia current Iran.
Hivyo waislam wako civilized toka enzi na enzi.
Hakuna taifa la mid east linaogopa economic sanctions za wamagharibi.
Ila wanaogopa nguvu ya kijeshi ya wamagharibi na sana sana ugomvi upo kwasababu ya Israel.
Uache kuropoka.

Huna unalojua unaropoka tu kama umetiwa bunzi la matakoni.
Uislam una sheria zake mtu akizikiuka ameshatoka nje ya uislam hata akijiita muislam,uislam hauendeshwi na utashi wa mtu.
NAKUSUBIRI UANZISHE UPUUZI MWINGINE NIPO HAPA,NITAKULA SAHANI MOJA NA WEWE HADI AKILI IKUKAE SAWA.
We mwehu usinilishe maneno hebu lete hapa hiyo sentensi ambayo nimeandika masuala ya kuoa wake wanne nasisitiza iweke hapa, maana naona unakurupuka kushusha magazeti huku asilimia kubwa ya pumba na mashudu uliyoandika hayahusiani hata na hoja yangu ila ili mradi tu uonekane una hoja, nasisitiza tena kwamba wewe bado unaniletea mambo ya kwenye vitabu wakati mimi nakuambia tabia za waislam wenzio kwenye maisha halisi

Hivi umeshawahi kukutana na mada zinazohusu waislam wa zanzibar kuwapiga wakristo wanaokula hadharani kipindi cha mfungo ukaona jinsi waislam wanavyotetea hivyo vitendo, yani sijawahi kuona hata mmoja wenu akikemea hilo na ndio kwanza nilisikia ramadhan iliyopita walianzisha adhabu mpya, mkristo ukikutwa unakula hadharani unafungwa kisha unakuja kutolewa baada ya ramadhan ya mwaka ujao kuisha kwahiyo utatumikia kifungo cha mwaka mzima kijingajinga tu yani

Na bila shaka hayo yamepewa baraka na viongozi wa huko ambao asilimia kubwa ni waislam kwanini huwa hawawachukulii hatua wanaofanya hivyo vitendo pamoja na malalamiko ya miaka na miaka kutoka kwa wakristo wa huko, na ninyi waislam wengine kwanini hamkemei hivyo vitendo ndio kwanza mnatembea na ule msemo wa when you are in rome do as the romans do, yani hata kuhusu hivyo vikundi vya kigaidi hoja ni kwamba kwanini waislam wengi huwa hamkemei na badala yake ndio kwanza mnaunga mkono vitendo hivyo vya kihuni kwa sababu tu vina faida kwa dini yenu

Halafu usijifanye hujui kwamba hivyo vikundi kama boko haram na al shabaab malengo yao ni kutaka nchi zao zitawaliwe na uislam na ziongozwe kwa sharia za kiislam, sasa wanapoachwa mpaka leo ina maana majeshi yote yaliyopo kwenye hizo nchi yameshindwa kupambana na hivyo vikundi hadi vinaachwa vinasumbua miaka na miaka, sasa hicho kikundi cha wakristo ni lini uliona wakristo wanakiunga mkono hata kwa maneno tu na unafananishaje kakikundi kama hako na makundi yenu ambayo ni mengi na yanaleta impact kubwa kwa watu

Ni mara ngapi wakristo wanakemea hata vitendo vinavyofanywa na viongozi wa kikristo mfano hata ukikuta mtu anawasema hawa wachungaji na mitume feki na matapeli wa siku hizi, huwezi kukuta wakristo wanamshambulia huyo mtu badala yake watapima ukweli na wakijua huyo mtume ni tapeli kweli basi watakemea, lakini ninyi waislam mkikuta mtu anawasema viongozi fulani wa dini yenu badala ya kuangalia na kupima ukweli ninyi mnakimbilia kumshambilia huyo mtu na kusema eti analeta udini na anauchukia uislam badala ya kujadili hoja

Yani kwa mfano wakristo wakisikia taarifa kwamba kuna padre amebaka au amelawiti watoto moja kwa moja watamshambulia huyo padre pamoja na kuhoji sheria zinazowakataza mapadre kuoa, ila waislam mkisikia taarifa kwamba kuna sheikh amebaka au amelawiti badala ya kumkemea huyo kiongozi wenu mtaanza kusema, "oo mbona kuna viongozi wa kikristo pia wanafanya hayo hao hamuwaoni mnawaona viongozi wa kiislam tu" unaona sasa tofauti kati ya wakristo na waislam kwenye upeo wa kufikiri na kuchanganua mambo kama hayo

Mind you hapa hatuongelei maandiko yaliyoko kwenye vitabu vya hizi dini ila tunaongelea matendo yanayofanywa na waumini wa hizo dini maana ni wazi maandiko ya dini zote yanazuia dhambi, lakini je waumini wanafuata hayo maandiko na wanapofanya maovu hasa yale ya kutisha je waumini wenzao wanakemea au wanaunga mkono, kwa mfano hata hilo suala la ushoga kwenye maandiko ya kikristo ni dhambi na hata viongozi wa huko vatican waliporuhusu ushoga tuliona wakristo wengi wakikemea hilo

Na hata kama kuna wanaounga mkono ushoga basi wanafanya hivyo kwa sababu zao binafsi tu na si kwa sababu ni wa dini fulani hayo mambo ya ushoga mbona hata uarabuni yapo, sema tofauti ni kwamba tu wazungu wanafanya hadharani siyo wanafiki ila waislam wanafanya mafichoni na wote tunajua historia ya ushoga ulianzia sodoma na gomora ambayo ni miji iliyokuwa mashariki ya kati zilizoko nchi za kiarabu, na hata tukija huku kwetu maeneo ambayo ushoga umeenea kwa wingi ukiacha arusha ni zenji na mombasa na wenye hizo tabia huko asilimia kubwa wanajulikana ni wa dini gani

Kuhusu hizo nchi ulizonitajia sijaongelea ustaarabu huo ulioongelea wewe nimeongelea ustaarabu wa kuacha kuua watu kwa sababu za kidini, hayo mambo yamepungua karne hii kwa sababu wanaogopa vikwazo vitakavyotolewa na nchi za magharibi kwa kukiuka haki za binadamu, yani unasema eti hizo nchi haziogopi vikwazo wakati sasa hivi kitendo tu cha nchi za magharibi kuanza kuwekeza kwenye magari ya umeme na kutaka kuachana na magari ya mafuta tayari kumeshaanza kuwapa waarabu presha

Sasa hivi waarabu wameanza kutilia mkazo kwenye sector nyingine hasa ya utalii maana wanajua kwenye mafuta kuanzia miaka hamsini ijayo na kuendelea yatakuwa hayana soko kubwa kama sasa, hebu nenda kawadanganye wajinga wenzio nchi nyingi zinaogopa vikwazo vya magharibi nchi ambazo haziogopi hivyo vikwazo ni chache sana kama Russia na Iran labda, ila hao kina Saudi Arabia na wenzie ni waoga kama waoga wengine tu ndio maana hadi leo bado wanasitasita kuwasaidia Palestina wanaishia tu kurusharusha maneno ya kukemea vita na kusema support Palestine ilihali mioyoni mwao wanaumia waarabu wenzao kuuawa

Lakini ndio hawawezi kuingilia maana wanaogopa vikwazo na uchumi wao kuyumba halafu wewe unaongea utopolo gani hapa, kuhusu kuzaliana hilo wala halina ubishi kila mwaka waislam wenzio huwa wanatoa takwimu za idadi ya waislam wanaoongezeka huko kwenye nchi za magharibi na kudai kwamba hivi karibuni wazungu wamepunguza sana kuzaliana, na miaka ijayo population yao itapunguza kasi ya kukuwa huku waislam wakihimizana wazaliane kwa wingi ili idadi ya waislam iongezeke duniani na waongeze idadi ya misikiti kwa kudhani kwamba wingi wao ndio nguvu yao na kutaka dini ya kiislam ndio utawale dunia kwa kuona kwamba ndio dini ya kweli na haki
 
Umeleta upuuzi mwingine au siyo!?
Leo nakula na wewe sahani leo nakula na wewe sahani moja hadi uache UPUMBAVU.

Kuhusu Zanzibar nilikuuliza vizuri,je hivyo vitu umeviona vikifanyika Somalia, Djibouti Morocco au hata Misri?
Jibu hapana utashi wa Zanzibar usiugeuze uwe utashi wa uislam wote,acha huo USENGE.
Tuje kwa bokoharam, Bokoharam hawajawahi kutaka serikali yao iongozwe kisheria ya kiislam NIONDOLEE UPUUZI hapa,wale ni wahuni wanaoteka Wanawake na kudai ransom money,it has nothing to do with us Muslims.
Kuhusu Antibalaka hivi unajua Kuna hadi nchi za kikristo ziliwapa silaha Antibalaka wanendeleze fujo na mauaji na ubakaji CAR!?
Hivi unalijua hilo!?

Waislam kutangaza takwimu zao za idadi yao kamili ndio kutaka domain ya sehemu husika!?
Wewe kweli ng'ombe wa maziwa ulifaa kufugwa tu.

Unasema mifano nayotoa ni ya vitabuni sio uhalisia,hivi unajielewa we binti!?
Kama waislam walikua wanaua wasio waislam hayo makanisa ya miaka 200+ huko Syria,Lebanon na Jordan yalitokeaje!??
Palestina mfano mzuri sana,kabla hata ya hiyo Zionism movement waliishi waarabu na wayahudi kwa upendo,na kuja Zionism movement waarabu waliwakaribisha wayahudi ambao waliotoka nje ya mid east kwa upendo,kama ni utofauti wa kidini kwanini hawakuwakataa tangu mwanzo!??
Ireland kilitokea tukio la mtu kupiga risasi waislam msikitini na alikua mkristo,haikukemewa Wala nini na tena islamaphobia ilipamba zaidi na wengi walifurahia like tukio.
Wakristo mnapenda ku play victim sana.
Hapa hapa Tanzania kipindi cha Mkapa waislam walikua wakinyanyaswa hususan pale msikiti wa mwembe chai hadi watoto waliuliwa pale, wakristo mlikaa KIMYAAA hamkukemea hata kidogo.
Nakupa maelezo unasema ya vitabuni matako wewe.

Tuje hapa kwa waarabu,hujui geopolitics Wala geoeconomics Kaa kimya funga bakuli.
Huo ustaarabu niliouelezea ndio chanzo cha waarabu kukaa pamoja na dini zote pasi na kuwabagua, unawajua waislam asili ya Moors?
Ndio waliowafundisha usafi wazungu wa Spain na waliishi nao kwa upendo back way hadi sasa.
Waarabu hawategemei mafuta katika uchumi wao,waarabu Wana natural gas,Wana madini ya dhahabu na lulu,utalii waarabu hawajaanza karne hizi wameanza tangu miaka ya 1900s huko ambapo nchi yako haijui lini inapata uhuru?
Umesoma historia ya utalii wa Jordan Petra na Lebanon??
Hizo nchi miaka ya nyuma huko ndio zilikua kitovu Cha utalii.
Waarabu hawategemei mafuta Wana biashara zingine lukuki.
Hakuna mwarabu anayeogopa economic sanctions za wamagharibi.
Waarabu wanaogopa nguvu za kijeshi za wamagharibi hilo tu.
Na USA anawatishia kwa millitary capability mid east kwaajili ya maslahi yake ya geopolitics na geoeconomics,na sasa nchi za kiarabu zimeanza kuzinduka zimeanza kujiegemeza kwa China,Russia na Iran taratibu kijeshi.
Ila sio kiuchumi,HUWEZI uka replace mafuta ya petroleum hata kwa 50%.
Heavy machinery hufanya kazi kwa higher efficiency kwa kutumia mafuta sio umeme,ndege zote zinatumia mafuta na hadi sasa hakuna ndege iliyoundwa inayotumia umeme.
Kinachofanyika ni kupunguza matumizi ya petroleum tu.
Kama hujui kitu ukae ujifunze sio kukomaza shingo kumbe huna unalojua.

Mid east waislam, wakristo na wapagani wameishi pamoja pasi na kuuana Wala kubaguana.
Hizi stori za abunuasi peleka kwa watoto wenzako.

Nakusubiri ulete UPUUZ mwingine.
 
Hebu ficha upumbavu wako hata kama kusoma hujui kwamba hata picha huoni, nani asiyejua kwamba kila mnapoenda mnalazimisha kuzaliana kwa wingi na kueneza uongo wa imani yenu, pamoja na kulazimisha misikiti ijengwe na kutaka watu wa eneo husika wafuate imani yenu bila kujali kama mko ndani ya secular state au la, mna sheria za kijinga eti mwanaume wa kiislam anaruhusiwa kuoa mwanamke wa kikristo ila mwanamke wa kiislam haruhusiwi kuolewa na mwanaume wa kikristo, na juu ya yote mtu anayeikana imani yenu anauawa na yule asiye tayari kuikubali imani yenu pia anauawa, japo mnasingizia eti hizi ni propaganda tu na kwamba hayo mambo yanafanywa na vikundi vya watu wachache tu ilihali hivyo vikundi vinafanya hayo chini ya mwamvuli wa uislam, na hatuoni waislam mkikemea hilo huku wengi wenu ndio kwanza mkiunga mkono na kudai eti imani yenu ndio ya ukweli na haki hivyo kila mtu anatakiwa aikubali whether kwa hiyari au kwa lazima
Mie nakupa jibu short and clear kamsome huyu Scott Perry congress man akifuchua juu ya CIA kufadhili vikundi vya kiislam ili kuleta taharuki wala sitaki kukuwekea mabandiko yake nenda Google kamsome mwnyw.
Wapo mamia ya waislam wamebatizwa ikiwa pamoja kutoka huko huko Saudia sasa mapokeo ukibatizwa inategemea na utamaduni wa sehemu husika mfano Somalia litakua jambo baya sana hilo hii mana'ke ni mila na desturi zake...sasa uislam unasemaje?..mtu aliyeukacha uislam mana'ke ameritadi ivoo basi ili asamehewe kwa kosa hilo adhabu ni kupigwa mawe mpk ufe kama ilivyokua kwa mzinifu fimbo 100 sasa kutokana na mchanganyiko wa mila na desturi na dini tofauti siasa na utawala limekua jambo ambalo linahitaji sehemu ambazo wamekubali kufuata Sharia
Mfano mwngn waislam wa huku suala la kuzini mpk kuzaa na binti ya watu kabla ndoa ni kawaida lkn tofauti na sehemu nyngn kuliko tamalaki uislam..tatizo lenu nyie wagalatia mna mihemko kupindukia juu uislam hii yote sababu mshaaminishwa Yesu ni mungu kwhy propaganda yyt nyie mtaipokea juu ya uislam.
Uislam ndo dini pekee inayopinga USHOGA KAMARI RIBA ZINAA NA UZINZI ULEVI KUABUDU SANAMU...ingawa baadhi hapo baadhi waislam wanavifanya tofauti kabisaa na nyie wagalatia hususani waraka wa Papa Francis dhahiri ukristo unaunga mkono ushoga tenaa alienda mbali kasema Africa mtaelewa tuu kidogo kidogo
 
Umeleta upuuzi mwingine au siyo!?
Leo nakula na wewe sahani leo nakula na wewe sahani moja hadi uache UPUMBAVU.

Kuhusu Zanzibar nilikuuliza vizuri,je hivyo vitu umeviona vikifanyika Somalia, Djibouti Morocco au hata Misri?
Jibu hapana utashi wa Zanzibar usiugeuze uwe utashi wa uislam wote,acha huo USENGE.
Tuje kwa bokoharam, Bokoharam hawajawahi kutaka serikali yao iongozwe kisheria ya kiislam NIONDOLEE UPUUZI hapa,wale ni wahuni wanaoteka Wanawake na kudai ransom money,it has nothing to do with us Muslims.
Kuhusu Antibalaka hivi unajua Kuna hadi nchi za kikristo ziliwapa silaha Antibalaka wanendeleze fujo na mauaji na ubakaji CAR!?
Hivi unalijua hilo!?

Waislam kutangaza takwimu zao za idadi yao kamili ndio kutaka domain ya sehemu husika!?
Wewe kweli ng'ombe wa maziwa ulifaa kufugwa tu.

Unasema mifano nayotoa ni ya vitabuni sio uhalisia,hivi unajielewa we binti!?
Kama waislam walikua wanaua wasio waislam hayo makanisa ya miaka 200+ huko Syria,Lebanon na Jordan yalitokeaje!??
Palestina mfano mzuri sana,kabla hata ya hiyo Zionism movement waliishi waarabu na wayahudi kwa upendo,na kuja Zionism movement waarabu waliwakaribisha wayahudi ambao waliotoka nje ya mid east kwa upendo,kama ni utofauti wa kidini kwanini hawakuwakataa tangu mwanzo!??
Ireland kilitokea tukio la mtu kupiga risasi waislam msikitini na alikua mkristo,haikukemewa Wala nini na tena islamaphobia ilipamba zaidi na wengi walifurahia like tukio.
Wakristo mnapenda ku play victim sana.
Hapa hapa Tanzania kipindi cha Mkapa waislam walikua wakinyanyaswa hususan pale msikiti wa mwembe chai hadi watoto waliuliwa pale, wakristo mlikaa KIMYAAA hamkukemea hata kidogo.
Nakupa maelezo unasema ya vitabuni matako wewe.

Tuje hapa kwa waarabu,hujui geopolitics Wala geoeconomics Kaa kimya funga bakuli.
Huo ustaarabu niliouelezea ndio chanzo cha waarabu kukaa pamoja na dini zote pasi na kuwabagua, unawajua waislam asili ya Moors?
Ndio waliowafundisha usafi wazungu wa Spain na waliishi nao kwa upendo back way hadi sasa.
Waarabu hawategemei mafuta katika uchumi wao,waarabu Wana natural gas,Wana madini ya dhahabu na lulu,utalii waarabu hawajaanza karne hizi wameanza tangu miaka ya 1900s huko ambapo nchi yako haijui lini inapata uhuru?
Umesoma historia ya utalii wa Jordan Petra na Lebanon??
Hizo nchi miaka ya nyuma huko ndio zilikua kitovu Cha utalii.
Waarabu hawategemei mafuta Wana biashara zingine lukuki.
Hakuna mwarabu anayeogopa economic sanctions za wamagharibi.
Waarabu wanaogopa nguvu za kijeshi za wamagharibi hilo tu.
Na USA anawatishia kwa millitary capability mid east kwaajili ya maslahi yake ya geopolitics na geoeconomics,na sasa nchi za kiarabu zimeanza kuzinduka zimeanza kujiegemeza kwa China,Russia na Iran taratibu kijeshi.
Ila sio kiuchumi,HUWEZI uka replace mafuta ya petroleum hata kwa 50%.
Heavy machinery hufanya kazi kwa higher efficiency kwa kutumia mafuta sio umeme,ndege zote zinatumia mafuta na hadi sasa hakuna ndege iliyoundwa inayotumia umeme.
Kinachofanyika ni kupunguza matumizi ya petroleum tu.
Kama hujui kitu ukae ujifunze sio kukomaza shingo kumbe huna unalojua.

Mid east waislam, wakristo na wapagani wameishi pamoja pasi na kuuana Wala kubaguana.
Hizi stori za abunuasi peleka kwa watoto wenzako.

Nakusubiri ulete UPUUZ mwingine.
Swadakta kabisaa ulamaa
 
Mie nakupa jibu short and clear kamsome huyu Scott Perry congress man akifuchua juu ya CIA kufadhili vikundi vya kiislam ili kuleta taharuki wala sitaki kukuwekea mabandiko yake nenda Google kamsome mwnyw.
Wapo mamia ya waislam wamebatizwa ikiwa pamoja kutoka huko huko Saudia sasa mapokeo ukibatizwa inategemea na utamaduni wa sehemu husika mfano Somalia litakua jambo baya sana hilo hii mana'ke ni mila na desturi zake...sasa uislam unasemaje?..mtu aliyeukacha uislam mana'ke ameritadi ivoo basi ili asamehewe kwa kosa hilo adhabu ni kupigwa mawe mpk ufe kama ilivyokua kwa mzinifu fimbo 100 sasa kutokana na mchanganyiko wa mila na desturi na dini tofauti siasa na utawala limekua jambo ambalo linahitaji sehemu ambazo wamekubali kufuata Sharia
Mfano mwngn waislam wa huku suala la kuzini mpk kuzaa na binti ya watu kabla ndoa ni kawaida lkn tofauti na sehemu nyngn kuliko tamalaki uislam..tatizo lenu nyie wagalatia mna mihemko kupindukia juu uislam hii yote sababu mshaaminishwa Yesu ni mungu kwhy propaganda yyt nyie mtaipokea juu ya uislam.
Uislam ndo dini pekee inayopinga USHOGA KAMARI RIBA ZINAA NA UZINZI ULEVI KUABUDU SANAMU...ingawa baadhi hapo baadhi waislam wanavifanya tofauti kabisaa na nyie wagalatia hususani waraka wa Papa Francis dhahiri ukristo unaunga mkono ushoga tenaa alienda mbali kasema Africa mtaelewa tuu kidogo kidogo
Anakwambia waislam tunachukia na kuua watu wasio waislam,ila mashariki ya kati wamestaarabika kwa kuogopa vikwazo vya kiuchumi kutoka magharibi.
Nilimuuliza makanisa ya kihistoria ya zaidi ya karne mbili Syria, Lebanon na Jordan yametokea wapi?
Palestina Kuna lile kanisa Israel walililipua mwaka Jana lina umri wa miaka 300+ na hadi leo wanaliabudu.
Golda Meir waziri mkuu wa Israel miaka ya 1970 alihojiwa akasema wazi,"I am Palestinian and I hold a Palestinian passport since childhood and I was raised in a Palestinian state,there was no something called Jews,Arabs and Israelites before Zionism movement,there was a state of Palestine which comprised Jews and Arabs living in peace".
Halafu analeta stori za vijiweni zisizo na kichwa wala miguu.
Hajui watu tumesoma na tuna uelewa kuliko anavyodhani.
 
Tutajuaje kama ni habari za kweli. Tupe kwanza sababu za kufanyika kwa tukio hilo. Halafu utambue kuwa uteule wa Israel sio kwasababu ni waungwana wasafi hawana dhambi. Hapana Waisraeli ni watu wenye dhambi kama waarabu wasfrika na wazungu. Wote ni wenye dhambi na wanamhitaji mwokozi Yesu Kristo. Lakini Israel ni Taifa alilolinda Mungu mwenyewe na ardhi ya Israel ni ardhi ya Mungu mwenyewe kaichagua kwa mapenzi yake mwenyewe. Hivyo, ni busara tu kujua huo ukweli na hizo nchi zinazojaribu kutaka kulichukua hilo eneo watapata tabu sana. Soma Zekaria 12:1-9
Usipende kuamini vitu vilivyoandikwa na binadamu kama wewe..
 
Back
Top Bottom