Israel yavamia makazi ya Wakristo na kuchoma kila kitu!!

Tutajuaje kama ni habari za kweli. Tupe kwanza sababu za kufanyika kwa tukio hilo. Halafu utambue kuwa uteule wa Israel sio kwasababu ni waungwana wasafi hawana dhambi. Hapana Waisraeli ni watu wenye dhambi kama waarabu wasfrika na wazungu. Wote ni wenye dhambi na wanamhitaji mwokozi Yesu Kristo. Lakini Israel ni Taifa alilolinda Mungu mwenyewe na ardhi ya Israel ni ardhi ya Mungu mwenyewe kaichagua kwa mapenzi yake mwenyewe. Hivyo, ni busara tu kujua huo ukweli na hizo nchi zinazojaribu kutaka kulichukua hilo eneo watapata tabu sana. Soma Zekaria 12:1-9
Lkn kumbuka mungu ni Yesu na ndo jibu
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Makundi mengi ya Kigaidi, adui yao mkubwa huaga ni Mkristo. Bokoharam, Alshaaba nk. Here we go to another SAGA, Jews are killing Christians, Je? Tunaweza kusema kwamba Wayahudi na Waislamu damu damu?
 
Ukute anamalizia hasira hapo baada ya kupewa dozi Mujarab kutoka Iran 😆🤣
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Hakuna kitu kama hicho, story za kuunga unga tu
 
Makundi mengi ya Kigaidi, adui yao mkubwa huaga ni Mkristo. Bokoharam, Alshaaba nk. Here we go to another SAGA, Jews are killing Christians, Je? Tunaweza kusema kwamba Wayahudi na Waislamu damu damu?
Kwa sababu wamefundishwa Upole na upendo ukimpiga kofi upande mmoja anakugeuzia mwingine, hadi maisha yakihatarishwa Mkristo huwa anakuwa mshindi
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Kama uzushi ila Wakristo waarabu ni wajinga sana sababu wanaishi na Waislam basi huwa Hyprocrate wanajifanya nao kuwa bega kwa bega na Waislam ndio laana waipatayo hii.
 
Rudisheni watoto wa Wayahudi la sivyo mtaendelea kufa sana acheni kujificha kwa Wakristo, mfahamu kabla uislamu kuanzishwa, Wayahudi walishinda miungu yote ya hapo kabla ujio wa huyo wenu.
Na wewe mkenya unapenda udini sana. Sisi kama watanzania tunapendana japo tuna dini tofauti. Huo ushoga wako wa kikenya baki nao huko huko kwenu, huwezi kuwa chonganisha wa tanzania ili wagombane kama huko kwenu mlipo kosa adabu mtazani mlizaliwa kwa njia ya haja kubwa
 
Rudisheni watoto wa Wayahudi la sivyo mtaendelea kufa sana acheni kujificha kwa Wakristo, mfahamu kabla uislamu kuanzishwa, Wayahudi walishinda miungu yote ya hapo kabla ujio wa huyo wenu.
Na wewe mkenya unapenda udini sana. Sisi kama watanzania tunapendana japo tuna dini tofauti. Huo ushoga wako wa kikenya baki nao huko huko kwenu, huwezi kuwa chonganisha wa tanzania ili wagombane kama huko kwenu mlipo kosa adabu mtazani mlizaliwa kwa njia ya haja
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News

Kulikoni tena taifa teule?

Hawa wanaupinga ukristo tangu zamani. Ndiyo maana walimuua Kristo
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Eti Source: Asia News!!!!😀😃😄😁😆🤣
Source yenyewe ya MICHONGO video yenyewe ya MICHONGO hujatuambia ilikuwa wapi na lini hiyo ilitoke!,,,

Kueneza chuki dhidi ya Israel mnahangaika sana lakini najua hamwezi kufanikiwa maana Wakristo na Wayahudi uhusiano wao ni wa Damu!!!!!
 
Attachments

  • IMG_1105.png
    IMG_1105.png
    646.5 KB · Views: 16
Nani Ali kudanganya hivyo? Wakristo huko hawana wasiwasi wanafanya ibada zao bila shida mjinga na Mpumbavu tu kama huyu anajitahidi sana kueneza chuki dhidi ya wababe wa Mashariki ya kati hadi Uajemi tunajua tu chuki zake hizo zilishashindwa kabla ya yeye mwenyewe Kuzaliwa!!!
 
Attachments

  • IMG_0621.png
    IMG_0621.png
    814.6 KB · Views: 18
  • IMG_1105.png
    IMG_1105.png
    646.5 KB · Views: 16
Tulikumbuke kanisa la Damascus, lile ndilo kanisa la pili kwa ukubwa katika Ulimwengu wa kale, baada ya lile la Jerusalem. Na kwenye kanisa lile la Damascas ndipo shahidi na askofu Ignatius alihudumu, na huyu aliandika nyaraka za kumbukumbu ya ukristo wa kale. Waraka wake ule wa mwaka 100AD ndipo anaandika waraka wake kwa Kanisa Katoliki (Universal Church).
Unamaanisha nini mkuu, Kanisa nini maana yake?
 
Bora wao hawawalazimishi watu kufuata dini yao, kinacho fanya watu wengi wasiwaunge mkono waislam kwenye vita yoyote ile, ni kitendo cha wao kulazimisha kueneza uislam kwa mabavu
Lete ushahidi wa uislam kueneza dini kimabavu.
Laa sivyo utakua unaropoka tu kama umelewa pombe,lete ushahidi wa usemacho hapa sasa hivi.
 
Israel wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yoyote lakini kuna misukule watakuambia ni wateule, halafu cha kushangaza ni waafrika tu ndo wanasemaga hiyo kauli.

=======

An entirely Christian town was burned down by Jewish settlers in the West Bank.

Palestinian Christians, the first Christians in the world, are being genocided by Israel. Cars, lands and home all attacked in a series of violent pogroms aimed at ethnically cleansing Palestinians.

What happened to the "Judeo-Christian" values we keep hearing about?

Source: Asia News
Akili za kijiwe samli + mazinge
 
Nani Ali kudanganya hivyo? Wakristo huko hawana wasiwasi wanafanya ibada zao bila shida mjinga na Mpumbavu tu kama huyu anajitahidi sana kueneza chuki dhidi ya wababe wa Mashariki ya kati hadi Uajemi tunajua tu chuki zake hizo zilishashindwa kabla ya yeye mwenyewe Kuzaliwa!!!

Hizi ni propaganda sasa
 
Lete ushahidi wa uislam kueneza dini kimabavu.
Laa sivyo utakua unaropoka tu kama umelewa pombe,lete ushahidi wa usemacho hapa sasa hivi.
Hebu ficha upumbavu wako hata kama kusoma hujui kwamba hata picha huoni, nani asiyejua kwamba kila mnapoenda mnalazimisha kuzaliana kwa wingi na kueneza uongo wa imani yenu, pamoja na kulazimisha misikiti ijengwe na kutaka watu wa eneo husika wafuate imani yenu bila kujali kama mko ndani ya secular state au la, mna sheria za kijinga eti mwanaume wa kiislam anaruhusiwa kuoa mwanamke wa kikristo ila mwanamke wa kiislam haruhusiwi kuolewa na mwanaume wa kikristo, na juu ya yote mtu anayeikana imani yenu anauawa na yule asiye tayari kuikubali imani yenu pia anauawa, japo mnasingizia eti hizi ni propaganda tu na kwamba hayo mambo yanafanywa na vikundi vya watu wachache tu ilihali hivyo vikundi vinafanya hayo chini ya mwamvuli wa uislam, na hatuoni waislam mkikemea hilo huku wengi wenu ndio kwanza mkiunga mkono na kudai eti imani yenu ndio ya ukweli na haki hivyo kila mtu anatakiwa aikubali whether kwa hiyari au kwa lazima
 
Back
Top Bottom