Wewe hebu nenda kawadanganye wapumbavu wenzio bhana unaniletea mambo ya aya za quran wakati mimi nakuambia matendo halisi ambayo waislam wenzako wanafanya yale yanayofanywa na vikundi kama al shabaab na boko haram ni nini na kama havihusiani na ninyi kwanini hamkemei badala yake mnaunga mkono, haya na hao wapumbavu wa huko zanzibar ambao ikifika kipindi cha mfungo wanatandika viboko wakristo wanaokula hadharani yani wanataka wao wakifunga basi na kila mtu afunge au alie mafichoni kwanini umpangie mtu mahali na muda wa kula je ushawahi kusikia wakristo wanafanya huo upumbavu, kuhusu kuzaliana hujaelewa umekurupuka mimi nimesema waislam nchi yoyote mnayoenda huwa mnaenda kwa lengo la kuzaliana ili muwapiku wakristo na watu wa dini nyingine kwa idadi ili mueneze dini yenu kirahisi wewe unanitolea mifano ya wachina na wahindi ambao wanazaliana zaidi kwenye nchi zao, halafu ni wapi mimi nimeongelea habari za kuoa wake wanne sasa mbona kama ni wewe ndio unaandika kama umewekewa hilo gunzi huko makalioni maana mimi nimesema dini yenu inaruhusu mwanaume wa kiislam kuoa mwanamke wa kikristo ila hairuhusu mwanamke wa kiislam kuolewa na mwanaume wa kikristo nadhani unajua sababu, halafu mbona hujataja nchi kama Saudi Arabia na Yemen unataja hizo ambazo zimeanza kucoexist na watu wa dini nyingine miaka ya hivi karibuni tu tena napo ni kwa sababu tu wanahitaji mapato ya utalii pamoja kuogopa vikwazo vya nchi za magharibi kwa kuingilia haki za binadamu yani kama kuna nchi za kiislam zimestaarabika sasa hivi ni kwa sababu tu ya sheria za umoja wa mataifa ila mioyoni mwao bado wana chuki sana na watu wa dini nyingine wanatamani duniani hapa ibaki na itawale dini yao tu wasisikie kuna nyingine
Bado unaropoka hisia zako pia unapinga ulichosema,umesema kuhusu wake wanne ila unakataa.
Wacha nikusamehe maana nazungumza na PSYCHOPATH NYAMBAFU.
Tuanze na bokoharam na Alshabaab, Alshabaab ni kikundi cha kikabila tena asili kuu ni amhara/mahara,wao wapo kugombania serikali sio suala la dini,HUNA UNALOJUA maana wewe wa kuropoka tu.
Boko Haram ni wale wale political affiliation,na mashehe wa West Africa na Marais wa West Africa ambao wapo waislam ikiwemo Burkinafaso na Mali waliunda hadi tume ya kupambana na ugaidi ikiwemo bokoharam.
Alshabaab wanavamia makao ya serikali, Bokoharam wanateka Wanawake na kudai pesa za ransom,je uislam unaruhusu hilo??
Kisa kasema yeye muislam ndio tuseme kuwa yeye ni kweli muislam??
Twende kwa mfano wa kikristo,unawajua Antibalaka wa Central African republic,Anti balaka walikua ni kikundi Cha wakristo kama sijakosea wakatoliki,walikua wakiendesha shughuli za kihalifu na ubakaji na uporaji Central African republic,hadi nchi kama South Africa iliingilia kati kijeshi na kusaidia serikali ya S.Afrika dhidi yao,je kwa matendo ya Antibalaka kisa wakristo tulaumu ukristo mzima??
Kuhusu Zanzibar uislam haujaruhusu mtu kumpiga mwingine kisa anakula Ramadan mchana.
Kwanini hilo halifanyiki Somalia,Djibouti, Morocco,Misri au Algeria?
Utashi wa waislam wachache wa Zanzibar unaugeuza kuwa utashi na sheria ya uislam mzima!??
Kwanini?
Tuje kwa Anglicans kuruhusu ndoa za ushoga na usagaji huko England,je tulaumu ukristo mzima kuwa umeruhusu ushoga na usagaji hadi makanisani!??
Unaweza ukaniletea ushahidi wa uislam kuruhusu mwanaume kuoa mwanamke mkristo!??
Mbona unaongea ufala ambao haupo?
Wewe hayo umeyatoa wapi??
Kuhusu kuzaliana uislam hauzaliani kimakusudi kwa Kulenga ajenda unayosemea wewe.
Hivi unajua kuwa USA Caucasians na South Americans ndio wanaongoza kuzaliana kuliko waarabu waislam hapo USA??
Wamexico wanazaliana familia Moja unaweza Kuta Ina watoto hadi 16,wamarekani kusini ndio wanaongoza kuzaliana USA.
Sasa hiyo justification yako ya kusema waislam wanalazimisha kuzaana sana hata kwa watu ili wa take domain ya sehemu usika ni ufala wa hali ya juu.
Naona unakwepa hoja,nimekutajia Qatar,UAE,Lebanon,Syria hizi nchi nenda kazifuatilie zina historia kubwa ya ukristo,Syria Kuna kanisa lenye historia ya miaka zaidi ya 200.
Lebanon Kuna makanisa ya kale zaidi ya miaka 200.
Jordan ndio usiseme,na hadi sasa yapo na watu wanaabudu.
Usenge uliojazwa huko na wapumbavu wenzako hauna maana yeyote.
Yemeni makanisa yapo na wakristo wapo ukitaka nakutajia hadi majina ya makanisa,na kuna hadi waimbaji wa kikristo hapo Yemeni wa zamani sana na ukumbusho wao upo.
Unahama mada tena unakuja kwenye suala la kusema wanawakirimu dini tofauti kisa kuogopa vikwazo vya kiuchumi vya wamagharibi, geopolitics huzijui,hakuna nchi ya Kiarabu inayoogopa sanctions za wamagharibi.
Na kama unazungumzia civilization waarabu na waajemi ni miongoni mwa watu ambao wanaongoza kwa civilization ulimwenguni kihistoria.
Kawasome kina IBN BATUTA huyo ni mwarabu na pia alikua ni miongoni mwa watu walioleta civilization ulimwenguni.
Mfano mwingine mzuri tuje kwa IRAN,Iran ni taifa la kiislam la shia lenye misimamo mikali sana,ila Iran tangu zamani Kuna wayahudi na masinagogi,Kuna wakristo pia na makanisa,na hao wote wanaabudu kiuhuru.Kihistoria wamagharibi wanajivunia haki za Wanawake na haki za binadamu,hizo zilivumbuliwa ama kuanzishwa na Mesopotamia current Iraq na Persia current Iran.
Democracy ilianzishwa na Persia current Iran.
Hivyo waislam wako civilized toka enzi na enzi.
Hakuna taifa la mid east linaogopa economic sanctions za wamagharibi.
Ila wanaogopa nguvu ya kijeshi ya wamagharibi na sana sana ugomvi upo kwasababu ya Israel.
Uache kuropoka.
Huna unalojua unaropoka tu kama umetiwa bunzi la matakoni.
Uislam una sheria zake mtu akizikiuka ameshatoka nje ya uislam hata akijiita muislam,uislam hauendeshwi na utashi wa mtu.
NAKUSUBIRI UANZISHE UPUUZI MWINGINE NIPO HAPA,NITAKULA SAHANI MOJA NA WEWE HADI AKILI IKUKAE SAWA.