palestina

  1. Mhaya

    Kundi jingine la Houthi laishambulia Israel kutokea Yemen

    Waasi wa kundi la Houthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen walitoa video ya kile walichokisema kuwa ni kurusha makombora ya balestiki katika Israel. Msemaji wa jeshi la Houthi Brigedia Yahya Saree, alidai kurusha makombora ya balestiki na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israel, akisema hiyo...
  2. Mpinzire

    Azimio No. 181 la Umoja wa Mataifa lilitengeneza matokeo ya leo kati Palestina na Israel.

    Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina ya Uingereza na kutoa nchi mbili yaani ya Wayahudi na Waarabu ndiyo ilikuja kutengeneza tatizo zaidi...
  3. Suley2019

    SI KWELI Kampuni ya Pepsi ya Israel imetoa soda mpya zenye rangi za bendera ya Palestina ili zinunuliwe na Wapalestina

    Salaam ndugu zangu, Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
  4. N

    Balozi wa Palestina aliepo Tanzania awapigie simu HAMAS waachie watoto wetu waliotekwa na magaidi hao au arudi kwao Palestina

    Ndugu watanzania , Vijana wetu wawili waliomiongoni na vijana wengine waliopelekwa nchini Israel kwa ajili ya mafunzo ya kilimo wametekwa na kundi la kigaidi ambalo linaungwa mkono na palestina vijana hao kwa majina ni Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga Taarifa hizi zimechapishwa...
  5. Yesu Anakuja

    Balozi wa Palestina asaidie watanzania 2 waachiwe na Hamas

    Taarifa toka mitandao ya Israel zinaeleza kwamba, vijana wawili wa Kitanzania waliokuwa wamepelekwa na Serikali Israel kufanya Intenship ya Kilimo, wametekwa na Hamas na hadi sasa wapo mikononi mwao kama mateka, na wao sio Wayahudi, 1. Joshua Loutu Mollel (Masai au Mmeru), 2. Clemence Felix...
  6. B

    Mapigano kati ya Israel na Palestina yalianza tangu enzi za vita kati ya Mfalme Daud Muisrael na Goliati Mfilisti (Mpalestina)

    Miaka ya nyuma kabla ya kuzaliwa Kristo (BC) kulitokea mapigano kati ya Waisrael na Wakaanani ambao ndio wenyeji wa eneo hilo wa kabila la Wafilisti ambao ndio Wapalestina wa sasa Waisrael walikuwa wakiaminika kuwa ni wacha Mungu na Wafilisti walidaiwa kuwa wapagani kwa wakati huo Katika vita...
  7. M

    Kwanini Waislam tunaunga mkono wa Palestina?

    1. Waislam ni ndugu. Hii ndio imani ya waislam 2. Waislam wapenda haki. Isreal imevamia ardhi ya watu wa Palestina na kuwanyanganya 3. Masjid Aqswa hawawezi kuwachiwa mayahydi waifugie nguruwe 4. Adui mkubwa dunia ni myahudi. Kwa hivyo waislam wanahaki ya kujilinda. Allah aware ushindi waislam...
  8. Mhaya

    Dunia ielewe kuwa Israeli haipigani na Waislamu au Palestina, bali inapigana na Hamas

    Kitendo cha HAMAS kuvamia Israel na kuua baadhi ya Raia, kumimina risasi uraiani, na kuteka watu ikiwemo watanzania wawili, icho tayari ni kitendo cha Kigaidi (Terrorism Act), rejea maana ya neno 'Terrorism' au 'Ugaidi'. Hata hivyo mwanzo watu walionekana kufurahishwa na vitendo vya Hamas...
  9. Webabu

    Wanaharakati wa Palestina watoa buriani, wauliza wako wapi majirani zao milioni 315. Na sisi twajiuliza iko ile jumuiya ya OIC

    Buriani kwa sisi waswahili ni maneno ya mwisho ya mtu ambaye amejiona yuko hatua za mwisho kufa na kuiacha dunia. Salamu kama hizo leo zimetolewa kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii kama tiktok na miningene amabayo JF huenda haijawezesha kutumika matoleo yao. Mmoja kati ya wanaharakati hao...
  10. YEHODAYA

    Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

    Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
  11. Webabu

    Najib Mikati, Waziri Mkuu wa Lebanon: Jeshi la Lebanon ni nguzo ya muundo wa taifa

    Kaimu waziri mkuu wa Lebanon, Najib Mikati hapo jana alifanya ziara ya kushtukiza kusini ya nchi yake na mpakani na Israel.Katika ziara hiyo aliambatana na kamanda mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, Joseph Auon. Katika ziara hiyo alikagua vikosi vya UNIFIL na kusema alifika eneo hilo pendwa la...
  12. FaizaFoxy

    Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

    Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran. Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai"...
  13. M

    Kwanini hadi leo NATO na Israel haijangia kwa miguu gaza?

    Palestina hana silaha kubwa. Yeye anatumia manati na jiwe huku NATO na Isreal wakitumia mabomu yenye kuangamiza na yaliopigwa marufuku duniani. Lakini kwanini hadi leo wanaogopa kuingia kwa miguu? Soma kidogo waislam wanavyopigana. SOMA Siku ya tarehe kumi na saba ndani ya mwezi mtukufu wa...
  14. A

    Lini tutapeleka misaada Palestina?

    Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki. Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)? NB: Katika...
  15. Mhaya

    SOMA: Namna BIBLIA ilivyotabiri kipigo cha GAZA na Majirani zake, na namna GAZA ilivyokuwa ikisurubiwa toka enzi za manabii

    Mimi kama muhaya, nshomile kutoka Uhayani Republic, imenibidi niingie chimbo kuleta maelezo kamili juu ya hii vita ya Israel na palestina ambayo kuna watu wanadhani Gaza inapigwa kwa bahati mbaya. Ukisoma maandiko ya agano la Kale (Old Testament) katika biblia na vitabu vya kiyahudi Torah na...
  16. N

    Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

    Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina — France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood — MP in France wants to revoke his citizenship — A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
  17. Webabu

    Silaha na askari wamiminika mipakani mwa Israel. Biden ashtushwa. Aenda Israel mwenyewe huku akitaka Palestina wapewe nchi yao

    Kuna taarifa kuwa wanamgambo kutoka Iraq na Iran wamekuwa wakimiminika kwenye mipaka ya Israel hasa upande wa Lebanon.Pamoja nao ni malori yenye shehena za silaha. 'Very clear' Iran is moving people, weapons to Israel's northern border: Benjamin Hall Hali hiyo inaonekana kumshtusha rais Joe...
  18. The Assassin

    Angalia tofauti ya vita ya Ukraine na Russia na Israel na Palestina

    1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na...
  19. Mhaya

    Mtoto wa kiongozi wa kundi la HAMAS abadili dini na kuwa MKRISTO na kuelezea yanayofanyika ndani ya Hamas

    Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa Mkristo na sasa anaishi kwa Amani. Mosab Hassan Youssef aliandaliwa kuwa kiongozi atakayerithi uongozi wa...
  20. Z

    Tunahitaji kumwelewa Mungu kwa undani zaidi, makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui kati ya Israel na Palestina

    Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana . Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa...
Back
Top Bottom