panya road

  1. Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

    Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa...
  2. Panya Road 200 wanyongwa hadharani DRC

    Hawa vijana wahalifu waliokuwa wanafanya uhalifu Kinshasa na miji mwingine ya DRC wamenyongwa hadharani: kunyongwa maana yake kuning'inizwa kwa kwamba. Well,ndio habari yenyewe. Walikuwa wanafanya uhalifu kwa kutumia visu,mapanga,bisbis. Of course kule DRC hawaitwi "Panya Road" Kule wanaitwa...
  3. Wanaodhaniwa panya road waibukia Dodoma watu watatu wajeruhiwa

    Watu watatu wamejeruhiwa kwa kukatwa na mapanga na kikundi cha watoto wahalifu wenye umri chini ya miaka 18 katika Mtaa wa Msangalalee Magharibi, Kata ya Dodoma Makulu, jijini Dodoma. Vitendo hivyo vimetokea baada ya watu hao kukataa kutoa fedha walizoombwa na watoto hao. Matukio hayo...
  4. Hivi Arusha OCCID wa Miaka 2010-2012 Alikuwa Nani Mbona Wizi wa Panya Road. Ulizagaa

    Nakumbuka miaka hio maeneo ya mianzini Panya Road kama 20 hivi wanavamia nyumba kadhaa Kila mtu anakuwa mdogo wanachukua wanachotaka kwenye compound nzima let's say apartment 5 basi wanavuruga kote na mnavhezea panga yente yente kama zote kama kawaida. Enzi hizo makao mapya yote haikuwa na...
  5. Ongezeko la matukio ya wizi maeneo ya Buguruni Dar Es Salaam

    Hivi karibuni katika eneo la Buguruni kumekuwa na unyang'anyi ambao hufanywa kwenye mida ya saa 10 mpaka saa 11 alfajiri. Wezi hao wamegawanyika katika makundi mawili; kuna ambao hutembea kwa vikundi na hubeba silaha kama visu na ambao hutumia bodaboda. Wanawavizia watu ambao wanaenda kazini...
  6. M

    Madeleka kufungua kesi ili ukweli ujulikane kama waliouawa Vingunguti ni panya road

    Alichoandika Peter Madeleka. Hakuna “PANYA ROAD” anastahili KUULIWA bila kufikishwa MAHAKAMANI kwa mujibu wa KATIBA na SHERIA za nchi yetu. Nitakwenda MAHAMANI ili KUTHIBITISHA UONGO juu ya MAUAJI ya RAIA hao hapo. Upo USHAHIDI wa KIMAHAKAMA kwamba POLISI waliwahi KUUWA wafanyabiashara wa...
  7. Panya Road Tena

    Hawa jamaa wamerudi tena amekeni amkeni. Kukosa ajira na ulinzi dhaifu https://www.jamiiforums.com/threads/vyombo-vya-ulinzi-mmewashindwa-panya-road.2163327/page-2#post-48617937 https://www.jamiiforums.com/threads/mpango-wa-miaka-5-ya-kurekebisha-vijana-panya-road.2101975/
  8. R

    Nasikia Panya Road wamerejea kwa kasi DSM wanatafuta fedha ya sikukuu; chukua taadhari

    Kuna jamaa yangu kavamiwa jana huko maeneo ya Kinyerezi na kundi la vibaka wakamsachi na kuchukua kila alichokuwa nacho. Anachoshukuru ni kwamba amefanikiwa kuondoka akiwa mzima wa afya na sasa yupo njiani kurejea Mwanza. Naongea naye ananiambia kwa idadi ya vijana waliomvamia aliona kifo...
  9. Panya road waliovaa suti?

    Msanii Nay wa Mitego, ameshusha Ngoma mpya humo ndani wanatajwa Panya Road, waliovaa suti mm bado sijawajua hao Panya Road waliovaa suti ni wa kina nani. Mwenye uelewa tafadhali.
  10. SoC03 Wafungwa kabla ya kutoka gerezani waandaliwe kisaikolojia

    Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Hutoa Msamaha wa Wafungwa, Kwa Idadi Inayopendekezwa na Magereza, Nchi Nzima Ikiwa Pia...
  11. SoC03 Mpango wa miaka 5 ya kurekebisha vijana - Panya Road

    An Extensive 5 Year Reforms Program for the Youth - Panya Road Hata Wafungwa Wanaweza Kufaidika Kwenye Programu Hii. Tuwatumie Panya Road, Kuimarisha Uchumi kwa Kutoa Mafunzo ya Uzalishaji, Ufundi na Kazi za Amali, Mila, Utamaduni na Uzalendo. Haya Matukio ya Panya Road, yananikumbusha tukio...
  12. K

    Wahalifu hawatopenda ujio wa Chalamila Dar es Salaam

    Panya Road, vibaka, na wauza madawa ya kulevya pamoja na wavuta shisha wa mkoa wa Dar es Salaam hawatapenda ujio wa mkuu wa mkoa mpya Albert Chalamila kwani hapendi ujinga na hatawavumilia kabisa kwa hiyo wajiandae. Mitaa ya Ufipa maeneo ya manyanya mateja walikuwa wameanza kumea kwa kasi...
  13. Uzi wa kusaidia vyombo vya dola kujua machimbo yote (incubation hubs) za panya road na vijana wahalifu mikoa yote

    Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature. Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam. Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania. Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
  14. U

    Panya road katika matukio yao ni lazima wajeruhi kila mtu?

    Kwanza kabisa lazima tukubaliane kimsingi kuwa panya road ni school drop out hasa shule ya msingi na secondary, lakini wengi pia ni wale waliolelewa Kwa style ya single mothers hii nimeongea sio kukejeli lakini ni kutokana na mahojiano waliyofanya wenzao kituo Cha polisi. Jana Tarehe 11.02.23...
  15. Panya Road wavamia Bunju Magengeni, maduka yafungwa kwa kuhofia usalama

    Wakuu nimepata taarifa kuwa Bunju hali mbaya, Kuna Panya Road wanaharibu magari na kukata watu mapanga huko Bunju Magengeni Nasikia hali mbaya, Hofu imetanda sana, Nipo Mbezi Beach naelekea huko lakini hali ni tete sana Eneo la Magengeni hali ni mbaya sana kwa mujibu wa taarifa ---- ===...
  16. Panya Road wavamia nyumba za wakazi Kibaha, wapora na kujeruhi wananchi kadhaa

    Wananchi waliovamiwa na kundi la vijana Wahalifu wenye silaha mbalimbali maarufu Panya Road maeneo ya Kibaha Mkoani Pwani wamesema vibaka hao waliwavamia kwa makundi huku wakisema hiyo ndio njia yao ya kupata rizki hivyo kila mtu atii amri ya kutoa anachoelekezwa. Wakizungumza kwenye makazi yao...
  17. Kipi 'Kimewanyamazisha' ghafla Wahalifu 'Panya Road' Mkoani Dar es Salaam?

    a) Mizizi yao imeshajulikana na imedhibitiwa Kiurahisi. b) Ulikuwa ni Mpango Mkakati wa kufunika Jambo kwa Kipindi husika. c) Kuuliwa Kwao Kishalubela ( Kikatili ) na Maiti zao Kurundikana Mochwari Kumewatisha na hata Kuwakimbiza Mjini. d) Wametumika kufikisha Ujumbe mahala fulani Juu kabisa...
  18. Polisi yawakamata Panya Road 14 Unguja, 6 kati yao wametokea Dar es Salaam

    Vijana I4 kati yao 6 wakitokea Dar es Salaam wanaodaiwa kujihusisha na uhalifu kwa kutumia silaha za jadi maarufu kwa jina la Panya Road wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kupora na kujeruhi watu kadhaa Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibu, ACP Richard...
  19. Kimara Resort pana mapango ya Panya Road na Polisi hawafanyi kitu

    Tukisema mnashirikiana nao mnabisha na kutoa statement ndefu na waraka, mnataka kusema hamjui kuna mapango ya Panya Road na vibaka hapa Kimara Resort upande wa Theofil Ngowi Sec? Yaani mtu unatoka kazini unaona jamaa wanatoka na mapanga marungu visu bisibisi na wameshajeruhi raia kadhaa na...
  20. R

    Ansbert Ngurumo: Spika Tulia hana tofauti na Panya Road, awajibishwe

    Ansbert Ngurumo amesema kauli ya Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Ackson, kuwaambia vijana wa-CCM kuunyooka na kushughulika na watu wanaomsema vibaya Rais na viongozi wa CCM, haina tofauti na Panya Road ambao pia hutishia maisha ya watu kwa matendo yao. Amesema Rais ni muajiriwa wa kwanza wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…