Wakati wa utawala wa Awamu ya Tano tulishuhudia kupungua kwa wimbi la uhalifu nchini lakini pia tuliona ongezeko la vijana kwenye sekta ya ujasiriamali na shughuli halali za kujiingizia kipato.
Baada ya kuanza kwa Awamu ya Sita, kipaumbele cha kwanza kilikuwa ni kuwazuia na kuwaondoa...
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi sana ya uhalifu yakihusiana na makundi ya vijana jiji Dar Es Salaam . makundi ayo maarufu kwa jina la PANYA ROAD .
Matukio yamezidi kuwa mengi na athari ya matukio hayo ya uhalifu yamepelekea mpaka wanajamii kupata ulemavu , kubakia na majeraha na wengine...
Hao vijana Wana nguvu za kutosha zilizokosa mpenyo ndio maana wanatusumbua mtaani!
Nchi yetu ina ardhi ya kutosha sana ya kuendesha kilimo na ufugaji,kamata vijana Hawa peleka jkt wakalijenge Taifa letu kuliko kuwa wakabaji!
Operation "Kamata jiunge jkt tumikia Taifa lako"inawafaa Sana Hawa...
Kwema Wakuu!
Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana!
Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo...
Ulinzi shirikishi naweza sema ni moja ya chanzo cha panya road. Wengi wanakua watu waliojikatia tamaa na maisha, wahuni wahuni wanalipwa ujira kuzurura usiku. Hii ni fursa kwao wanachora ramani ya mtaa kwa ajili ya matukio kupitia wenzao.
Ulinzi shirikishi ni chanzo maana mtu unaweza kutana na...
Mh IGP wetu Hili jambo la jeshi la polisi kuthubutu kutoa taarifa za watoto wa darasa la sita mpaka form four na kuwaita Panya Road eti wameshindwa kuwadhiti ni jambo la kujiuliza uwezo wa jeshi la polisi watoto WADOGO WANAFANYA Jiji la Dsm watu walale saa kumi, hapana hapana uwezo wa askari...
Hali kwa sasa ishakuwa Tete leo majira ya saa Saba usiku kundi la vijana wapatao 50 wamejeruhi watu watatu nakuiba pesa na Mali Kama tv halI ya majeruhi n mbaya Sana wapo temeke hospitali.
Tunaomba serikali iwape nguvu Zaid jeshi la polisi na mgambo kwa vifaa na ujuz pia.
Huku tozo huku wizi...
South Africa ina moja ya Jeshi la Polisi lenye vitendea kazi bora kabisa kwa Bara la Afrika lakini angalia uhalifu.
Hawa Panya Road tunajidanganya wataisha kwa kuongeza nguvu na kumwaga polisi wa kutosha mitaani, hii ni zima moto tu, je chanzo cha hao panya road ni kipi? Je, watawala wana dili...
Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24.
Eneo la tukio na...
hawapendi
hawataki
jambo
jamii
jpm
mara
mifugo
mikoa
mkoa
mkoa wa mara
musoma
mwanafunzi
panyapanyaroad
sana
serikali
silaha za jadi
udsm auawa
uvamizi
watanzania
Akijibu hoja ya Wabunge Bahati Ndingo na Bonnah Kamoli, waliosimama kutaka Shughuli za Bunge ziahirishwe ilikujadili uhalifu wa vikundi hivyo kwa dharula, Spika wa Bunge amesema Kanuni za Bunge haziruhusu.
Dkt. Tulia amesema kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 55 ya Bunge suala hilo...
Mikoa mingine mbona hawa vijana wanadhibitiwa?
========
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema mkoa huo umeongeza askari 300 kwa ajili ya msako wa kuwakamata wahalifu maarufu 'panya road'.
Makalla ameyasema hayo leo Alhamisi Septemba 15, 2022 alipokuwa...
Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu.
Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na mashambulizi ya nje, lakini pia kuwalinda dhidi ya changamoto zote za kiusalama zinazoweza...
Ndugu zangu,
Baada la tukio la mauaji ya mwanafunzi kawe, nimeona leo nililete hili!
Ukiangalia matukio haya ya Panya Road sehemu ambazo huwa zinatajwa kuathirika mara kwa mara ni maeneo ambayo sisi kitanzania tunaita "uswahilini".
Huku uswahilini ndipo wanaishi wananchi wa hali za chini sana...
Kwa sasa Dar es Salaam ni kama imeanza kutikisika, haijafikia kiwango hicho lakini kiuhalisia kuna mambo hayako sawa hasa yanayohusu ulinzi.
Hawa vijana wa Panya Road sijui niseme wanachekewa au mamlaka hazijapata jibu hasa la kudili nao, wenyewe mamlaka za ulinzi zinajua zinachokifanya.
Juzi...
Habari wakuu,
Inasikitisha na kutia hasira kuona tumefikia huku na tunasema kila siku jeshi letu ni kiboko. Kweli Panya Road ndiyo wameshindikana kiasi hiki mpaka kufikia mtu anapoteza uhai na nyie mpo?!
Ama huu ni mchongo wa mtu unaoibuliwa kila akitaka kupata maslahi yake anayoyajua...
Wakuu kwema,
Kuna habari sina uhakika kama ni ya kweli au ni uzushi tu, kwamba kuna Panya Road eti kuna eneo mjini kati walivamia tena na kufanya uhalifu na kuua! Sidhani!
Nashauri IGP aanze safisha safisha ya wahuni wote kwenye vijiwe vya wavuta bangi, tena ikibidi wenye records za uhalifu...
Assalaam Alaikum.
Wadau naskitika kuwa jirani yangu maeneo ya Tabata Bima mtaa wa Madukani jana alivamiwa na Panya Road na kumjeruhi vibaya.
Walivyofanya hivyo hawakutosheka wakawajeruhi na wengine wa 4. Majeruhi wamepelekwa Amana hospitali usiku ule ule.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea...
Wakazi wa mtaa wa Kabaga Kinyerezi yamewakuta.
Ilikuwa ana kwa ana na panya road usiku wa manane. Kwa takribani masaa 2 ikivunjwa nyumba moja baada ya nyingine. Wakazi hao macho pima walikuwa wakichungulia madirishani, wakiwa wameufyata vilivyo mmoja baada mwingine akisubiria zamu yake...
Alisikika kamanda mkuu wa kanda ya kipolisi ya dar es salaam mwezi wa tano mwaka huu wa 2022 akisema wamefanikiwa kuwakamata vijana wasiopungua thelathini na moja 31 katika operesheni ya kuwasaka panya road iliyofanyika maeneo yote ya mkoa wa dar es salaam ambayo ilianza takribani tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.