panya road

  1. Roving Journalist

    Polisi yatangaza kuwashikiliwa watuhumiwa 6 wa Panya Road baada ya tukio la Kunduchi

    Saa chache tangu kutoka kwa tukio la watu kujeruhiwa kwa mapanga na kikundi kinachodaiwa kuwa ni 'Panya Road' katika eneo la Kunduchi Mtongani Jijini Dar es Salaam, watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi. Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
  2. Bondpost

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji. Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani . Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna...
  3. Influenza

    RC Makalla: Kuanzia usiku wa leo hakuna Panya Road atasalimika, operesheni inayoanza si salama kwao

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao...
  4. Suzy Elias

    Panya road: Kikundi cha uasi kinachopiga jaramba

    Kwa sasa huenda kisiwashughulishe sana mafisadi CCM na kwa sababu wanashiba na kulindwa na mabunduki watakipuuza hicho kikundi. Ukweli ni kwamba panya road wakipata mfadhili na watu wa kuwapanga vyema ki mkakati kitakuwa ndicho kikundi sahihi cha kuitoa CCM madarakani.
  5. sonofobia

    Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road. Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali. Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza...
  6. Mr Dudumizi

    Haya yakifanyika uhalifu utaisha, panya road watakwisha na raia watakuwa wanalala milango wazi hadi asubuhi

    Habari zenu ndugu zangu. Baada ya salam, ningependa niende kwenye mada husika kwa kutumia mifano hai iliyopita. Katika historia ya nchi yetu toka tapate uhuru mpaka leo, hakuna kipindi kilichokuwa na changamoto za kiusalama kama kipindi cha miaka ya 1989 hadi 1993. Hiki ndio kipindi ambacho...
  7. Saint Ivuga

    kuhusu panya road: Dar es salaam hakuna Polisi

    napenda kuhitimisha kuwa dsm hakuna askari polisi.. kuna polisi wa kuidhibiti chadema basi.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Namna ya kujihami na Panya Road au Makundi ya namna hiyo

    NAMNA YA KUJIHAMI NA PANYA ROAD, AU MAKUNDI YA NAMNA HIYO! Anaandika, Robert Heriel Mara ya Kwanza Panya Road niliwaona mwaka 2016, Maeneo ya Tandale, kipindi hicho nilikuwa nasoma chuo, DSM. Kilichokuwa kinanipelekea Tandale licha ya kuwa nilikuwa nikiishi Sinza Lion; ni kwenda kushangaa...
  9. Komeo Lachuma

    Je, Panya Road wamewashinda? Wamerudi kwa kasi ya kutisha sana

    Jamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki...
  10. Kiminyio 01

    Panya Road wamerudi, tuchukue tahadhari, Polisi Dar wafanya msako wawanasa waliowapiga watu mapanga

    Wana Jf Wasalaam, Tukielekea katika kipindi hiki cha kufunga Mwaka pamoja na kusheherekea Christmas & Mwaka Mpya Tuchukue Tahadhari hasa kuhusiana na kundi la vijana wahalifu wanaotembea kwa Makundi (Panya Road) Update; -Jana wamefanya Ukabaji Maeneo ya Karakata Airport ,mmoja Kati ya panya...
  11. tatum

    Wakati Dar tunasumbuana na 'Panya road' huko Mbeya wameibuka 'Wakorea weusi'

    Wakati katika jiji la Dar es salaam vyombo vya dola vinahangaika kuhakikisha kabisa kuwa vijana wanaojiita 'Panya road' wanatokomezwa kabisa ambao ni maarufu sana maeneo ya Yombo,Buza na baadhi ya maeneo ya Mbagala na Mburahati basi Mkao wa Mbeya ambao inasadikika kuwa una rais wao waliemchagua...
  12. D

    Panya road: Ni nani aliyebatiza jina hilo la kitaalam kabisa?

    Uchambuzi, Katika kupambana na wahalifu, kuna wakati inabidi tuwaze mbali zaidi. Ingawa natambua watanzania tulio wengi huwa hatupendi kufikiri Kwa kina; Naomba Leo tutafakari kwanza maswali yafuatayo; 1. Nini maana ya PANYA ROAD 2. Nani aliyelathimisha jina hilo la kitaalam. 3. Nini malengo...
  13. IZENGOB

    Panya road waibua taharuki Mbagala

    Tukio hili limetokea leo saa 3 usiku Mbagala mwisho na shuhuda wa tukio hilo nikiwa mimi mwenyewe. Nikiwa njiani narudi nyumbani kulitokea taharuki kubwa baada ya tetesi kusikika kuwa Vijana watukutu maarufu kama PANYA ROAD wamevamia stand ya Mbagala wakifanya wakipora mali na kupiga watu...
  14. Informer

    Panya Road warejea kwa kasi jijini Dar. Makonda umelala?

    Leo wameichakaza Makumbusho na inaonekana trend itaendelea. Wizi wa mchana kweupe wa kundi la vijana takribani 50 wakiwa na silaha za jadi unaonekana kulishinda Jeshi la Polisi jijini Dar. Tukimbilie wapi?
Back
Top Bottom