Wamerudi maeneo ya Tabata na hawa madogo wanapovamia hujinasibu kua hakuna wa kuwafanya kitu na huahidi kurudi eneo la tukio tena baada ya mda.
Hawa watu hushirikiana na Polisi hasa kugawana vitu wanavyo pora baada ya kuviuza hakuna mtu anaweza sema hili kwa sababu linagusa watu nyeti pia walio...
Jumatatu iliyopita vijana wahalifu maarufu kama panya road wamevamia watu, wawaibia kisha kuwajeruhi kwa mapanga.
Mmoja wao kapigwa mapanga kichwani na kupoteza damu nyingi nusura apoteze maisha. Baada ya kujeruhiwa kaporwa simu na PESA nyingi.
Mwingine kaporwa simu, PESA na passport na...
Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika?
Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Amos Makalla amesema kuwa Operesheni ya kutokomeza Panya Road ni endelevu na bado inaendelea.
RC Makalla amesema hayo wakati akizungumza kwenye kikao Maalum na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ambapo amewatoa hofu Wananchi kuwa mji uko salama.
"Kwa Panya road...
Kundi lingine la wahalifu 25 ambao wengi wao ni Vijana maarufu kwa jina la ‘Panya Road’ waliokamatwa wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha ikiwemo mapanga.
Watuhumiwa hao walifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa...
Kundi la watuhumiwa wa uhalifu ambao wengi wao ni vijana maarufu kwa jina la ''Panya Road'' wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha (mapanga).
Mtuhumiwa wa kwanza Daud Abdallah, 22, Mkazi wa Tungini pamoja na...
Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LINAWASHIKILIA BAADA YA KUWAKAMATA WATUHUMIWA 23 KWA TUHUMA MBALIMBALI ZA KIHALIFU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeendelea kuisimamia oparesheni maalum kali ya mtaa kwa mtaa, Kata kwa Kata dhidi ya makundi ya wahalifu ambao wengi...
Nikiwa Kama Kijana Mzalendo Hapa Tanzania Nimeamua Kujitolea Kupambana na Hawa Vijana Wapuuzi Wanao Tishia Maisha Ya Watanzania Wenzangu
Nimepitia Mafunzo Ya Ugambo mwaka 2001 nikajiunga Na jeshi Mwaka 2004.
Mwaka 2011 nikapelekwa Somalia kupambana na Vikosi vya ugaidi Mwaka 2016 nikaingia...
Mie si mshari, mchokozi na wala sina hasira.
Lakini toka majuzi panya rodi walipotetemesha hadi Kunduchi nikaona sasa wacha mbwai iwe mbwai.
Wanaume wa kanda Maalum Musoma wamezidi kutucheka.
Panya rodi mkiniona na subaru ya bluu na nakunywa mitaa ya Kunduchi njooni mnisalimie.
Nina salaam zenu.
Habari!
Panya road (vibaka) wanaudhi
Wezi wa kura (wapotosha haki) wanaudhi.
Je, kati ya makundi hayo mawili juu ni kundi lipi linaweza kuleta matatizo makubwa zaidi katika nchi kuliko jingine?
Ni kundi lipi lina afadhali?
Alikuta taifa lake likiwa na uharifu mkubwa sana alipoingia madarakani mwaka 2016. Wauza unga walikuwa wengi, wakabaji wa kutumia siraha na majambazi.
Alitumia njia moja tu kama mkuu wa vyombo vya ulinzi. Mhalifu mwenye silaha awe kibaka, muuza unga au jambazi akiwa na silaha frontline ni kula...
Haiwezekani vijana under 20 years wakawalaza macho juu.
Kuuwaua sio njia sahii kwani most of them they know nothing About life so kuwaua kwa Risasi it about killing innocent kids so Panya road are supposed to live last longer
Njia za kumaliza hili tatizo ni kutumia njia za haki na kuhakikisha...
Naomba niwape ushauri wa kuwamaliza hawa viumbe.
Kwanza kabisa mfumo wa dar umekaa tofauti sana na mikoani, ndio maana huwezi kuona magenge haya ya waharifu katika mikoa mingine, watu wanao tamba bara barani na kufanya uharifu.
Ingekuwa ni mkoani tungetumia mbinu ya sungusungu kumaliza hili...
Panya Road nia zao mbaya ni pamoja na kuiba, kupora, kusumbua jamii na kuuwa. lakini panya road wanafanya hivyo kwa direct way. yani watakuwa presentable kwa kile kibaya wanachofanya.
Najiuliza...
Hivi hawa wanawake wa siku hawawezi kuwa panya road wanaofanya kazi undercover kama wale CIA...
Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi!
Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo)
Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.