NAMNA YA KUJIHAMI NA PANYA ROAD, AU MAKUNDI YA NAMNA HIYO!
Anaandika, Robert Heriel
Mara ya Kwanza Panya Road niliwaona mwaka 2016, Maeneo ya Tandale, kipindi hicho nilikuwa nasoma chuo, DSM. Kilichokuwa kinanipelekea Tandale licha ya kuwa nilikuwa nikiishi Sinza Lion; ni kwenda kushangaa...