passport

  1. Msaada: Nahitaji passport ya kusafiria

    Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho. Natanguliza shukran🙏
  2. Kuna aina ngapi za passport za kusafiria hapa Tanzania?

  3. Msaada namna yakuweka passport size photo kwenye ajira portal

    Msaada wana JF kwa anaejua namna yaku upload passport size photo kwenye ajira portal
  4. W

    Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

    sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale. kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
  5. Naweza kuendelea nilipo ishia kwenye kwenye ufuatiliaji wa passport ta kusafiria

    Habari za muda huu wana jF ningependa kuuliza na kujua Je kama nimeshalipia control number ya passport online nika downlaod na form na imepita miezi sita je nikitaka kwenda kwnye ofisi ya uhamiaji inanibidi nianze upya ufuatiliaji (kulipia 20,000 ) kwenye control number.? au nitaendelea nilipo...
  6. Nini cha kufanya ukipoteza passport ugenini?

    Ukikutana na hiyo changamoto utapaswa kuchukua hatua gani? 1. Utaitaarifu kwanza ofisi ya ubalozi wako? 2. Utaripoti kituo cha Polisi cha nchi uliyopo?
  7. Inachukua muda gani kubadilisha jina kwenye passport?

    Msaada wa haraka tafadhali! Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k. Majina yanayobadilishwa ni mawili: la kwanza na la kati. La mwisho (la ukoo) litabaki kama lilivyokuwa. Utaratibu ukoje? 1...
  8. Passport ya kusafiria

    Habari za mchana wana jamii naomba kutahamu utaratibu upoje kwa mtu anaehitaji kupata passport ya kusafiria vitu anavyotakiwa kuwa navyo pamoja na gharama ni kiasi gani na inachukua muda gani mpaka kupata passport yako baada ya kukamilisha maombi
  9. Ifahamu Diplomatic Passport (Pasipoti ya Kidiplomasia)

    Kumekuwa na mijadala iliyoibuka hivi karibuni juu ya uwepo wa baadhi ya watu kupewa pasipoti ya kidiplomasia hapa nchini. Swali kubwa likiwa, je, watu hao wanazosifa za kupewa pasipoti hizo? Swala sio ni akina nani na Wala sina nia ya kuwajua, lengo la Uzi huu ni kutaka tuweze kujua ni akina...
  10. Paul Mselle: Wenye changamoto ya kucheleweshewa “Passport” wafike ofisini watapata majibu

    Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Mrakibu wa Uhamiaji, Paul John Mselle amesema Watu ambao wamekuwa na changamoto ya kudai kucheleweshewa kupata Pasi ya Kusafiria (Passport) wanatakiwa kufika Ofisi za Uhamiaji waelezee changamoto zao. Amesema hayo wakati akijibu...
  11. KERO Miezi mitatu nafuatilia Passport mpya, napigwa kalenda tu, ni kweli UHAMIAJI mmeishiwa material ya kuprinti Passport mpya?

    Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye mambi yangu mtandaoni kisha nielekeze nikachukue Passport yangu hiyo Dar es Salaam Nikafanya hivyo...
  12. British Indian Passport

    Picha hii ilichukuliwa mwaka 1930, hii passport walitumia raia wa India na Pakistan. Eneo lote Hilo liliitwa Indian Empire. India na Pakistan zilipata uhuru kutoka Uingereza mwaka 1947, baada ya hapo watu walichagua passport ya kubeba, iwe India, Pakistan au British.
  13. Kipi kikubwa au kikuu kati ya kitambulisho cha Taifa(NIDA) na passport?

    Wakati mtu unaomba passport katika idara ya uhamiaji unahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) lakini pia unapaswa tena kufuata mchakato ule ule uliotumia kupata kitambulisho cha NIDA, sasa nini maana kuwa na kitambulisho cha Taifa! Kipi ni kikubwa, kikuu au cha muhimu zaidi kati ya...
  14. M

    KERO Upatikanaji wa Passport kwenye ofisi ya Uhamiaji pale Kibaha Mjini bado ni changamoto

    Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport. Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya. Je ni haki? Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...
  15. Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport ya kusafiria

    Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport Wasiliana nasi kupitia WhatsApp: 0612607426. Kazi zote zitafanyika remotely. Huduma za ujenzi Vituo vya Mafuta Kwa wale wanaotegemea kujenga vituo vya mafuta, njoo tukuandalie mpango wa biashara na mchoro wa kituo cha mafuta kwa gharama ya...
  16. Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  17. Msaada Passport ya kusafiria

    Kuna yeyote hapa ambaye amekutana na tofauti kati ya taarifa zilizopo kwenye cheti cha kuzaliwa na zile za kwenye NIDA? Hasa sehemu ya kuzaliwa zinatofautiana? Ninauliza kwa sababu nataka kufuatilia upatikanaji wa pasipoti na nina wasiwasi juu ya taarifa sahihi zinazohitajika na uhamiaji."
  18. Anayesimamia utoaji wa Pasi za kusafiria (Passport) embu alegeze, watu wanateseka sana

    Kwako Ndugu Kamishna wa Uhamiaji Mamayetu Pls kitengo cha uhamiaji upande wa passport embassy fanya marekebishooo Leo niliamua kuadhimisha miaka 3 ya mama samia kwa aunt yangu Nimepata muda wa kuangalia sifa na baadhi ya malalmiko yaliyotolewa na wananchi Katika tv mbili tofauti wananchi...
  19. Msaada kujaza fomu ya passport online

    Habari zenu wakuu ? Niko hapa najaza fomu ya kuomba Passport online. Nimefika hii hatua natakiwa nijaze dhumuni la safari na maelekezo yanasema ni lazima kujaza. Sina safari yoyote bali nahitaji tu kuwa na passport. Kwa wenye uzoefu natokaje hii hatua ? Nashukuruni sana kwa msaada wenu.
  20. Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

    Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu. Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi. Kigezo eti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…