Sisi waafrika tumelaaniwa na sidhani kama Mwenyezi Mungu alituumba na akili sawasawa.
Ona Paul Kagame anavyotumiwa na nchi za Magahribi kuiba na kuua wacongo.
Ninavyojua mimi wanamtumia ti wakiwa wanamtegesha tu kwamba madini yakiisha tu wanammaliza Kagame mwenyewe. Au Kagame akishtuka tu...
For so long time nimekuwa well off kwenye mchezo wa kikubwa ila kuna jambo lilikuwa linaninyima raha sana.
Mimi ni mwembamba mrefu, kama Kagame, ingawa Kagame amenizidi kimo na wembamba.
Nilianza kumjua Kagame kwa kumfuatilia kwa ukaribu kupitia social media, nikiwa chuoni.
Kagame ameoa mke...
Linapokuja suala la dini Kagame ndiye kiongozi 'sensible' zaidi katika bara la Africa.
Sasa hivi anafikiria makanisa yaanze kulipa kodi!
Pia soma: Rwanda yafunga makanisa 4,000 na misikiti 100 iliyokiuka vigezo vya usalama
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametangaza kuwa anaweza kuanzisha kodi...
Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua tena Dr.Edouard Ngirente kuwa Waziri Mkuu katika Serikali mpya nchi humo.
Bw.Ngirente ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu, siku mbili baada ya Paul Kagame kuapishwa kuwa Rais wa Rwanda kwa muhulu mwingine wa miaka mitano.
Hata hivyo alikuwa ni Waziri Mkuu tangu...
Baada ya mda mrefu madarakani,akiiongoza nchi ya Rwanda kama raisi, leo tarehe 11 Agosti 2024, majira ya saa tisa na dakika 42, mbele ya jaji mkuu wa mahakama kuu ya Rwanda, Dr. Iyamuremye, Paul Kagame amekula kihapo cha kuiongoza Rwanda tena,kwa kipindi cha miaka 5.
Ni sherehe iliyohudhuliwa na...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Rwanda kesho asubuhi kushiriki sherehe za uapisho wa Rais Mteule, Paul Kagame ambaye alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo mwezi Julai 2024.
Rais Mteule Paul Kagame anatarajiwa kuapishwa Agosti 11, 2024.
Amakuru,
Komisiyo y’Igihugu y’Amatora ya Rwanda, NEC, yatangaje gahunda n’amakuru y’ingenzi yerekeye amatora ya Perezida na Abadepite yo mu mwaka wa 2024.
Ibyavuye mu matora by'agateganyo:Ibyavuye mu matora y'umukuru w'igihugu by'agateganyo bizatangazwa mu ijoro ryo ku itariki ya 15 Nyakanga...
Matokeo ya awali yanaonesha Paul Kagame amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kushinda uchaguzi wa Jumatatu kwa zaidi ya 99% ya kura.
Kagame mwenye umri wa miaka 66 alishinda uchaguzi wa 2017 kwa 98.63% ya kura, kiwango cha juu zaidi ya 93% aliyopata mwaka wa 2010 na 95% mwaka wa 2003.
Wakosoaji...
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .
Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia...
Paul Kagame
Siku za nyuma, Katibu Mkuu wa chama tawala, RPF inkotanyi, bwana Wellars Gasamagera, alitamka wazi kuwa, RPF haiwezi kuachia madaraka kwa mtu mwingine au chama chochote.
Ikumbukwe, chaguzi zote zilizopita, matokeo ya uchaguzi yalionyesha kiongozi wa chama hicho, ambaye mara zote ni...
“We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….."
Anaendelea kusema
" Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"
Kifo cha ghafla cha Anne Rwigara tarehe 28 Desemba 2023, kiliwashangaza familia yake inayoishi huko California. Anne, mwenye umri wa miaka 41, alikuwa dada wa Diane Rwigara, kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Rwanda ambaye aliwahi kujaribu kugombea urais. Anne, ambaye hakuwa na matatizo...
Jean Bosco Gasasira ameishi uhamishoni kwa karibu miaka 14. Mnamo mwaka wa 2010, alikimbia Rwanda baada ya kupokea vitisho vingi akiwa mwandishi wa habari na mhariri mkuu wa gazeti huru la Umuvugizi. Muda mfupi baada ya kuondoka kwake, mhariri mkuu wa muda aliuawa mjini Kigali, na kusababisha...
Inachukua saa chache tu kwa basi kutoka Kigali hadi Goma, lakini kusafiri kutoka Rwanda hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuligharimu mwandishi mmoja kuhama Nchi—na huenda kuligharimu mwenzake maisha yake.
Mnamo Novemba 2022, waandishi wawili wa habari wa Rwanda, Samuel Baker Byansi...
Kuna watu huwa wakiamini kitu huwa wanaamini mwanzo mwisho.
Dada lao ameamua kumchallenge Paul Kagame mara ya pili huku uchaguzi uliopita ulimuacha pabaya.
Mwezi Januari 2023, mwandishi wa habari wa Rwanda John Williams Ntwali aliuawa katika ajali ya barabarani. Ripoti zake zisizokoma kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu, mateso ya kisiasa, na ukandamizaji wa vyombo vya habari zilimfanya awe kupata uhasama kutoka kwa wenye mamlaka, jambo...
Niaje waungwana,
Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli hawataki kuusikia popote, u kuuzungumzia kwa mtu yoyote.
Kwanza naomba nianze na Rwanda ya leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.