Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi huku kukiwa na mvutano kati ya Majirani hao kuhusiana na Makundi ya waasi karibu na mpaka wao wa pamoja
Taarifa zaidi zinazema kuwa Viongozi hao wanataka...
Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali.
Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una...
Halafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.
Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika...
Hamjamboni nyote?
Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini
Photo: President Paul Kagame
===
President Kagame: In the near future, Rwanda's relations with Burundi will get back normal. It's still work in progress, and both sides are committed to see it through.
President Kagame: on the...
Mmeshaambiwa jana kuwa mpaka sasa kuna Vyuo Vikuu 30 badala ya Chuo Kikuu Kimoja ( 1 ) tu wakati wa Uhuru. Watanzania mnataka nini tena? Hebu acheni Nongwa!
Mmeshaambiwa jana kuwa sasa tuna Balozi 44 na baadae akasema tuna Balozi nchi zote duniani. Watanzania mnataka nini tena? Hebu acheni...
Mkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.
Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka 42 na mama wa watoto 4, hakuwepo katika korti hiyo mjini Kigali wakati hukumu hiyo ikitolewa...
Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona, Je, Ni ushamba, Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu.
______
Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji Ufafanuzi zaidi tena kwa...
Kumekuwa na Safari kadhaa kwa watawala na wakuu wa vikosi vya ulinzi katika nchi za afrika mashariki na Kati kwenda Rwanda. Ziara hizo bila ya shaka huwa zinabeba ajenda nyingi.
Ama kwanini Rwanda kioo na kigezo watawala na viongozi waandamizi katika serikali za afrika mashariki na Kati...
Kagame anapata sifa nyingi sana hasa kwenye vyombo vya habari vya magharibi lakini ukweli ni kwamba sababu kubwa ya kupendwa ni kwamba yeye pamoja na Museveni ndio walinzi wakuu wa western interests katika great lakes region (hasa Marekani).
Katika historia ya Afrika Mashariki na kati hakuna...
“I have closed over 6000 churches and mosques in my country and I am now demanding for a theology degree for every religious leader.
Stop playing with people's faith and making it a business. Rwanda is already a blessed country, ”Rwandan President Paul Kagame said.
Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema mazungumzo kati yake na Rais Paul Kagame yamejikita zaidi katika kuimarisha na kukuza uhusiano wa kiuchumi.
Amesema, "Kubwa tulilokubaliana ni kukuza ushirikiano zaidi. Tanzania na Rwanda tuko kwenye Biashara na Uwekezaji, bado tuna fursa nyingi...
Katika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na kuharibu kila kitu.
Akihojiwa na BBC Nyamwasa amekiri kutafutwa na watu ambao hawatoki nchi yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.