paul kagame

Paul Kagame (; born 23 October 1957) is a Rwandan politician and former military leader. He is the sixth and current president of Rwanda, having taken office in 2000. Kagame previously commanded the Rwandan Patriotic Front (RPF), a Uganda-based rebel force which invaded Rwanda in 1990 and was one of the parties of the conflict during the Rwandan Civil War and the Rwandan genocide. He was considered Rwanda's de facto leader when he served as Vice President and Minister of Defence under President Pasteur Bizimungu from 1994 to 2000.
Kagame was born to a Tutsi family in southern Rwanda. When he was two years old, the Rwandan Revolution ended centuries of Tutsi political dominance; his family fled to Uganda, where he spent the rest of his childhood. In the 1980s, Kagame fought in Yoweri Museveni's rebel army, becoming a senior Ugandan army officer after Museveni's military victories carried him to the Ugandan presidency. Kagame joined the RPF, taking control of the group when previous leader Fred Rwigyema died on the second day of the 1990 invasion. By 1993, the RPF controlled significant territory in Rwanda and a ceasefire was negotiated. The assassination of Rwandan President Juvénal Habyarimana set off the genocide, in which Hutu extremists killed an estimated 500,000 to 800,000 Tutsi and moderate Hutu. Kagame resumed the civil war, and ended the genocide with a military victory.
During his vice presidency, Kagame controlled the national army and was responsible for maintaining the government's power, while other officials began rebuilding the country. Many RPF soldiers carried out retribution killings. Kagame said he did not support these killings but failed to stop them. Hutu refugee camps formed in Zaire and other countries and the RPF attacked the camps in 1996, but insurgents continued to attack Rwanda. As part of the invasion, Kagame sponsored two rebel wars in Zaire. Rwandan- and Ugandan-backed rebels won the first war (1996–97), installing Laurent-Désiré Kabila as president in place of dictator Mobutu and renaming the country as the Democratic Republic of the Congo (DRC). The second war was launched in 1998 against Kabila, and later his son Joseph, following the DRC government's expulsion of Rwandan and Ugandan military forces from the country. The war escalated into a conflict that lasted until a 2003 peace deal and ceasefire.
Bizimungu resigned in 2000, most likely having been forced to do so, following a fall out with the RPF. He was replaced by Kagame. Bizimungu was later imprisoned for corruption and inciting ethnic violence, charges that human rights groups described as politically motivated. Kagame's rule is considered authoritarian, and human rights groups accuse him of political repression. Overall opinion on the regime by foreign observers is mixed, and as president, Kagame has prioritized national development, launching programmes which have led to development on key indicators including healthcare, education and economic growth. Kagame has had mostly good relations with the East African Community and the United States; his relations with France were poor until 2009. Relations with the DRC remain tense despite the 2003 ceasefire; human rights groups and a leaked United Nations report allege Rwandan support for two insurgencies in the country, a charge Kagame denies. Several countries suspended aid payments in 2012 following these allegations. Since coming to power, he has won three presidential elections, but none of these have been rated free or fair by international observers. His role in the assassination of exiled political opponents has been controversial.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Wazungu Wanamtumia Paul Kagame kuiba madini ya DRC halafu baadae watamuua

    Sisi waafrika tumelaaniwa na sidhani kama Mwenyezi Mungu alituumba na akili sawasawa. Ona Paul Kagame anavyotumiwa na nchi za Magahribi kuiba na kuua wacongo. Ninavyojua mimi wanamtumia ti wakiwa wanamtegesha tu kwamba madini yakiisha tu wanammaliza Kagame mwenyewe. Au Kagame akishtuka tu...
  2. M

    Kupitia Paul Kagame nimejikubali.

    For so long time nimekuwa well off kwenye mchezo wa kikubwa ila kuna jambo lilikuwa linaninyima raha sana. Mimi ni mwembamba mrefu, kama Kagame, ingawa Kagame amenizidi kimo na wembamba. Nilianza kumjua Kagame kwa kumfuatilia kwa ukaribu kupitia social media, nikiwa chuoni. Kagame ameoa mke...
  3. Kagame ni muongozo sahihi katika masuala ya kidini nchi za Afrika

    Linapokuja suala la dini Kagame ndiye kiongozi 'sensible' zaidi katika bara la Africa. Sasa hivi anafikiria makanisa yaanze kulipa kodi! Pia soma: Rwanda yafunga makanisa 4,000 na misikiti 100 iliyokiuka vigezo vya usalama Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametangaza kuwa anaweza kuanzisha kodi...
  4. Paul Kagame amteua Dkt. Edouard Ngirente kuwa Waziri Mkuu katika Serikali mpya

    Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua tena Dr.Edouard Ngirente kuwa Waziri Mkuu katika Serikali mpya nchi humo. Bw.Ngirente ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu, siku mbili baada ya Paul Kagame kuapishwa kuwa Rais wa Rwanda kwa muhulu mwingine wa miaka mitano. Hata hivyo alikuwa ni Waziri Mkuu tangu...
  5. T

    Paul Kagame, aapa kuiongoza Rwanda kwa mhula wa miaka 5

    Baada ya mda mrefu madarakani,akiiongoza nchi ya Rwanda kama raisi, leo tarehe 11 Agosti 2024, majira ya saa tisa na dakika 42, mbele ya jaji mkuu wa mahakama kuu ya Rwanda, Dr. Iyamuremye, Paul Kagame amekula kihapo cha kuiongoza Rwanda tena,kwa kipindi cha miaka 5. Ni sherehe iliyohudhuliwa na...
  6. Rais Samia kwenda Rwanda Agosti 11, 2024 kuhudhuria uapisho wa Rais Kagame

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Rwanda kesho asubuhi kushiriki sherehe za uapisho wa Rais Mteule, Paul Kagame ambaye alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo mwezi Julai 2024. Rais Mteule Paul Kagame anatarajiwa kuapishwa Agosti 11, 2024.
  7. Uchaguzi Mkuu Rwanda: Kagame ashinda Uchaguzi kwa kishindo

    Matokeo ya awali yanaonesha Paul Kagame amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kushinda uchaguzi wa Jumatatu kwa zaidi ya 99% ya kura. Kagame mwenye umri wa miaka 66 alishinda uchaguzi wa 2017 kwa 98.63% ya kura, kiwango cha juu zaidi ya 93% aliyopata mwaka wa 2010 na 95% mwaka wa 2003. Wakosoaji...
  8. Mwenyekiti Mbowe, Kagame na Museveni ni mifano hai ya Viongozi wa Afrika. Tuipinge kwa Nguvu hii tabia

    Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa . Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia...
  9. Kagame na Siasa za ubabe: Kupiga kura na kuchangia chama tawala si hiari, ni lazima!

    Paul Kagame Siku za nyuma, Katibu Mkuu wa chama tawala, RPF inkotanyi, bwana Wellars Gasamagera, alitamka wazi kuwa, RPF haiwezi kuachia madaraka kwa mtu mwingine au chama chochote. Ikumbukwe, chaguzi zote zilizopita, matokeo ya uchaguzi yalionyesha kiongozi wa chama hicho, ambaye mara zote ni...
  10. Kagame: Tupo Tayari kumpiga Tshisekedi

    “We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….." Anaendelea kusema " Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"
  11. K

    Pegasus nchini Rwanda: Namna Mamlaka zinavyotumia Programu hiyo kuchunguza Wanasiasa na watu mashuhuri

    Kifo cha ghafla cha Anne Rwigara tarehe 28 Desemba 2023, kiliwashangaza familia yake inayoishi huko California. Anne, mwenye umri wa miaka 41, alikuwa dada wa Diane Rwigara, kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Rwanda ambaye aliwahi kujaribu kugombea urais. Anne, ambaye hakuwa na matatizo...
  12. K

    Ujasusi, vitisho, vifo vya kutatanisha: Rwanda inajaribu kunyamazisha Wapinzani na Wakosoaji wake nje ya nchi

    Jean Bosco Gasasira ameishi uhamishoni kwa karibu miaka 14. Mnamo mwaka wa 2010, alikimbia Rwanda baada ya kupokea vitisho vingi akiwa mwandishi wa habari na mhariri mkuu wa gazeti huru la Umuvugizi. Muda mfupi baada ya kuondoka kwake, mhariri mkuu wa muda aliuawa mjini Kigali, na kusababisha...
  13. K

    Wanajeshi Wanavyokufa Kimya: Vita vya Kagame visivyotambuliwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Inachukua saa chache tu kwa basi kutoka Kigali hadi Goma, lakini kusafiri kutoka Rwanda hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuligharimu mwandishi mmoja kuhama Nchi—na huenda kuligharimu mwenzake maisha yake. Mnamo Novemba 2022, waandishi wawili wa habari wa Rwanda, Samuel Baker Byansi...
  14. Diane Rwigara achukua fomu ya urais kuchuana na Paul Kagame

    Kuna watu huwa wakiamini kitu huwa wanaamini mwanzo mwisho. Dada lao ameamua kumchallenge Paul Kagame mara ya pili huku uchaguzi uliopita ulimuacha pabaya.
  15. K

    Mgongano: Uchunguzi wa Kifo cha Mwandishi wa Habari, John Ntwali - Aliyewindwa na Mamlaka za Rwanda

    Mwezi Januari 2023, mwandishi wa habari wa Rwanda John Williams Ntwali aliuawa katika ajali ya barabarani. Ripoti zake zisizokoma kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu, mateso ya kisiasa, na ukandamizaji wa vyombo vya habari zilimfanya awe kupata uhasama kutoka kwa wenye mamlaka, jambo...
  16. U

    Rais wa Rwanda Jenerali Paul Kagame akiwa na wajukuu zake

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Rwanda.
  17. U

    Kapteni Ian Paul Kagame

    Wadau hamjamboni nyote Kapteni Ian Kagame wa Jeshi la Ulinzi Rwanda.
  18. Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

    Niaje waungwana, Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli hawataki kuusikia popote, u kuuzungumzia kwa mtu yoyote. Kwanza naomba nianze na Rwanda ya leo...
  19. B

    Paul Kagame: Felix Tshisekedi ni mgombanishi nambari moja eneo hili la Afrika

    Felix Tshisekedi mgombanishi anataka kuzigonganisha jumuiya ya SADC dhidi ya EAC asema rais Paul Kagame ktk mahojiano exclusive. M23 ni wa Congole wanapigana huko DR Congo Mashariki kutokana na matatizo ya kina Felix Tshisekedi kiasi kwamba tayari tuna wakimbizi zaidi ya 100,000 waliokimbilia...
  20. Rais wa DR Congo, Tshisekedi amlinganisha Rais Paul Kagame na Hitler

    Kiongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepeleka mashambulizi yake ya kejeli dhidi ya mwenzake wa Rwanda katika ngazi nyingine kwa kumfananisha na Adolf Hitler. Félix Tshisekedi alisema Paul Kagame alikuwa na tabia kama Hitler, na akaongeza: "Naahidi ataishia kama Hitler". Bw Tshisekedi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…