pemba

Pemba Island (Arabic: الجزيرة الخضراء‎ al-Jazīra al-khadrā, literally "The Green Island") is a Tanzanian island forming part of the Zanzibar Archipelago, lying within the Swahili Coast in the Indian Ocean.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    Pemba: Viongozi wa ACT, Maalim Seif na Salim Bimani waitwa Polisi. Washutumiwa kufanya mkutano bila kibali, waachiwa kwa dhamana

    Mshauri mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad na Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi na Uenezi wa ACT Wazalendo Salim Bimani wameripoti katika Kituo cha Polisi Wete Pemba asubuhi ya leo. Viongozi hao wa ACT Wazalendo wameitwa na Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (RCO) Mkoa wa Kaskazini...
  2. Erythrocyte

    Maalim Seif awaponza viongozi wa Jeshi la Polisi Pemba, yaamriwa wavuliwe vyeo

    Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni amemwagiza IGP Sirro kuwavua vyeo RPC wa Kusini pemba Hassan Nasir Ally na RPC wa Kaskazini Pemba Shekhan Mohamed kwa kosa la kumwacha Jabali Maalim Seif kuhutubia wananchi wa Pemba , huku siasa za majukwaani zikiwa zimekatazwa --- Naibu Waziri wa...
  3. Sky Eclat

    CCM kupita kwa kishindo Unguja na Pemba ni ajabu la saba la dunia

    Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma, Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri James ameeleza kumshangaa Mshauri mkuu wa chama cha ACT-Wazarendo Maalim Seif Sharif kutoka na maoni yake kuwa chama chake kinakubalika visiwani Zanzibar. Bw. Kheri amesema...
  4. beth

    Wanaousaka urais, ubunge CCM kabla ya wakati waonywa

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amewaonya wanachama wa chama hicho tawala walioanza mikakati ya kusaka kupitishwa kuwania udiwani, ubunge na urais akibainisha kuwa kufanya hivyo ni makosa. Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Desemba 3, 2019 katika ziara yake kisiwani Pemba, Zanzibar wakati...
  5. Mondoros

    Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Anaeongea kwa sasa ni Rais John Magufuli baada ya kukaribishwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Shein na anazungumzia amani. Anasema mtu hawezi kuja kuwekeza Pemba wakati watu hawasalimiani, anasema mume na mke wakiwa hawaelewani kwa sababu ya vyama vya siasa hajui usiku wanalalaje. Amesema anajua...
  6. Pascal Mayalla

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Wanabodi, Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia...
  7. Mshume Kiyate

    Mapinduzi ya Zanzibar - Januari 12, 1964

    Wana JF. Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa akiishi Pemba ambako alitokea Uganda miaka michache tu. Ndani ya Zanzibar Okello alipata umaarufu kwa...
Back
Top Bottom