pemba

Pemba Island (Arabic: الجزيرة الخضراء‎ al-Jazīra al-khadrā, literally "The Green Island") is a Tanzanian island forming part of the Zanzibar Archipelago, lying within the Swahili Coast in the Indian Ocean.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Yamkini hali si shwari Pemba, Askofu asema nyumba zapigwa 'X'

    Viongozi wa dini Unguja, Pemba wamelaani tukio lilitokea Septemba 22 ktk msikiti mmoja huko Pemba ambapo watu watatu walishambuliwa kwa panga Viongozi wa dini kutoka Zanzibar wako mubashara wakitoa tamko la amani wakati wa kampeni na uchaguzi, katika jambo alilozingumzia baba askofu amesema...
  2. Replica

    Zanzibar 2020 Pemba: Vyama sita vya siasa vyalaani vurugu za Alfajiri ya leo, waomba msaada wa IGP baada ya wananchi kukatwa mapanga

    Mgombea Urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir(Demokrasia, makini): Katika barua yetu ya tarehe 15 kumuomba msajili wa vyama vya siasa pamoja na IGP, tulimuelezea kwamba, kuna baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa hapa nchini kwetu Zanzibar, wameanza tabia ya kuanza kuwashajihisha wanachama wao au...
  3. TandaleOne

    Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    TAKWIMU HAZIDANGANYI Kwa kawaida Kisiwa cha Pemba limekuwa chini ya himaya ya Maalim Seif kwa muda mrefu, mara zote kura za Pemba zimekuwa ni kura za uhakika kwa Maalim, kwa kifupi Pemba ilikuwa ni Ngome ya Maalim Seif, ukweli huu kwasasa umebadilika. Mapokezi ya Dkt Mwinyi jana yamekuja na...
  4. Analogia Malenga

    Mashahidi waingia mitini Pemba, wasababisha kesi ya ubakaji kuondolewa

    Mahakama ya Mkoa Wete imeiondoa kesi namba 75 ya mwaka 2019 iliyokua inamkabili kijana Khamis Abdalla Khamis mwenye miaka 35 aliyetuhumiwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka kumi baada ya mashahidi kutofika Mahakamani. Akitoa uamuzi huo Mrajisi wa Mahakama kuu Pemba Abdul-razak Abdul-kadir...
  5. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Pemba: Maalim Seif azindua Kampeni rasmi katika Viwanja vya Tibirinzi

    Ni katika Viwanja vya Tibirinzi, viwanja mpaka muda huu vimetapika, hizi ni picha za awali
  6. Mystery

    Uchaguzi 2020 IGP Sirro asidhani kuwa anaweza kudumisha amani visiwani Pemba kwa kutumia mitutu ya bunduki na magari ya washawasha

    Imenenwa katika kitabu cha Mithali katika Biblia katika sura ya 14:34 ikisema hivi nanukuu " Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu. Tumemsikia wenyewe IGP Sirro akitutisha watanzania kuwa Jeshi lake la Polisi liko imara na linafanya mazoezi ya nguvu ili kupambana...
  7. S

    Pemba ni sehemu ya Tanzania, kikinuka huko kimenuka Tanzania nzima

    Kamanda Siro alisema tume inawasababishia na kuwapa wakati mgumu. WaTanzania sasa tunaelekea kule ambako vyombo vya ulinzi huenda mwisho wake vikaungana na wananchi, jambo ambalo limeonekana nchi nyingi, haiwezekani utumie vyombo vya ulinzi kuteketeza wananchi, wananchi ambao ndio wanaounda...
  8. M

    Uchaguzi 2020 Kuenguliwa kwa wagombea: Pemba wahimizana kuandika usia kabisa maana sasa wako tayari kwa lolote

    Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao. Wamehimizana kila mmoja kuandika...
  9. M-mbabe

    Uchaguzi 2020 Hitaji la katiba ya JMT ibara ya 98, kifungu kidogo cha 1(b) ndiyo sababu kuu ya kuenguliwa wagombea ubunge wa ACT Wazalendo, Pemba

    Mada ya uzi huu si ngeni kwetu sisi Watanzania. Nina uhakika wengi (kama si wote) tunaIfahamu vyema hii kitu lakini ni wakati muafaka kuweka msisitizo hususani kutokana na mazingira tuliyo nayo sasa kuhusiana na mwenendo wa teuzi za wagombea urais, ubunge na madiwani kwenye uchaguzi wa mwaka...
  10. S

    Zanzibar 2020 Wagombea wa CCM Pemba wana haya ya kunena

    Kwa maandishi wamejibu hawakumuekea pingamizi mgombea yeyote yule wa ACT wazalendo,huo au hayo yaliyojiri ni mzigo wao tume ya Taifa ya uchaguzi na sio wagombea wa CCM. Sasa ninaloliona ni CCM kukimbia mauti maana Pemba hawacheki na mtu katika kutafuta haki yao,hawaogopi kauli za Tanzania ni...
  11. G Sam

    Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

    Mambo ni mazito kidogo. Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa. Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa. Hii ni hatari tupu.
  12. ACT Wazalendo

    Zanzibar 2020 Uongozi wa ACT wapokelewa Pemba, Maalim Seif amshangaa Rais Magufuli kusema uchaguzi utakuwa huru ilhali hakuna dalili

    Leo kuna mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Bernard Membe na Mgombea Urais wa Zanzibar, Ndugu, Maalim Seif Sharif Hamad. Wameambatana pia na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Profesa Omar Fakih Hamad. Tayari washawasili Pemba. Picha za...
  13. Analogia Malenga

    Pemba: Karafuu ya wiza yakamatwa, waliotoa taarifa watapewa gawio

    Karafuu ya magendo yakamatwa Magunia 30 ya karafuu yaliyokuwa yamefichwa katika Kisiwa cha Funzi wilayani Wete, Kaskazini Pemba, ili kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo, yamekamatwa na kikosi maalumu cha kuzuia magendo (KMKM), kamandi ya pemba. Akizungumza na askari wa kikosi...
  14. J

    Uchaguzi 2020 Urais wa Zanzibar hauuzwi bali ni kwa ajili ya Wananchi wa Unguja na Pemba

    Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif amesema urais wa Zanzibar hauuuzwi bali upo kwa ajili ya wananchi wa Unguja na Pemba. Balozi Idd ametoa onyo kwa wote waliojipanga kutumia rushwa ili kununua uongozi na kwamba wazanzibar watampendekeza Rais wanayemtaka kabla ya kupitishwa na...
  15. CUF Habari

    Ziara ya siku 4 ya Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba huko Pemba imeleta hamasa kubwa na kupokea zaidi ya wanachama wapya 723

    ZIARA YA SIKU NNE (4) YA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA MHE. PROF. IBRAHIM LIPUMBA HUKO PEMBA IMELETA HAMASA KUBWA NA KUPOKEA ZAIDI YA WANACHAMA WAPYA 723. Ziara hiyo imekijengea Chama Heshima Kubwa kwa kukiwezesha Kurejesha Ngome yake huko Pemba na kukiwezesha Chama kuwarudishia Hamasa wanachama...
  16. CUF Habari

    Wananchi zaidi ya 500 jimbo la Ziwa na Wawi visiwani Pemba warudisha kadi za ACT-Wazalendo wakabidhiwa kadi za CUF na Prof. Lipumba

    Zaidi ya wananchi 500 wa Jimbo la Ziwani na Wawi visiwani Pemba wamerejesha kadi za Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na kusema kuwa wao ni wafuasi wa CUF kwa miaka zaidi ya 27 na si wafuasi wa ACT Wazalendo. Pia wananchi hao...
  17. Jamii Opportunities

    6 International Partnership and Trade Officers at Community Forests Pemba

    Post: CFP International Partnership & Trade Officer Department: Technical Work Package : SO 4 – Value Addition and Enterprise. Location: Stone Town, Unguja Island, Zanzibar – Tanzania Hours : 8:00 – 16:00, Monday to Friday (flexible) Annual Salary : Approximately 33,000 EUR Reporting: CFI...
  18. Boniphace Kichonge

    Watendaji Wakuu Wa Chama Cha Mapinduzi Ziarani Mikoa Mbalimbali. Dkt Bashiru Yupo Mtwara, Humphrey Polepole Pemba

    Wadau. Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani. Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara. Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.
Back
Top Bottom