Pemba Island (Arabic: الجزيرة الخضراء al-Jazīra al-khadrā, literally "The Green Island") is a Tanzanian island forming part of the Zanzibar Archipelago, lying within the Swahili Coast in the Indian Ocean.
PEMBA ZANZIBAR
Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi
Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde.
Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
PEMBA ZANZIBAR
Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi
Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde.
Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif.
Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na...
Kwa mujibu wa Taarifa za dunia, ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Pemba ndio eneo lililoongoza kwa mauaji ya raia, wakiwemo watoto na vikongwe.
Wote waliounga mkono Maalim Seif na upinzani walishughulikiwa ipasavyo, zipo tetesi kwamba kulikuwa na majeshi ya kukodi kutoka nchi za kigeni ili...
Ukiona mtu mzima analia tambua kabisa kwamba kuna jambo. Faki Hamad Mbarouk mkaazi wa mtaa wa Msigiri uliopo Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba anakabiliwa na mtihani mkubwa ambao umemfanya uso upoteze furaha yake usiku na mchana kutokana na mwanae kukabiliwa na mkasa wa ajabu wa kuwaka...
Wananchi wa Pemba wameiomba SMZ iijenge kwa kiwango cha lami barabara iendayo kwenye kaburi la Maalim Seif kwani imeharibika sana hali inayopelekea magari kupakiwa umbali wa km 3 kutoka eneo la kaburi.
Ombi hilo limetolewa mbele ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud aliyezuru...
Jana tumeshuhudia maziko ya Mwanasiasa mkongwe yaliyofanyika huko Pemba Zanzibar kijijini Nyali Mtambwe na kuona jinsi wananchi wa huko walivyokuwa na simanzi nzito mithili ya kuwa wameondokewa na mfalme wao. Na wengi walionekana kama kuwa sasa ndio basi tena hakuna wa kuja kuwapigania. Maana...
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif amefariki ktk Hospitali ya Muhimbili. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa
Pia soma > Wasifu/ CV ya Maalim Seif Sharif Hamad, Historia yake kwa Ufupi
Kupitia ukurasa wa...
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Bakari Mwamnyeto
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Feisal Salum
9. Ditram Nchimbi
10. John Boko
11. Farid Musa
Na John Boko aambiwe upesi kuwa atakuwa tu 'Ceremonial Captain' kwa Kuvaa 'Kitambaa' ila 'Maelekezo' yote ya...
Mwili wa askari wa KVZ aliyejulikana kwa jina la Khalid umepatikana baada ya kuuawa siku ya uchaguzi
=====
Pemba. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba limefanikiwa kuupata mwili wa aliyekuwa askari wa kikosi cha KVZ Khalfan Junedi aliyedaiwa kuuawa wiki tatu zilizopita eneo la Ngwachani Wilaya...
https://imevuja.xyz/just-in-upigaji-kura-waanza-usiku-huu-zanzibar/
Na pia
https://imevuja.xyz/maalim-seif-kuwekwa-chini-ya-uangalizi-maalum/
Kama ni za kweli, basi Zanzibar pameshakuwa pagumu sasa
UPDATE...
22 October 2020
Pemba, Zanzibar
Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba
Maaliim Seif afanyiwa sherehe kubwa ya siku ya kuzaliwa kwake na maelfu ya Wazanzibari na waTanganyika walionesha upendo mkubwa na furaha isiyo na kifani kwa kiongozi wao mtarajiwa wa taifa la Zanzibar...
Leo tarehe 22/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amewasili kisiwani Pemba kuhudhuria Mkutano wa Kufunga Kampeni Kisiwani humo katika viwanja vya Tibirinzi Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Katika msafara wake Maalim Seif...
Mgombea Urais wa Tanzania anayeelekea kushinda Tundu Lissu leo atatikisa visiwa vya Pemba.
Pemba ngome Kuu ya ACT wanatarajiwa kumlaki kwa kishindo mgombea huyo wa Urais ambaye chama chake na ACT Wana urafiki wa Damu.
ACT Wazalendo imetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu nafasi ya Urais wa...
VIONGOZI wa dini ya kiislamu wa mkoa wa kusini Pemba, wametakiwa kutodhihirisha kwa wafuasi wao mahaba, upendo na kuvipigia chapuo vyama vyao vya siasa, wanapokuwa wanahubiri kwenye nyumba za ibada, kwani athari yake ni kusabisha mgawanyiko.
Ushauri huo umetolewa na Afisa Fat-tuwa na Utatuzi wa...
LEO tarehe 15, Oktoba, ni siku ya kimataifa ya unawaji mikono duniani kote, ambapo kitaifa kwa Zanzibar sherehe hizo zinaadhimishwa kisiwani Pemba.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu waziri wa Afya Zanzibar Harusi Said Suleiman wakati akizungumza na waandishi wa habari ukumbi wa ZBC...
Asalam aleykum,
Nilishawahi kutoa ushauri huu awali na wala sio wazo jipya nchini, nishauri wananchi wajipange na kuunda vikosi vya kujilinda kwenye vitongoji au vijiji vyao. Hili wazo ni sawa na lile la Sungusungu miaka ya zamani. Si jipya na wala halihitaji leseni ya serekali.
Nashauri...
Mada inahusika.
Nadhani wote tunaelewa kinachoendelea katika kijiji cha Kangagani huko Pemba, baada ya usiku wa kuamkia juzi tarehe 22 Septemba, 2020 , kulitokea tukio la kushambuliwa kwa mapanga waumini msikitini na baadae kujulikana walioshambuliwa kuwa makada wa CCM.
Sote bila kujali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.