pemba

Pemba Island (Arabic: الجزيرة الخضراء‎ al-Jazīra al-khadrā, literally "The Green Island") is a Tanzanian island forming part of the Zanzibar Archipelago, lying within the Swahili Coast in the Indian Ocean.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Raia wawili wa Uganda wawekwa karantini Pemba

    Vikosi vya Ulinzi na Usalama kisiwani hapa, vimewakamata raia wawili wa Uganda walioingia kwa kutumia usafiri wa jahazi katika Bandari ya Wete ambapo wamewekwa karantini maambikizi ya Ugonjwa wa Ebola. Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama MKoa wa Kaskazini Pemba imefika katika Bandari ya Wete...
  2. Sildenafil Citrate

    TANESCO: Taarifa ya kukatika Umeme mikoa ya Tanga na Pemba

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake kutokea kwa hitilafu kwenye miundombinu ya usafirishaji umeme kwenye kituo cha kufua umeme cha Hale mkoani Tanga leo Jumanne, Septemba 27, 2022. Hitilafu hii imesababisha kukosekana kwa huduma ya meme kwenye maeneo yote ya mikoa ya...
  3. JanguKamaJangu

    Uzio wa nyumba usiathiri ukuaji wa mtoto

    Wanaharakati wa haki za watoto kisiwani Pemba, wamewataka wazazi na walezi, wanaomiliki nyumba zilizozungushwa kuta ‘fens’ kuwapa muda watoto wao kuchangamana na wenzao, ili kucheza pamoja, ikiwa ni sehemu moja wapo ya kukuza ubongo wao. Wamesema, njia moja na rahisi ambayo haihitaji gharama...
  4. J

    Zanzibar: Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Rais Samia ambaye yuko ziarani katika visiwa vya Pemba huko Zanzibar leo amekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya upinzani kwa majadiliano. Rais Samia amekutana na kuzungumza na viongozi wa Chama cha CUF, ACT-Wazalendo na ADC Kisiwani Pemba. Wakati fulani hapa Tanzania ilishakuwa ndoto...
  5. B

    Shaka akagua miradi Pemba, aahidi CCM itawalinda Wabunge ,Wawakilishi na Madiwani

    SHAKA AKAGUA MIRADI PEMBA, AAHIDI CCM ITAWALINDA WABUNGE ,WAWAKILISHI NA MADIWANI. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amekagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kisiwani Pemba na kuwahakikishia wananchi kuwa Chama kitaendelea kuwalinda...
  6. M

    Hivi inakuwaje mwezi uandame Kenya halafu Tanzania usiandame?

    Bila jazba Wala povu, nauliza? Nimeona Matangazo wenzetu Kenya wanasema wameuona Mwezi na Leo ni Idd ElFitri! Huku kwetu tunaambiwa mwezi haujaandama? Hii huwa inatokeaje, kijigrafia mbona tupo Ukanda mmoja, hili linawezekanaje? Na wala si mara ya kwanza utata huu kuwepo? Tatizo ni Nini! Ni...
  7. BigTall

    Kesi 42 udhalilishaji kwa Wanafunzi zaripotiwa Pemba, kuna ubakaji, ulawiti na mimba

    Jumla ya kesi 42 za vitendo vya udhalilishaji zimeripotiwa katika Ofisi ya Naibu Mrajisi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Kisiwani Pemba kwa mwaka 2021. Naibu Mrajisi, Hidaya Omar Khamis amesema bado tatizo la udhalilishaji kwa wanafunzi lipo na ni changamoto kubwa. Mrajisi huyo alieleza...
  8. love life live life

    Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

    Sasa ni zamu ya pemba.
  9. 5

    Pemba: Mwenyekiti mpya ACT Wazalendo apokewa rasmi leo

    Ndio habari ya mjini kwa sasa mrithi wa gwiji la siasa za Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad sasa ni Juma Duni Haji ambaye anavaa rasmi viatu vyake Wanampokea kule kisiwani Pemba na uongozi wa juu kabisa Ndugu Zitto Kabwe
  10. M

    Shaka Hamdu Shaka avunja ngome za ACT-Wazalendo na CUF Kaskazini Pemba

    ...... Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Nec Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba. Takribani jumla ya Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  11. J

    Ziara ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa Kaskazini Pemba

    ZIARA YA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA KASKAZINI PEMBA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika ukaguzi wa ujenzi wa Ukingo wa bahari kuzuwia eneo la bahari isingie kwenye makazi ya wananchi, ikiwa ni utekelezaji wa Ibara 192 ya...
  12. Jamii Opportunities

    Humanitarian affairs Officer - Pemba, UN Jobs

    Posting Title: HUMANITARIAN AFFAIRS OFFICER, P3 (Temporary Job Opening) Job Code Title: HUMANITARIAN AFFAIRS OFFICER Department/Office: Office for the Coordination of Humanitarian Affairs Duty Station: PEMBA Job Opening Number: 22-Humanitarian Affairs-OCHA-172433-J-Pemba (X) Staffing...
  13. F

    Kwanini ngumu kusikia Mauaji ya wanandoa Zanzibar kama Bara

    Habari wadau,? Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana Zanzibar ama Pemba? Je, huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada.? Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi ila Zanzibar why hapana?
  14. Chachu Ombara

    TANZIA Pemba: Watu 9 wafariki dunia baada ya boti kuzama baharini. Zoezi la uokoaji kuendelea asubuhi

    Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi. Zoezi la uokozi limesitishwa usiku na litaendelea Januari 5, 2022 asubuhi. Shahidi katika tukio hilo...
  15. S

    Rais tutembelee huku Pemba twavujiwa

    Je Rais Samia kama Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar amewahi kutembelea Pemba? Au wapemba si watu???
  16. Ferruccio Lamborghini

    Hospitali 10 kujengwa Unguja, Pemba

    HOSPITALI 10 zitajengwa Unguja na Pemba ndani ya kipindi cha miezi sita, hatua itakayoboresha kwa kiwango kikubwa huduma za afya Zanzibar. Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Wazee, Nassor Ahmed Mazrui wakati akiwapa taarifa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu...
  17. chongchung

    Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

    Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700 Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar...
  18. Mzito Kabwela

    Azam Marine boresheni vyoo vilivyoko kwenye boti zenu za Unguja kwenda Pemba

    Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao. Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni. Sielewi ni kwa nini...
  19. G-Mdadisi

    Mganga wa kienyeji Pemba ahukumiwa Miaka 30 kwa kumbaka mteja wake

    Mahakama ya Mkoa Chake Chake imemuhukumu Mshitakiwa Issa Abdalla Haji mwenye umri wa miaka 41 mkaazi wa shehia ya Wawi Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 30 pamoja na kulipa fidia ya shillingi millioni moja za Kitanzania baada ya kutiwa...
  20. Shujaa Mwendazake

    Wananchi Pemba: Tupo tayari kurudi kulekule kwa kutoshirikiana, ikiwemo kila mtu awe na lake

    Malalamiko ya wananchi kuhusu uchaguzi mdogo wa Konde: "CCM hawana haya, hawaoni vibaya, wameyarudia yaleyale waliyozoea"; Wananchi wa Zanzibar huko Pemba wanasema wapo tayari kurudi kule kule kwa kutotoa ushirikiano kwa upande wa pili… ikiwemo kila mtu awe na lake.
Back
Top Bottom