Huku ndoani ni vurugu mechi, wakati anapika nikamgusa, nikaambiwa " ushaanza mambo yako, subiri nipike kwanza"
Nikawa mpole, sasa tumemaliza kula, nikaambiwa aongee na mama ake alimpigia af ndo tulale, nikawa mpole.
Kamaliza kuongea anasema nimuache kidogo apunzike. Nikamuuliza hii ndo mpka...