pesa

  1. Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  2. Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke

    Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke. Matumizi yako ni kiherehere kitakachosahaulika dakika chache baada ya senti zako kukauka. Badala ya kufanya upuuzi huo ni bora utumie kila senti unayoingiza, kuvutia pesa nyingine upande wako. Kama...
  3. M

    NIffer anachangisha pesa za kuagiza mizigo china, Niffer anachangisha pesa za kuwapa mitaji vijana, leo kachangisha za kuwapa wahanga kelele nyingi

    Habari wadau. Binafsi nimeshangaa sana leo hii watu walovyomjia juuu Niffer kuchangisha pesa. Miaka yote niffer anachangisha pesa na hakuna kesi ya kuvunja sheria yoyote kwake. Niffer toka nimeanza kumsikia ni anafanya biashara inayohusisha kuchangisha watu pesa. Biashara yake kuu...
  4. Uzi maalumu kwa ajili ya jobless na watu wenye michongo ya pesa

    Habari wakuu. iKiwa juma tatu tulivu na yenye majonzi kwa ndugu zetu watanzania waliopata maafa ya kuangukiwa na kifusi, Mungu azidi kutia wepesi katika ukozi wa ndugu zetu waliopo chini ya kifusi NImefunguu uzi huu ikiwa ni moja kwa moja katika jitihada za kupeana michongo kwa vijana,wafanya...
  5. Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  6. Leverage: Namna biashara imara inavyoweza kunufaika kwa kuwekeza pesa ya ziada kwenye mali za muda mrefu

    Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata elfu kumi na mbili kutoka kwenye taasisi ya fedha kwa njia ya mkopo. Kunufaika na ‘Leverage’...
  7. Kwanini tuangaishane na michango ya harusi na tujitaabishe kwa kukusanya pesa za michango. Mbona shughuli ndogo kwa pesa yako mfukoni inawezekana

    Africans, we are poor, lakini we are acting rich. Kwamba unaogopa kusemwa? Unaogopa kuitwa masikini? Unaogopa lawama za kutoarika watu? Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea? Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo? Muda mwingine hadi tunageuka kero pale...
  8. Serikali iingilie kati au kuja na mbinu kuzuia kuvuja kwa pesa kwenye mzunguko wa uchumi

    Angalizo ; huu uzi hauna maana mbaya wala kupangia watu namna ya kutumia pesa zao..!!! Tanzania tumeingia kipindi ambacho tunaona magari mengi sana ya kifahari, ukiwa barabarani sasa hivi kupishana na gari za 500M or less ni kitu cha kawaida, waTanzania wengi sasa wakipata pesa tumeingia na...
  9. Kamwe usimuoneshe mteja huitaji pesa yake

    Usimuoneshe mteja wewe ni tajiri, usimuoneshe umejipata. Siku zote muoneshe unahitaji hiyo ela yake kuliko oxygen. Usimuoneshe Mteja umejipata Hata kama kwa siku unafunga hesabu ya milion kadhaa Mteja wa elfu 50 ndo anaikamilisha milioni moja Milioni moja bila elfu 50 ni 950,000/= Sisemi...
  10. Familia na Pesa

    Kuna Familia za wafanya kazi( Waajiriwa.) Kuna Familia za wafanya Biashara. Kuna Familia za wafanya Biashara ndogo ndogo Kuna Familia za Wabangaizaji. Kuna Familia za Kifundi, Wao ni Mafundi tu. Na Kuna Familia zisizoeleweka wao wanajiuhusisha na nini... Sasa Tuna Kuja kwenye ushauri wa hizi...
  11. D

    Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

    Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors. Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
  12. Pesa uliyopata kwa jasho lako kwa mara ya kwanza uliipata ukiwa katika steji ipi ya maisha?

    Leo nimemkumbuka anko wangu aliyefariki kabla sijqanza hata vidudu lqkini nilikiwa najitambua. Uncle akiwa darasa la tano, alikuwa amejijengea chumba chake cha kulala hapo nyumbani. Alikuwa na marafiki hadi wazungu alipokuwa form 1. Alikuwa anafuga kuku, bata na na anapiga pesa huku shuleni...
  13. Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

    Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru. Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!! Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
  14. Haji Manara: Nalipwa pesa nyingi, siwezi kuwa Chawa

    “Mimi nalipwa hela nyingi, sasa nawezaje kuwa Chawa Mtu mwenye Ubalozi wa Kampuni zaidi ya 20, nani ananiweza Nchi hii kwa Ubalozi? tena sio kampuni ndogo Mimi sitangazi nyanya ya kopo, mmeshawahi kuona nawaita kutangaza bidhaa ndogo?, Mimi natafuta maisha nahangaika napambana Mtu anaponitukana...
  15. Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

    Wakuu, Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣 Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀 Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
  16. Umechoka Kuajiriwa? Hizi Ndo Njia za Kuingiza Pesa Ukiacha Kazi

    Watu wengi wanapata changamoto kubwa kwenye kazi zao za kuajiriwa — presha nyingi, malipo yasiyokidhi mahitaji, au kukosa muda wa kufurahia maisha yao. Umefikia hatua ambapo kila siku ya Jumatatu unahisi uzito wa kuamka, unaishi kwa kusubiri weekend, na unaota kuhusu siku moja kuacha kazi na...
  17. Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

    KWA KIZAZI CHA SASA. UKISHAKUWA SINGLE MOTHER TAFUTA TUU PESA. HAKUNA MWANAUME ATAKAYEHITAJI SINGLE MOTHER MASKINI ASIYE NA KAZI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mambo ya ûkipenda Boga penda na ua lake ni Misemo ya kipigaji waliopigwa Wazee wa Miaka ya Uhuru Huko. Mambo mengi...
  18. Jinsi ninavyotengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia ujuzi wa graphics design, na wewe unaweza kujaribu

    Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa? kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online. Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
  19. Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida

    Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu! Hivyo, mara nyingi anachukua matatizo ya ndugu wengine na kukuletea! Ndiyo maana ndugu wengi sana watamfuata kumuomba msaada...
  20. E

    Natafuta eneo ya kufanya Uwakala wa Mitandao ya simu Kinondoni Dar es Salaam

    Habari za majukumu wanajamvi naomba msaada mtu anaeweza nisaidia kupata eneo zuri lenye mzunguko mzuri wa biashara za UWAKALA wa MPESA TIGO PESA na Banks pia. Iwe ndani ya KINONDONI-Dar es salaam Naomba aje inbox
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…