pesa

  1. ngara23

    Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

    Me Huwa napenda kutafiti njia za utafutaji hata ziwe ndogo vipi, ili kujua watu wanapataje pesa na hizo biashara ambazo watu wanaziona ni duni Nikasema haaa kumbe aisee watu wanapiga pesa ambazo hata watu wenye ajira za kuchomekea mashati na kuvaa viatu mchuchumio hawapati Nitaorodhesha baadhi...
  2. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Wakuu habari zenu. Poleni na majukumu ndugu zangu Mimi nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya Waturuki inaitwa Yapi Merkezi inayojenga reli ya SGR ambayo kwa sasa iko lot 3. Kwa sasa kazi imesimama na hakuna kinachoendelea. Sasa sisi tulipumzishwa kuanzia mwezi wa kwanza kutokana na...
  3. Melki Wamatukio

    Enyi wanawake. Hakuna mwanaume bahili, ni vile tu ugumu wa upatikanaji wa pesa unatofautiana. Tuoneeni huruma

    Jioni hii nikiwa hapa nje kibarazani, nawasikia wanawake hapo koridoni wanamteta mshkaji mmoja hivi mpangaji kuwa anapenda mbunye lakini ni mbahili. Jamaa ana mwezi wa tatu tokea aondoke kwenda kijijini kuhudumia ujauzito, cha ajabu wanamsema kwa kutumia wakati uliopo. Nimejiongeza tu nikajua...
  4. nipo online

    To be honest, pesa zinawapa kiburi sana wanawake

    ........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
  5. Waufukweni

    SGR kwanini sikurejeshewa Pesa yangu?

    Kuna siku nilikuwa natakiwa kusafiri kuelekea Dar es Salaam kutokea Morogoro. Wakati nakata tiketi ya SGR mtandaoni nikiwa Morogoro, badala ya kuandika Morogoro kama kituo cha kuondokea, nikaandika Dar es Salaam. Hivyo, tiketi ikawa inasomeka kutoka Dar kwenda Morogoro ingawa nilitakiwa kusafiri...
  6. EXODUS ZION

    Azam pesa kunashida kwenye kutoa pesa kupitia mawakala

    Ndugu zangu habarini samahani hivi ni mimi peke yangu huku ninako ishi ni kwamba azam pesa mawakala wake wananigomea au na kwenu. Lakini nipende kuwapongeza Azam pesa tje way inavyofanya kazi kwa upande wa kutuma pesa hasa katika makato sio makubwa ila sasa shida inakuja kwenye kutoa pesa...
  7. nipo online

    Ngedere ukimwekea ndizi na pesa atachangua ndizi: onyo kwa wapenda ajira

    Ukweli ni kua biashara na kazi, bora biashara, lakini kutokana na hofu, uzembe, kutotaka uthubu, tumejikuta wengi tumeishia kuchagua kazi, sawa na na ngedere asijue kua ela inaweza nunua ndizi, business makes more money.
  8. Abdul Said Naumanga

    KIBAHA: Wakili Riziki Majallah auwawa na mwanaye wa kumzaa kisa kumnyima pesa

    Katika tukio la kusikitisha lililotokea tarehe 18 Oktoba 2024, Juma Majalla, mtoto wa kwanza wa Wakili Riziki Majalla, amekamatwa na polisi wa Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua baba yake baada ya mzozo wa kifedha. Inasemekana kuwa Juma alimua baba yake kwa makusudi baada ya baba yake huyo...
  9. B

    Mwanzoni mtaishi kwa amani sana. Akishapata pesa tu amani inatoweka

    Kama unadhani nasema uongo muulize Nikki wa Pili. Ama nasema uongo ndugu zangu?
  10. B

    Wanaume tusiwazoeshe pesa nyingi wanawake na watoto pesa nyingi

    Ni ijumaa! Nzuri maridadi kabisa Mungu nasi tena kumekuwa na Kasumba ya kuwapa fedha nyingi wanawake na watoto wetu kimsingi ikiwa tunatumia lile neno "hutaki wateseke kama wewe kwa hussle ulizopitia ni kweli" lakini utakuja kugundua kitu kimoja pesa ni mwanaharamu sana Ukiizoea sana...
  11. Madwari Madwari

    Pesa huzaa pesa: Elon Musk na kaka yake Kimbal

    Elon na kaka yake Kimbal wakiwa pembeni ya Rolls Royce ya baba yao kabla hawajaanza safari ya kwenda shule.
  12. nipo online

    Hivi kuna haja ya kuhesabu pesa Baada ya kutoa Atm? Mimi hua nahesabu duh.

    Japo nahis nakua kama kituko hivi, ila hua nahesabu kila napoenda nahisi mashine inaweza wrong hivi.
  13. Paul Mchumi

    Maeneo 10 ya kupunguza matumizi yako ili usevu kiasi kikubwa cha pesa

    Kukata au kupunguza matumizi katika maeneo kadhaa ni mkakati muhimu ambao utakusaidia kuwa na ziada ya pesa kwa ajili ya matumizi mengine muhimu ya kimaendeleo. Tunaangazia maeneo 10 ambayo ukiyazingatia itakusaidia kuwa na kiasi kikubwa cha pesa kinachobakia 1. PUNGUZA MATUMIZI YA KODI YA...
  14. Pfizer

    Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  15. O

    Mendy asema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wa zamani wa Manchester City

    Beki wa zamani wa Manchester City Benjamin Mendy anasema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wakati huo Raheem Sterling, Bernardo Silva na Riyad Mahrez wakati klabu hiyo ilipoacha kumlipa baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono, aliiambia mahakama ya ajira. Beki huyo wa...
  16. Eli Cohen

    Vijana hawa Wakiafrika wametengeneza video kuonesha mnyororo wa upigaji wa pesa za miradi Afrika. Its funny but depressing 🤣😠

    https://youtube.com/shorts/5lm6tYWIaAk?si=ljz2wml3yqs92TuF
  17. Quinton Canosa

    Kama hauna pesa endelevu achana na mapenzi

    Habari wana JamiiForums Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani? Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa...
  18. Nehemia Kilave

    Mdahalo wa "Elimu ni bora kuliko Pesa " unajidhihirisha sana kiuongozi ndani ya CHADEMA na CCM .

    CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake . Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo . Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko Muwe na siku njema
  19. Judah Tribe

    Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  20. USSR

    Kuna mtu nafahamu kiasi gani cha pesa kimetumika kufanya Land Rover Festival ya Arusha?

    Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa. USSR
Back
Top Bottom