pesa

  1. Pdidy

    Hizi pesa za silaha za vita palestina israel hezbollah zinatokea wapi jamani aisee

    Nikijaribu kuangalia Sudan Wanavyomalizana Congo wanavyomalizana Ethiopia wanavyomalizia Kule Chad nako wameanza kumalizana Narudi kwa vita vya Ukraine wanavyomalizana na Russia Nirejee Israel vs Palestine gaza na sasa vs Lebanon na wa hesbollah Nawaza ty hizi silaah zote zinatokea wapi...
  2. Pdidy

    Hivi zile faini za tff pesa zinapelekwaga wapi??pelekemi kwa yatima na wajane

    Hapa majuzi kati Nimeonaaaa badhii yatimu zikipewaa mafaini kadhaa Nawaza hiziz pesa zinaendaga waoi Ushauri pesa kama hizi. Ziende kwa vituo vya yatima na wajane Tusisubiri ngao ya jamiiii
  3. emmarki

    Nawezaje kuingiza pesa kwa kuwa na muandishi wa habari wa kujitegemea

    Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
  4. Hance Mtanashati

    Serikali isitishe kulipa mishahara watumishi walioamua kurudi tena masomoni ni upotevu mkubwa wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa.

    Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa. Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
  5. LIKUD

    Jinsi Mawakala wa Huduma ya pesa kwa simu wanavyo shirikiana na matapelii wa ile hela tuma kwenye simu hii.

    Nimestukia huu mchezo. Unaenda kwa wakala wa pesa unatoa lets say laki moja. Wakala anazuga hajaona meseji yako then anakwambia hebu nipe simu yako niangalie kama umepata meseji. Kumbe lengo lake anataka kujua unasalio kiasi gani. Atakupa hela yako utaondoka then meseji ya tapeli itaingia...
  6. Juice world

    Masikini wana chuki na mimi kwakuwa wamezeeka hawana pesa

    Kila nikiangalia nyuzi zinazoniongelea Mimi tajiri wa hii dunia ni za masikini ambao nawaambia ukweli kwamba waache kuwa malofa watafute hela wanafikiri kwamba nitaacha kusema huu ukweli. Nyie masikini, mimi nipo sana humu tafuteni hela acheni kuwa malofa kuniandalia vi nyuzi vyenu kisa...
  7. P

    Njia 5 Za Kuvutia Pesa Kwenye Maisha Yako

    Njia 5 Za Kuvutia Pesa Kwenye Maisha Yako. Pesa ni kitu chenye thamani kubwa kwenye maisha ya sasa. Bila ya pesa kwa maisha ya sasa ni majanga mazito sana. Unaweza ukakosa vitu vyote vizuri. Hata watoto wazuri utabaki kuwaita shemeji tu. Hotel kubwa utabaki kuziangalia kwa nje tu...
  8. Pdidy

    Kiboko ya Wachawi ashtakiwe arudishe pesa za watu, na afungwe iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii

    Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai Huyu Baba...
  9. TUKANA UONE

    Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao! Any way Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na biashara ambazo zimezoeleka hapa Bongo!,Binafsi ninafanya biashara ya nafaka,pia Nina mashamba...
  10. Juice world

    Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

    Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto wa kiume uwezi ukashindwa kumhudumia mwanamke wako na watoto au mnataka tajiri niwe nawalia wake...
  11. M

    Ukimiliki pesa, umemiliki hisia za kujiamini; na ukizikosa basi umepoteza sehemu ya kujiamini

    Linapokuja suala la umiliki wa pesa basi tunazungumzia hisia ziletwazo na pesa ambavyo kwa namna yoyote unatakiwa hisia hizo zisikushinde bali uzitawale.Wengi hatutafuti pesa kama zilivyo karatasi bali tunatafuta ile hisia ambayo mtu anakuwa nayo akiwa na pesa ndio maana leo hii mtu akiwa na...
  12. Juice world

    Nina pesa nyingi kuzidi baba zenu

    Nyie masikini Mimi ni mtoto mdogo sana ila pesa zangu ni nyingi kuzidi hata za baba zenu na mtaumia sana na utajiri wangu sababu nyie ni mafukara tafuteni hela sio mnakaakaa kizembe humu Mimi ndio tajiri wenu nyie mafukara mnabidi mnipigie magoti Leo nitarisha masikini kwenye sikukuu ya maulid...
  13. Juice world

    Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

    Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi. Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee. Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa...
  14. Beira Boy

    Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

    Kwema Wakuu! Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA. Ungeelewa Kwa nini hata Mchumba wake alimbwaga. Kajamaa kalikuwa kamejichokea haswa. Moja haisomi Mbili haikai. Sasa...
  16. Naked

    Napenda pesa

    hi Mimi jamani napenda pesa sana 😢 nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
  17. Sea Beast

    Mkataba wa kupanga chumba kama hujauelewa unaweza dai pesa kuhama

    Wadau ukipanga nyumba ukipewa mkataba wake ukawa hujaelewa sheria zake unaweza kuda pesa yako kusepa ndio siku ya kwanza.
  18. Ushimen

    Kijana wa leo: Kuwa na pesa ama kutokua na pesa isiwe kipimo cha mapenzi/upendo.

    Ebu skilizeni niwaambie kabla sijalewa..... Mwanangu: Usije ukadanganywa na ukakubali kwamba pesa zako ndio ishara ya upendo wa kweli. Binti zangu skilizeni.... Mwanaume akikununulia gari, nyumba or any goods haimaanishi kwamba huo ni upendo kwako. Yawezekana Mudi amepata pesa ya urithi na...
  19. Last_Joker

    Kwanini Blockchain Si ya Wenye Pesa Tu, Ni ya Kila Mtu!

    Sikiliza, kuna maneno ambayo yamekuwa yakizunguka sana kwenye mitandao siku hizi – blockchain, crypto, Bitcoin. Na mara nyingi, watu wanavyosikia haya mambo, wanahisi ni kwa ajili ya matajiri au wataalam wa teknolojia tu. Lakini ukweli ni kwamba, blockchain siyo tu kwa wenye pesa au magwiji wa...
  20. BLACK MOVEMENT

    Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

    Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza...
Back
Top Bottom