pesa

  1. D

    Tuelewane: waliposema education ni ufunguo wa maisha hawakumaanisha elimu ni ufunguo wa pesa

    Watu wanachanganya vitu viwili ambavyo ni muhimu. Maisha yanajumuisha akili za utambuzi, kuishi na watu technically mana dunia haina hira, kuwepa viunzi vingi vya kifo nk Pesa au fedha ni ujanja wa mtu tu bila kujali amezipata kihali au la: Ndo mana wenye pesa mara nyingi wanakufa haraka mana...
  2. Under-cover

    Ni biashara gani uliwahi kuambiwa ukifanya utapiga pesa sana ila baada ya kuingia mchezoni ulibaki unajuta?

    Biashara ya kukopesha pesa yani ukimuona unae mdai kabeba begi yuko kwenye boda , inabidi na wewe uchukue boda fasta umfukuzie, mwisho unaona anaingia kwa dobi, inabidi upitilize na hujui unaelekea wapi. Kudownload na kuinstall pesa. Bajaji Biashara ya kukopesha pesa, yani ukimuona unaemdai...
  3. I

    Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

    Wakuu. Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobevu hata elfu 5 kwa siku Toa Forex, betting
  4. M

    Picha: Peter Madeleka akiwa na Maburungutu ya pesa. Hii ni baada ya kupigania haki za wanaoonewa

    Duh
  5. nipo online

    Pesa haitafutwi bali inategwa

    Kwa wale mafundi wa kusaka pesa waje hapa
  6. TUKANA UONE

    Hili Jiji la Dar es salaam limekubadilisha tabia au ni tabia yako iliyokuwa imefichika wakati huna pesa?

    Wairaq na wambulu wote ni ndugu! Dada yako anaumwa huko mkoani wanakuomba mchango hutumi unabaki tu nitawatumia,lakini kila weekend uko Kitambaa cheupe na Malaya huku mezani ukiwaongezea pombe watu usiowajua Ili uonekane una Hela! Mama yako aliyekulea na kukusomesha baada ya baba yako...
  7. Matulanya Mputa

    LGE2024 Viongozi wa CCM wa Kata wakishirikiana na madiwani wao wameanza kuzunguka usiku na kutoa pesa kwa watia nia wa upinzani wajitoe

    Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe. Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini. Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa...
  8. O

    Nani aniuza printer yenye uwezi wa kuprint a3 used lakini mfukoni Sina pesa ndefu yaani mamilioni

    Mwenye printer used inkjet yenye uwehio karibu
  9. Tlaatlaah

    Rigathi Gachagua adinda kujiuzulu, asema bila yeye Ruto asingeingia Ikulu

    Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, amejigamba kwa kudai kwamba yeye ndie pekee aliesababisha na kuchangia pakubwa Rais Dr. William Ruto akashinda uchaguzi wa 2022, la si hivyo bila jina lake kuwako kwenye karatasi za kupigia kura, kamwe asingeshinda urais wa Jamuhiri ya Kenya wakati huo...
  10. Tajiri wa kusini

    Mwendo wa kahawa na vitabu tu. Kweli pesa ni sabuni ya roho aisee!

    Nakaribisha makasirko aisee
  11. RIGHT MARKER

    Wazee mliochelewa kushika pesa tunaomba mtupumzishe

    Mhadhara - 35: Unamkuta mtu tangu amezaliwa ameishi maisha magumu, ugumu wa maisha umemtafuna kwa miaka 50. Anaanza kufanikiwa (kushika pesa) akiwa na miaka 51 baada ya kuuza shamba lake la miti. Sasa tazama vituko vyake mjini! Mnashangaa!! Huyu mzee mbona anafanya mambo ya kitoto mtaani ambayo...
  12. Brojust

    Mbona pesa imekuwa ngumu sana, Mbona kila mtu analalamika, Kwani shida iko wapi?

    Hakuna salamu Moja kwa moja kwenye mada, Kwani nyie wenzetu mnapata wapi pesa, mbona biashara zimekuwa ngumu sana, yaani kweli hadi kijana wa chuo kikuu yupo field kwenye taasisi moja hv eti anakwambia, Braza toa elfu 30 ya faster niipileke document yako kwa incharge akupitishie faster. Mbona...
  13. Waufukweni

    Mjukuu wa Bakhresa, Zayed aonesha jumba lake la Kifahari! Pesa Inaongea

    Mjukuu wa Bakhresa, Zayed, hivi karibuni amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na maisha yake ya kifahari na ubunifu katika sekta ya biashara. Katika video aliyoiweka mtandaoni (X, Zamani Twitter), Zayed anaonesha jumba lake la kifahari na la kisasa, lenye upekee ambao unathibitisha uwezo wake wa...
  14. R

    Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

    Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
  15. dr namugari

    Ndugu yangu amegoma kunirudishia pesa zangu

    Mwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma. Sikuweza kumnyima kwa vile mm pia nilikuwa nafikiriaa cha kufanyia hizo pesa either ninunue kiwanja dodoma am au nianzishe...
  16. Brojust

    Jamiiforum nawaomba msamaha kwa swali hili, Hivi mnapataje pesa ?

    Salaam Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu. Hivi ni kweli haya matangazo matangazo ya makampuni ya simu mnayoyaweka kama sponsored ads ndio...
  17. M.Rutabo

    Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

    Yani mwenzenu ni mesuka mkeka Multbet yangu safi timu sita Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, Barcelona vs Young boys nikampa Barcelona, inter Milan nikampa kushinda Leverkusen naye nikampa kushinda zidi ya Ac Milan Dortimund naye nika mpa kusinda na Man City nikampa kushinda. Sasa hadi kipindi...
  18. Shooter Again

    Pesa zangu ni zangu sijaja duniani kusaidia Ulimwengu

    Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kuingia gharama Kwa binadamu mwenzangu eti nimsaidie yaani pesa zangu nihangaike kubet dakika 90 za moto nipate mapesa halafu atokee mtu mmoja aseme eti saidia wasiojiweza, mara saidia yatima. Hivi mna akili kweli? Mimi ndio niliofanya watu hao wasijiweze au...
  19. Hance Mtanashati

    Mwanaume akipata pesa anafikiria kuanzisha familia (Kuoa) wakati Mwanamke akipata pesa anafikiria kuwa single mother

    Hii inafikirisha sana na inaonesha ni kwa namna gani wanawake wengi ni wabinafsi. Mwanaume akipata pesa atakachofikiria kuoa na kupata watoto na kuendeleza familia iwe bora zaidi . Ila sasa kwa wanawake wakishapata pesa tu cha kwanza watakachofikiria kama yupo ndoani atataka avunje hiyo ndoa...
Back
Top Bottom