pesa

  1. Determinantor

    Ex-Mayor alivyoumizwa na tukio la Kukatika Umeme kwa treni, inaumiza sana sana

    Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR. NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR. Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya...
  2. Mwafrika mmoja

    Mchongo wa kupiga pesa $350 Fiverr ndani ya mwezi

    Habarini wadau, ni wajiu wetu sisi vijana kupeana fursa za namna ya kutafuta pesa online kulingana na namna ulimwengu unavyokua kwa kasi. Tusitumie bando kufurahi tu bali tuingize pesa. Siku hizi fursa za kupiga pesa mtandaoni zipo nyingi, ikiwemo hii ya freelancing ambayo unatumia ujuzi wako...
  3. Mkalukungone mwamba

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki
  4. Mystery

    Rais Samia awaonya wateule wake, wasitumie madaraka yao "kupiga" pesa

    Rais Samia amewaonya vikali wateule wake, aliowateua majuzi, kuwa wasitumie madaraka yao kupiga "dili" za pesa, badala yake akawaambia ya kuwa wanatakiwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa na kuwatumikia wananchi Kwa uaminifu mkubwa. Aliyatamka hayo maneno wakati akiwaapisha jana jijini Dar. Rais...
  5. britanicca

    Tetesi: Saidi Yakubu Anahusika kwenye kuficha Pesa za Makamba Dubai na Mauritius

    Mheshimiwa Rais najua kuna watu wanne wamekushauri kuhusu kuchunguza watu kadhaa, Naomba ukumbuke nilidokeza kwenye platform Fulani kwamba hela Ziko Dubai Mauritius na Seychelles ! Huyu balozi wa Tanzania nchini comoro achunguzwe Mara moja Ndo mshika account fichwa zilizobaki za Makamba na...
  6. haszu

    Watu wema wenye kujali utu na sio pesa bado wapo

    Watu wanasema wachaga wanapenda pesa, ila ukweli na utu wanao sana, sitaki ku generalize kwenye ubaya wala uzuri. Katika harakati za ujana, nilikua na mahusiano na mrembo mmoja, ni mzuri kweli. Sikua na nguvu ya pesa, yule dada alinikubali zaidi kwa muonekano wangu, aoshee anahandsome boy...
  7. Yoda

    Wanaume na vijana wadogo acheni ulalamishi kuombwa pesa na wanawake

    Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au...
  8. and 300

    Kuhonga kunavyomaliza pesa!

    Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'. Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe. #selfie_Idumu#
  9. BLACK MOVEMENT

    Simba na Yanga ni taasisi ,Wawekezaji wanaweza vuna pesa za kutosha kwa sababu ya Ujinga wa wanachama na mashabiki.

    Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba. Yanga na Simba ili hawa wawekezaji wapige pesa hadi washindwe kubeba na mtu asiwaulize chochote wawekeze tu kwanye timu...
  10. Oppo A17k

    Uhusiano wa pesa na sex kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake. Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX. Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na kusema hivi "Nimekubali, Na Nipo Tayari Kukupa Mwili Wangu"...
  11. Tajiri wa kusini

    Nimeacha kula kwasasa ili niweze kuexport save pesa

    Nimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze pesa zifikie kiwango Fulani ndipo nitaanza kula Kwanza kula kunapoteza muda,muda ambao Mimi...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Nimekataa kulipa Pesa ya Taka na ulinzi kama hawatanipa risiti za EFD. Nimepewa barua ya wito serikali za mitaa

    Kwema Wakuu Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa. Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/= Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
  13. N

    Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

    Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti...
  14. T

    Mwezi huu kuna nini? Mitaani pesa hakuna

    Nimezunguka mitaani pesa imeadimika kabisa kuna nini. Maisha ni magumu ajabu, biashara zimerudi nyuma. Mwezi wa saba ya Mwaka huu tuna fail wapi. Tuambizane.
  15. Nehemia Kilave

    Mjadala : Je wanufaika wa NHIF tulipie pesa ya kumuona Daktari, NHIF igharamie huduma Nyingine zote kwa ubora?

    Habari JF , Kiuhalisia matibabu ni gharama sana na tukisema pesa tunazochangia zigharamie kila kitu Changamoto zinazojitokeza katika matibabu tunayopata hazita kwisha . Kuna kitu kinaitwa pesa ya kumuona Daktari au consultation fee , hii pesa inayolipwa kwa ajili ya kumuona Daktari haijalishi...
  16. SAYVILLE

    Hamisa Mobeto ni kiini macho tu, Aziz Ki anafidiwa pesa aliyoikataa kwingine

    Inahitaji jicho la kiinteligensia kujua baadhi ya mambo yanayoendelea nchi hii. Watu wameshangaa inakuwaje Aziz Ki akatae zaidi ya milioni 90 kwa mwezi, tofauti labda ya zaidi ya milioni 60 ya pesa anayolipwa sasa. Likatengenezwa picha eti mlimbwende Hamisa Mobeto ndiyo kama kamshawishi abaki...
  17. Nyanda Banka

    Nauliza hizo pesa wanatoaga wapi ukifa na je ndugu zako watachukua muda gani kugawana Mali zako

    Ukiumwa ndugu zako hawata kuchangia wala kukupa msaada wakidai hawana kitu, ila ukifa watasafiri kutoka mbali kuja kukuzika tena wakiwa na vitu kwaajili ya kumaliza kilio chako hizo pesa za usafiri sijui wanatoaga wapi, hii inanikumbusha ule usemi wa kwamba unaweza ukafa Kwa njaa alafu siku ya...
  18. Vien

    Baada ya utafiti huu nimejiridhisha 100% wanawake kipaumbele cha cha kwanza kwenye mahusiano ni Pesa

    Miaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Anayetaka pesa za bure kutoka online credits aje PM. Walinidhalilisha na sasa nimeupata mwaronaini wao kwa 100%.

    Hawa watu kama nilivyosema kwenye nyuzi zangu za nyuma kuwa hawana vibali vya biashara au wana vibali lakini wanakiuka vibali kwa makusudi kwakuwa serikali zetu za Afrika hazifuatilii shughuli za wawekezaji na wafanyabiashara kwa ukaribu. Haiwezekani mkopo wa wiki moja wandai baada ya siku tano...
  20. The Lost Boy

    Pesa za silva zinapotea mtaani

    Hivi karibuni mtaani kumekuwa na uhaba wa pesa za sarafu kwa maana hamsini, mia, mia mbili, na mia tano. Imefikia hatua makonda wa daladala wanapata shida ya kupata chenchi za kuwarudishia wateja kwa sababu ya hii kadhia. Ukienda dukani na elfu kumi, unaweza unaweza usihudumiwe kwa sababu ya...
Back
Top Bottom