Samahan wakuu Kwa bahati mbaya Sana Jana nilikua nanunua vocha ya tigo Tsh 4000 kwenye crdb SIM bank sasa nikakosea nikajikiuta nmenunua vocha ya elfu 40000? Jeh naweza kubadilishiwa iwe tigo pesa.
Mwenye kufahamu naomba anisaidie ushauri naweza kweli kuirudisha iingie kuwa tigo pesa.
Umaskini wa wakulima Tanzania unachangiwa kwa asilimia 50% na Serikali na asilimia inayobaki ni matokeo ya majanga, mkulima mwenyewe nk, kwa nini Serikali inachangia asilimia kubwa ya umaskini kwa wakulima ni kuwapangia bei, soko na kuwaundia wakulima sera za ajabu ambazo mwisho wa siku huathiri...
TANZANIA TUITAKAYO.
Mazuri yajayo yataboresha maisha yetu na kutufanya tujivunie Kwa ukuaji wa uchumi na mabadiriko ya miundombinu .Tujiandae Kwa haya yafuatayo.
SEKTA YA AFYA.
Jitihada zake zinavutia sana naanza na pongezi.
Ugonjwa wa kifua kikuu"TB' huu ni ugonjwa hatari sana,unashambulia...
Ile kauli ya kusema pesa ndo kila kitu hakika wahenga hawakukosea kwani hili jambo kwenye siasa zetu za bongo limekuwa na nafasi kubwa mno
Viongozi na makada mbalimbali huingia sana katika huu mtego wa pesa na hapa ndipo unapokuja kugundua kuwa hakuna mapenzi ya dhati kwa watu ila ni tamaa za...
Naumia sana na hii nchi yangu japo na mimi nipo hapa nikisubiri mabadiliko.ila najiuliza kwa nini kile kiwanja cha chato ambacho kinaweza kutua ndege za kila aina kikatelekezwa tu.
Kwa nini serikali isitafute wabia toka nje kuja kukifanya kiwe shule ya urubani ili kuendeleza uchumi.mbona...
UNA VISION KUBWA SANA, WE SUPPORT THAT , JUST MAKE SURE YOU SUCCEED.
COST = SUCCESS
yanga inaweza ingia kwenye madeni with nothing to show for it. kwa expenses yanga wameingia this year at least SEMI - FINALS..
good luck.
Shalom,
Ukubali ukatae penye pesa shetani yupona penye warembo shetani katulia, sasa utaamua wewe na tafakari yako wewe upo wapi na shetani wako umekaa nae wapi.
Ni kwa uchache naomba iwafikie
Wadiz
wale matapeli wanaotuma sms kuwa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kishindo.
Kwasasa kwa wiki naweza kupokea sms za namna hiyo zaidi hata ya kumi.
Mamlaka zimelala? Hii ni kero kubwa kwetu sisi wananchi, ina maana wameshindwa kabisa kuwashughulikia?
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Coastal Union zinaeleza kuwa fedha ambayo klabu ya Simba iliingiza kwenye ‘account’ ya Coast Union kwaajili ya biashara ya mchezaji wao, Lameck Lawi zimerudishwa mwenye ‘account’ ya Simba baada ya biashara hiyo kwenda tofauti na makubaliano ya pande zote mbili...
Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko?
Mawazo yenu ni muhimu
PESA NI CHANZO CHA MAOV
Watu wengi mno si waaminifu kabisa kwenye masuala ya PESA. Tatizo ni malezi au hii ni hulka tu tunayoiendekeza ukubwani?
Hili janga limewahi kukukuta la mtu kukosa uaminifu? Ilikuwaje?
Umewahi kudhulumu pesa ya mtu aliyekukopesha, aliyekupa ufanye kazi...
Rafiki yangu mpendwa,
Dharura huwa zinatokea kwenye maisha yetu na pale ambapo mtu anakuwa hajajipanga kwa dharura, huwa zinamrudisha nyuma sana.
Watu wengi wamenasa kwenye umasikini kwa sababu ya dharura mbalimbali wanazokutana nazo na kuwa hawajajipanga. Kwenye mipango yako ya kujenga...
Utangulizi
Usimamizi wa fedha ni ujuzi muhimu ambao unaweza kuamua utulivu wa kifedha na ubora wa maisha ya mtu. Nukuu, "Ushike hela, halafu zipotee ghafla na watu wako wapotee, ukizishika tena sidhani kama utakua mjinga tena 😄 Yaani watasimuliana namna umekua na roho mbaya," inafafanua kiini...
Mabadiliko ni Muhimu sana. Tufanye wenyewe kama mtu na mtu au serikali kwetu au taasisisi cha umuhimu ni mabadiliko.
Tunashindana kupata stories bora ambazo zitaleta maendeleo chanya. Natamani kuona mawazo ya Wa Tanzania wenzangu ya kiuchumi na tuangalie namna gani kwa pamoja tunaweza...
Wakuu niambieni
Ajira ya kwanza nimeajiriwa 2017 mshahara 780,000 bila makato
Kazi ya pili 2018
Mshahara 1.5M ukitoa makato 1M net mfukoni, bado safari laki 6 kila wiki mbili
Kazi ya tatu 2020
Mshahara m2.3
Ukitoa makato 1.6 M marupu rupu 70k kwa wiki
KAZI IMEISHA SASA
LAKIN HAYA YOTE SINA...
Ndugu zangu watanzania,
Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia alivyo miminia na kutiririsha Mamilioni ya pesa majimboni mwao kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...
Mara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo.
Hospitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.