pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Nafasi ya kazi: Kusambaza vinjwaji kwa pikipiki

    Nina duka la jumla nahitaji kijana mjuzi wa kuendesha pikipiki kwa ajili ya kusambaza vinjwaji Eneo: Kimara Njoo p.m tujadili Vigezo vya kazi ni nidhamu na kujua kuendesha pikipiki
  2. Hatua zipi nizifuate ili kujiridhisha kuwa pikipiki nayotaka kununua kwa mtu si ya wizi?

    Habari zenu wanaJF, Nina mpango wa kununua pikipiki used, nimeona mitandaoni Facebook na Instagram pikipiki nyingi zinauzwa. Ukiachana na hofu ya kununua bidhaa mbovu, hofu yangu kubwa zaidi ni kununua bidhaa ya wizi ambapo bila shaka unaweza kuishia sehemu mbaya. Sasa Basi wadau naomba...
  3. Wapi nitapata pikipiki ya umeme hapa nchini

    Mafuta yamekuwa kero, Mwenye uwezo wa kubadili mfumo wa injini ya mafuta kwenda umeme au pikipiki ya umeme completely. Na pia gharama zake zimekaaje respectively
  4. Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  5. Kanusho: Bodaboda na Bajaji hawajapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji kuanzia Alhamisi 21 Aprili, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo. ================= TAARIFA HII IMEKANUSHWA DAR: BODABODA WAPEWA VITUO 9 MJINI Baada ya kudaiwa bodaboda na Bajaji za biashara...
  6. TAMISEMI yafafanua taarifa ya kununua pikipiki 68 kwa Tsh milioni 789

    Wizara ya TAMISEMI imesahihisha taarifa yake iliyosomwa bungeni leo Aprili 14, 2022 na Waziri wa Wizara hiyo Innocent Bashungwa na kusema kwamba, Pikipiki za maafisa ustawi wa jamii zilizonunuliwa zilikuwa ni 268. Kupitia taarifa iliyotolewa leo Aprili 14, 2022, na Mkuu wa kitengo cha...
  7. Z

    Je, inawezekana kujifunza pikipiki Kama hujui kuendesha baiskel?

    Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk. Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel? Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel? Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
  8. PIKIPIKI: Bajaj Boxer 150 vs TVS 150

    Wasalaam wakuu humu ndani, Mwezi ujao natarajia kuingia dukani kuchukua chombo cha usafiri pikipiki. Kuna hivi vyuma Boxer na tvs kwa haraka haraka unaweza ukadhani ni vyuma sawa. Lakini wataalamu na wazoefu wanavijua vema kipi kinamzidi mwenzake. Naomba ushauri wenu ipi ni nzuri hasa...
  9. INAUZWA Jijini Mwanza: Mfalme zuma anauza pikipiki yake King Lion 1,800,000

    Pikipiki ni King Lion Cc 150 Gia 5 ametembea mwaka mmoja Hana shida yoyote njoo na hela yako tu Engine nzima kabisa 1,800,000 Nipo Nae machinjioni hapa 0713096076
  10. Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki

    Habari wakuu. Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki kwa ajili ya bodaboda. Nahitaji kujua zile ambazo zina masharti nafuu pasipo dhamana ambazo vijana wengi wamekua wakikosa lakini pia zisizo na mlolongo mrefu sana wa kupata hizo pikipiki. Ukinijulisha mahali ofisi...
  11. INAUZWA Pikipiki, Toys na Baiskeli za Watoto zinauzwa

    Nauza piki piki ya watoto Electric quadbike 4×4 Inatumia betri ya kuchaji na umeme,(12v) Music system (USB,memory card,aux,children songs and tales) Inafaa watoto wenye umri miaka 3-10 Price 400,000/= Kama unahitaji tuwasiliane 0764108259 Tunafanya delivery popote
  12. B

    INAUZWA Nauza pikipiki used TVS 125 Gia 4 Kwa 1.3m

    TVS hio. Cc 125 gia 4. Imetumika mwaka mmoja. Full document. Bei 1.3mil. Iko Nyakato Mwanza Piga 0623865841 tuongee biashara.
  13. Dar: Baada ya agizo la Sirro, watu 41 wakamatwa kwa wizi wa pikipiki 21

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam limeendelea na operesheni kali dhidi ya vikundi mbalimbali vinavyojihusisha na uhalifu ikiwemo wizi wa Pikipiki, Bajaji na magari. Kutokana na oparesheni hiyo wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 41 katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na...
  14. Singida: Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu na kufyeka shamba lake la mahindi

    Kamanda wa Jeshi Ia Polisi mkoani Singida, Stella Rutabihirwa amethibitisha kushikiliwa kwa wanafunzi sita wa kidato cha tano na sita Mchepuo wa CBG, kutoka Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Manispaa ya Singida kwa tuhuma za kuchoma Pikipiki ya mwalimu wa shule hiyo na kuharibu mazao...
  15. Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye...
  16. K

    Nadhani jeshi la polisi mnakosea kukamata Bajaji na pikipiki; hawa Watu wanatafuta riziki walishe familia mnapanda chuki

    Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki. Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
  17. Bodaboda mkaidi aponea chupuchupu barabara ya mwendokasi, pikipiki yashika moto

    Wanakatazwa kila siku, si polisi na hata Wizara na UDART. Leo bodaboda mkaidi kaingia njia ya mwendokasi na kuishia kugongwa na kuburuzwa hadi pikipiki ikawaka moto.
  18. Ushauri biashara ya kuuza pikipiki

    Salamu wakuu. Natumaini mko wazima na Afya tele. Nilikuwa na wazo la kuanzisha biashara ya uuzaji wa PIKIPIKI Mfano: FEKON na BOXER. Nimekuwa nikinunua pikipiki tangu Mwaka jana kwa ajili ya kukodisha kwa MKATABA wa Mwaka mmoja. Nimekuwa nikiona wauzaji wanauza kwa haraka zaidi na kupata Faida...
  19. C

    Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

    Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
  20. Waziri Mkenda awataka DIT waanze kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki. Ameyasema hayo Januari 28, 2022 Jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…