Salaam wanajukwaa,
Pole na mitikasi na mihangaiko ya kila siku, natumai sote ni wazima wa afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika uhangaikaji nimefanikiwa kufikisha kiasi cha milioni ishirini (20,000,000), nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na reja reja...