Jamani ndugu kwa unyenyekevu mkubwa nilikua naomba msaada kujua ni muda gani hasa wa kuripoti kwenye mafunzo ya upolisi na yatachukua muda gani Hadi kukamilika.
Yeyote mwenye uelewa tafadhali🙏
Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao.
Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu.
Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania!
Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua taharuki kwa vijana waliyokidhi vigezo vya kufanya maombi ya nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye mfumo wa...
SIku za karibuni maroli yamekua kero sana njia ya Morogoro na traffic police wao wame focus zaidi kukamata magari yenye faini badala kuongoza magari ili tuwahi kwenye shughuli za kiuchumi.
Foleni imekua kubwa sana kupitiliza kawaida na hakuna juhudi zozote zinafanywa na police ili kurekebisha...
Habari ndugu!
Kuna kero inaendelea huku Tegeta Msigani kwenye Mto wa Kinondo. Mwenyekiti wa CCM wa Serikali za Kijiji amezidiwa tamaa ya pesa na mapolisi wa Madale. Kuna wachota mchanga kwenye bonde ambapo sasa hivi limepanuka zaidi na kuwa mto, hivyo wanafunzi wanaosoma Msigani Primary wapo...
New York City police arrested dozens of pro-Palestinian demonstrators holed-up in an academic building on Columbia University campus late on Tuesday and removed a protest encampment the Ivy League school had sought to dismantle for nearly two weeks.
Shortly after police moved in, Columbia...
Wote tunaona idara ya ulinzi wa jeshi la taifa likiweka vitengo ambavyo vinaweza kuwalinda na kuwaongoza wenyewe mfano kama polisi za kijeshi kwa wanajeshi.
Sasa upande wa polisi hapa kwetu kumekuwa tofauti ambapo polisi hakuna wa kuwajibishwa hata kama polisi mwenzake labda upande wa rushwa...
Ulipongexzwa na watumiaji wa barabara hasa wa magari kupunguza vizuizi vya traffic police barabarani kwa vile ilikuwa ni kero na fursa za rushwa kila kituo walipo traffic. That was a good move.
Ulisema wawepo lakini si kila baada ya mita chache kama ilivyokuwa na ilivyo sasa.
Mzee zuio hilo...
Salaam , Shalom!
Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi.
Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio.
Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa...
Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemkabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.
Kama unabisha sawa hayo ya Kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.
It is what it is, it pains but swallow it the hard way...
Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokuwa waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua??
Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi...
Mara nyingi watu hufanyiwa vitendo vya hovyo, udhalilishaji na kunyimwa haki zao za kisheria na kikatiba na polisi wetu kwa kukosa uelewa wa PGO. Hali hii hufanyika kwa makusudi na polisi ama kwa polisi kusahau au kutokuifahamu PGO.
Kwa wananchi kuifahamu vizuri PGO watakuwa katika nafasi nzuri...
Kupatikana kwa haki Tanzania hususani central police DSM pale imekuwa ni changamoto hususani kesi za utapeli na uwizi, maaskari wamegeuka vishoka wa kuwatorosha watuhumiwa wa utapeli.
Mtu anaetapeli amejiwekea immunity kituo kikubwa kama central ili tu wadai wakifika central kufuatia madai yao...
Ndg Wana jamvi,
Kumekuwa na malalamiko mengi kwa mabasi na magari mengi yanayo pita njia hii ya SEGERA Chalinze kutokana usumbufu wa Polisi huyu.
Anatuhumiwa kwa kulazimisha kupewa rushwa na kubambikia watu makosa hata kuwawekea madereva wa mafuso mirungi, na kudai rushwa kubwa.
Watu...
Unakimbuka shule ya Shauritanga ilipoungua na kuua wasichana 50 +, Waziri Mkuu Malecela aliwaita Scotland Yard. Kwa sababu ya ukubwa wa tatizo.
Juba tofauti gani na sasa ambapo Waziri Biteko anashutumiwa katika kifo cha msaidizi wake?
Lazima Scotland Yard waletwe. Wakati ule aliketwa Collin...
Matokeo yake imekuwa wengi wanagongwa wakiwa na abiria kwa makosa ya ujinga wanaosema wao fashion. Kwanini hawa vijana msiwasake vijiweni waliong'oa saiti mira wote ndaani.
Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa.
Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii.
My take,
Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.