Habari za kazi ndugu na jamaa, nina kitu naomba tusaidiane uelewa maana nimetafuta majibu mpaka sasa nashindwa kuelewa utofauti, nauliza ivi kuna utofauti gani kati ya police na army?
Maana nikisikia jeshi la polisi najua polisi ni jeshi mara naambiwa polisi sio jeshi yaani nashindwa hata...
Leo in siku ya tatu tukiwa tumegubikwa na sintomfahamu juu ya kifo hiki.
Marehemu alikuwa bukheri wa afya na alionekana Mara mwisho saa tatu na nusu alipoamua kwenda kulala alipita dukani akanunua mahitaji, asubuhi tunaambiwa Shaba Ndoja hatuko naye, ujasiri wa mke wake kumbeba yeye na...
Police in Bungoma is looking for a man who allegedly burnt his daughter’s private parts over a boyfriend.
The culprit committed the crime in Bukembe village in Kanduyi.
The mother of the 16-year-old Form Two student at Bukembe SA Secondary School reported the incident to law enforcement...
Toka asubuhi nimeona taarifa za hamasa za kumpokea Tundu Lissu. Ni katika kuhamasisha mipango ya ndani ya CHADEMA kumtengenezea ukubwa Tundu Lissu, lakini nasikitika kusema CHADEMA wamefeli kwanzia planning, na execution ya Jambo la Lissu.
Nitaelezea siku nyingine hapo kwenye planning ila kwa...
POLICE VISUAL INFORMATION SPECIALISTS & FORENSIC ART OF FACIAL RECONSTRUCTION: FBI GENIUS wakiokota Fuvu (Mabaki) la marehemu wanaweza kulitumia katika kutengeneza taswira yake halisi.
Forensic Facial Reconstruction ( au Forensic Facial Approximation) ni njia inayotumika katika medani ya...
Wana JF.
Kwa kuwa vyama vyote vilisinyaa na kukosa bashasha na kuweka siasa pembeni ili kupisha Magufuri afanye kazi yake ya kuleta maendeleo.
Vyama vyote viliitikia ingawaje kunavingine vilikuwa haviafiki na kuishia kuwa na migogoro na police. Wengine walifikia hatua ya kufungwa na wengine...
Kwanza nichukue pongezi kuubwa kwa Mheshimiwa Brigedia John Mbungo kuteuliwa kuwa mkuu wa Takukuru baada ya kukaimu nafasi hiyo kwa muda mrefu. Lakini pia kwa kuonyesha kazi nzuri.
Pamoja na mafanikio hayo bado rushwa ni tatizo kuubwa ndani ya jeshi la Polisi hasa idara ya usalama barabarani...
According to Niamh Cavanagh, News Reporter of The Sun.co.uk...........George Floyd was a 46-year-old Minneapolis resident who worked as a security guard at a Latin American restaurant called the Conga Latin Bistro in the city.
According to the Star Tribune, Floyd had worked at the restaurant...
Ubaguzi unaendelea pamoja na maandamano kuendelea kurindima pande tofauti tofauti za dunia. Police wa USA wamejikuta kwenye sintofaham baada ya kumkamata FBI bila kujua.
Tazama video hapa chini.
=======
FACT CHECK
The arrested brother has not been confirmed to be an FBI Agent. The video...
Minneapolis, USA
Police nationwide, in unequivocal and unprecedented language, have condemned the actions of Minneapolis police in the custody death of a handcuffed black man who cried for help as an officer knelt on his neck, pinning him to the pavement for at least eight minutes.
“There is...
Many are not aware but the Kenya police has been undergoing a massive upgrade over of last two years. The Kenya police is getting rid of the G3 rifles and replacing them with CZ Scorpion airsoft rifles and FN scar rifles
The Belgian-made FN SCAR rifles will no longer be a preserve of the...
CAPE TOWN - South African police on Tuesday fired rubber bullets and teargas in clashes with Cape Town township residents protesting over access to food aid during a coronavirus lockdown.
Hundreds of angry people fought running battles with the police, hurling rocks and setting up barricades on...
ECUADOR: TAKRIBANI MAITI 800 ZA WALIOKUFA KWA #COVID19 ZAKUSANYWA
Wakazi wa Guayaquil wamekuwa wakiweka video zinazoonyesha maiti zilizoko mitaani, huku wakiweka ujumbe wa kuomba msaada wa kuwazika wanafamilia wao
Serikali ya Ecuador imechukua hatua ya kuzika maiti hizo kutokana na kushindwa...
Napenda kutoa dukuduku langu
Sisi wakazi wa Mburahati NHC eneo la Spider kama unaenda Luhanga tunasumbuliwa na vijana wacheza kamari.
Vijana hawa wanapora wananchi. Hivi Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa anafanya kazi gani kama kazi ya kulinda wananchi inamshinda?
Wakazi wa hapa hatuna raha...
Nimekuwa mtumiaji wa hii route ya KIGAMBONI mpaka KONGOWE kwa muda mrefu nikiwa na safari kati ya Kigamboni na Mkuranga. Kwa ujio wa safari za daladala kati ya KIGAMBONI na MWANDEGE nilipata ahueni ya nauli na muda..
Na hii route madereva na makonda wengi walikuwa wakiipigia kelele...
Mwanaume mmoja mkazi wa Kibundani katika Kaunti ya Kwale nchini Kenya amefariki dunia baada ya kupigwa na kundi la watu wakimtuhumu kuwa na Coronavirus. Mpaka sasa hakuna aliyekamatwa kutokana na tukio hilo.
=====
KENYA: MTU MMOJA AUAWA NA RAIA KWA KUDHANIWA ANA #COVID19
Polisi huko Kwale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.