Wakuu,
Mume wake Cherry anayeitwa Mkiza amejitokeza hadharani kusema kuwa yeye na mkewe wako salama ila kwa sasa wamekimbia nchi
Anasema kuwa wamekimbia watekaji kwa zaidi ya mara 3 na hata akaunti zao za benki zimefungwa
Soma Pia: Mkiza na Mentor Cherry Zaidi ya siku 10 sasa hawapo hewani na...
Wakuu,
Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?!
====
Ameandika Liberatus mtandaoni;
"Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka ametekwa na vikosi vya Samia usiku huu. Polis na watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwake Moshi...
Majuzi Waziri Simbachawene alitoa maagizo akiwataka Jeshi la Polisi kukamata raia kwa kufuata taratibu na sheria, kwa kutokamata raia kihuni. Wawe wanavaa sare, na waache kuvaa kininja.
Itakuwa Simbachawene si lolote si chochote, maana toka atoe maagizo hayo bado watu wanakamatwa kihuni, mara...
Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.
Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?