polisi

  1. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kuzaga asheherekea Krismasi na watoto wenye Mahitaji Maalum

    Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
  2. DOKEZO Jeshi la polisi, Nyarugusu Mkoa wa Geita kunatisha matukio ya kutisha

    Jeshi la polisi Tanzania hasa ngazi ya juu, Nyarugusu Geita kunatisha kwa mauji ya watu kuchinjwa. Nyarugusu Geita ni kata Ambayo inapatikana mkoa wa Geita wilaya ya Geita vijijini wakazi wake wengi wamezungukwa na sehemu kubwa ya uchimbaji wa madini. Shughuli zake kuu za watu kujipatia...
  3. Polisi Morogoro yendesha oparesheni, yakamata madereva 60 kwa makosa mbalimbali ikiwemo ulevi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kuendelea kuimarisha usalama barabarani na kuzuia ajali zisitokee limefanya operesheni, misako na ukaguzi wa magari iliyofanikisha kuwakamata jumla ya madereva 60 kwa makosa mbalimbali yakiwemo ulevi, kuzidisha abiria pamoja na kubeba abiria kwenye magari...
  4. 300 Wakamatwa Mwanza kwa Makosa Ya Kiharifu

    MWANZA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu zaidi ya 300 wanaojihusisha na vitendo mbalimbali vya kihalifu ikiwemo makosa ya barabarani ambayo yanahatarisha maisha na kusababisha ajali. Hayo yamesemwa wiki hii jijini Mwanza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa...
  5. Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

    Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe...
  6. Wanaosema Mbowe amechoka, nawakumbusha kwamba wakati Lissu kajificha uvunguni, Mbowe na binti yake ndio waliandamana mwaka huu, wakakamatwa na Polisi

    Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana. Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani. Hawa ndio tukabidhi chama?
  7. B

    Latra na Polisi wanapodhibiti ajali kwa ukaguzi usiokuwa na tija stendi barabarani kukiwa hivi, wana mchuuza nani?

    Hii ndiyo hali ilivyo barabarani: Tuko kama tuliopagawa!
  8. Polisi anafanya kazi mbali na inapoishi familia yake. Askari Mgambo anatumwa kukamata watu wa mtaani kwake. Hii sio sawa hata kidogo....

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA) (1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio...
  9. Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia: Jeshi la polisi lipo karibu na wananchi

    Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia Mfaume akiongea kwa uchungu katika msiba wa Askari Polisi waliopoteza maisha katika majibizano ya risasi na majambazi wilayani humo. Soma Pia: Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe! Dkt...
  10. Jeshi la Polisi lakiri Marehemu Ulomi alikuwa Koplo lakini aliacha kazi mwaka huu

    Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, Elisante Ulomi amesema mdogo wake, Daisle Ulomi aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki jijini hapa, alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kabla ya kuacha kazi hiyo mapema mwaka huu. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Ulomi aliyekuwa anafanya...
  11. Je haya maswali ya hayati Magufuli kwa polisi kuhusu kutekwa kwa Mo dewji yalijibiwa ?

    https://youtu.be/DH4p2T6eIcI?si=SoYq_5G1ZgUb8z9f
  12. Kumtetea Mbowe ni vigumu. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi

    Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani wake wamepata nafasi ya kumdhihaki. Nawatupia lawama timu yake yote kwa kushindwa kuweka jambo la leo...
  13. Mechi ya Ligi, Yanga na Mashujaa kuamriwa na Polisi kesho Disemba 19

    Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi huyu, ambaye pia ni miongoni mwa waamuzi waliothibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
  14. Kigoma: Polisi wafafanua kukamatwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA, wamesema wamekamata wahalifu

    Polisi Kigoma wametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazozungumzia kukamatwa kwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA. Polisi wamesema wanashikilia wahalifu wanne kwa tuhuma za mauaji, na kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria.
  15. Polisi wapunguze presha ili wasiwape wahalifu nguvu.

    Nalipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ambayo wameendelea kufanya kwenye taifa hili. Ila lengo la andiko hili ni kusema kuwa polisi wanapresha ambayo inasababishwa na wao kutuhumiwa katika maswala utekaji. Rai yangu ni kwa polisi kuwa na utulivu katika utoaji wa taarifa ili kuepusha...
  16. Polisi wawili wakamatwa kwa wizi wa ng'ombe Kenya

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi baada ya kukutwa wakichinja ng’ombe ambaye aliripotiwa kupotea katika Kituo cha Polisi cha Kaptagat. Askari hao, Chrispus Butali na Samwel Mbugua Njuguna wanashikiliwa kutokana na kukutwa katika tukio hilo. Taarifa ya Polisi imeeleza Josephine Kandie aliripoti...
  17. B

    POLISI: Bwana harusi alijificha kwa mganga.

    #VIDEO: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupatikana kwa Vincent Massawe (Bwana harusi) ambaye taarifa zake zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amepotea siku chache baada ya kufunga ndoa. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
  18. Bwana harusi aliyedaiwa kutekwa apatikana Kigamboni, alijificha kwa Mganga wa Kienyeji

    Taarifa ya Jeshi la Polisi == Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao. Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na Mwananchi...
  19. Ulomi alikuwa Polisi, hakuwa Polisi?

    Daisle Simon Ulomi Kwa Sasa ni marehemu baada ya maiti yake kukutwa Jana hospitali ya rufaa Mwananyamala. Taarifa za Jeshi la Polisi na Msemaji wa hospitali hiyo zinadai alipelekwa hapo jioni ya tarehe 11.12.2024 akiwa tayari amefariki Kwa ajali ya pikipiki MC 415 DQC. Ndugu zake akiwemo mkewe...
  20. Ukiwajua Polisi Tanzania, hutawashangaa kabisa na taarifa zao

    Nimeona watu wanashangaa polisi kuja na taarifa za mtu aliedhaniwa katekwa kuwa kafa kwenye ajali ....siko hapa kuwatetea polisi ..wala kushutumu lakini ningependa kuongea Kwa uzoefu wangu ...kuhusu polisi Tanzania... Niliwahi kuwa na kesi ya mtu alienitapeli ...polisi Chango"mbe nikapewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…