polisi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Polisi Ibada ya kuwaombea wafu haijawahi kuwa jinai. Njoo tu muue as usual!

    Njoo tu muue kama ilivyo kawaida Misa ya kuwaombea wahanga wa 29.10.2029 siyo kosa. Kama nyinyi mnavyomuabudu mama , nasi tunamuabudu Yesunni hilo tu
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Wazuia Waandamanaji Kuingia CBD Nairobi Katika Maandamano ya Kupinga Bei ya Mafuta

    Polisi wamejaribu kuzuia baadhi ya waandamanaji kuingia katika eneo la biashara la katikati ya jiji la Nairobi (CBD) leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026, huku mvutano ukishuhudiwa barabarani. Video iliyorekodiwa jijini inaonyesha baadhi ya waandamanaji wakikabiliana na maafisa wa polisi katika kile...
  3. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi kuna polisi ambao ni makomando?

    Zamsni nilijua ni JWTZ ndio kuna kozi za makomando Kumbe mpaka polisi wapo. Hii ni baada ya kuona hii picha, FFU ana bawa kifuani kama ya makomando wa JW
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Waanza Msako wa Mwenye Jengo Lililoporomoka Eastleigh, Nairobi

    Mamlaka zimeanzisha msako wa kumtafuta mwenye jengo lililoporomoka eneo la Eastleigh, Nairobi, Ijumaa, Oktoba 23, 2026, huku shughuli za uokoaji zikiendelea kuwatafuta watu wanaohofiwa kunaswa chini ya vifusi. Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja alisema jengo hilo lilikuwa limepata cheti cha...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Polisi: pikipiki zisizo na namba tishio!

    Dar es salaam, Arusha na Moshi, wahalifu wanaopora Simu, mikoba na hata wizi ni wale wanaokuwa na pikipiki zisizo na Namba. Jeshi la Polii litangaze kabisa, wakikuta pikipiki isiyo na namba, na ni ya zamani , namba zimekunjwa ama hazisomeki iwe halali yao, kwa mujibu wa sheria.
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania SACP Maigwa: Polisi Kilimanjaro Haina Haja ya Kufanya Operesheni na Mgambo

    Kamanda mkuu wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kua jeshi la polisi halina upungufu wa kuhitaji kufanya oparation na Jeshi la Akiba (Mgambo) Ameyasema hayo wakati Kampeni ya Ongea na Kamanda katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro Oktoba 20,2026
  7. B

    JamiiForums Tanzania Maofisa sita wa Polisi walilia DPP awapunguziwe adhabu kupitia Plea Bargaining

    21 October 2026 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Maofisa sita waomba DPP wapunguziwe adhabu Katika muendelezo wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili waliokuwa maofisa wa polisi na raia wengine, washtakiwa watano (kati ya tisa) wameandika barua kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Habari za wananchi kuwandunda Polisi zimeanza kuota mizizi

    Ni mwendo wa kuwadunda tu👇
  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwenyekiti CHASO Mwanza kupewa kesi ya ugaidi na Polisi

    Baada ya Kumjibu Kilina , M/kiti wa Chaso Mwanza anatakiwa ku report Polisi huku Polisi wakipanga kumpa kesi ya Ugaidi. Kwa sasa Jeshi la Polisi limeji dhatiti kudhibiti wote wanaojibu hoja zinazoihusu CCM au zinazomhusu SAMIA isipokua ziwe zinasifia na si kukosoa.
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanahabari wa Citizen TV akamatwa na Polisi akiwa kazini wakati wa Maandamano Nairobi

    Mwanahabari wa Citizen TV, Francis Odee, alikamatwa na maafisa wa polisi Jumanne, Oktoba 20, 2026, alipokuwa akiripoti maandamano ya wananchi waliokuwa wakipinga ongezeko la bei za mafuta katikati mwa jiji la Nairobi. Odee, ambaye huripoti masuala ya uhalifu na usalama, alikuwa akitekeleza...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Denmark: Hali ngumu, polisi atembeza virungu kwa mwandishi wa habari kama Polisi wa Tanzania wanavyopiga watu

    Huko Ulaya hali ni tete👇
  12. Olmo

    JamiiForums Tanzania Polisi na tahadhari za ajari barabarani

    Wakuu ndugu zangu polisi najua na nina uhakika kabisa nyinyi ni watanganyika wenzetu tena hata majina mnatumia kama ya kwetu ya kina Mongera kama mimi hapa richa ya kuijita olmo lakini kiukoo ni mongera! Najiuliza kwanini mnachukiwa ivi jamani ? Wengine tunaenda mbali tunasema hii ni kwa sababu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda awapa saa 24 polisi kuwakamata walioiba betri 40 za MRI na X Ray

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC), Said Mtanda ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwakamata ndani ya saa 24 wote waliohusika na wizi wa betri 40 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, huku akiwataka walioziiba kuzirejesha mara moja. Mtanda alitoa agizo hilo jana jioni Jumatatu, Oktoba 19...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Polisi Tzfungueni akaunti Tiktok iwe Verifed !

    Jeshi la Polisi ni kwaajili ya Usalmlama wa Raia na mali zao. Raia wema ni wengi na kwenye mitandao kama tik-tok kuna wahalifu wengi ambapo ni rahisi kuwa-tag na kuona huyo mwalifu na kumshughulikia. Lakini maandamano na uhalifu mbalimbali itakuwa ni rahisi kuuzima kama mtakuwa na akaunti na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

    Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
  16. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Je serikali imebadili uniform za askari polisi kimyakimya?

    Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa Rais wa awamu ya tano aliagiza askari wa kike wasivae sketi na zibadilishwe wavae suruali. Yalikuwa ni maamuzi sahihi sana hasa kwa trafiki wa kike ambao sketi kuna muda zilikuwa zinawapa shida kwenye utekelezaji wa majukumu wao. Sasa awamu hii, naona...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wizi wa vifaa vya magari ya IT ya Malawi, Zambia nk eneo la external polisi wanajua, TISS wanajua na hawafanyi lolote; tunaidhalilisha sana Tanzania!

    Kuna wizi mbaya wenye kutia aibu ambao mimi binafsi unaniudhi sana. KIla nikienda eneo hili la External barabara ya Maji Chumvi upande wa kushoto, ni sehemu ambazo gari za IT kutoka bandarini zinaingia kutokea Mandela Road zikiwa safarini kwenda Malawi na kwingineko. Hili eneo ni maarufu sana...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Ulanga latekeleza Programu ya “Ongea Na Kamanda” Kata ya Ketaketa - Morogoro

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA”, iliyotekelezwa katika Kata ya Ketaketa na Kijiji cha Ketaketa, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro. Programu hiyo imelenga kuwapa wananchi fursa ya...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Wawili Wakamatwa kwa Tuhuma za Kumnajisi Mtoto wa Miaka Mitatu Meru

    Maafisa wawili wa polisi katika Kaunti ya Meru wamekamatwa na kufikishwa mahakamani wakishukiwa kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu na nusu katika eneo la Kinjo, Imenti Central. Maafisa hao, Nicholas Njagi na James Mutabari, wanaohudumu katika kituo cha polisi cha Kinjo Police...
  20. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Nimekosa Imani na jeshi la POLISI

    Ndugu wanajamii, Napenda kutoa malalamiko yangu kwa umma kuhusu mkasa ulionikuta usiku wa kuamkia jana. Nyumbani kwangu nilivamiwa na kuibiwa (TVS) yangu . Baada ya tukio hilo, nilifanya jambo la busara na la kiraia — nilikwenda kituo cha polisi kupeleka taarifa rasmi. Mwizi nimemjua, na...
Back
Top Bottom