pombe

  1. Hivi Kuna madhara ya kuweka pombe Kali kwenye fridge na baadae kuinywa??

    Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk. Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua hili......tchao!!!
  2. Mechi za Simba zilizobaki BODI ya LIGI washamaliza matokeo siku nyingi nawaonea Hawa tma Leo Bora wangekaa bar sinza wanywe pombe wageuke

    Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia uwanjani Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI Muwe makini KUFUNGWA mtafungwa ANGALIEN usalama WA afya xenu
  3. Q

    Rasmi nimeacha pombe, zinaleta roho za kimasikini. Usiingie kwenye uraibu huo

    Kwema wakuu baada ya kutumia pombe kwa kipindi cha miaka 11 tarehe 7.3.2025 nimeacha pombe Rasmi na pia nachagua Marafiki ambao hawanywi pombe bahati nzuri Mpenzi wangu Hanywi Pombe Nakushauri acha pombe.
  4. RC Dodoma: Wananchi tunzeni chakula, msitumie nafaka kutengeneza pombe kuna ukame

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rossmery Senyamule amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatunza chakula na wasitumie nafaka kwa ajili ya kutengenezea pombe kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini. RC Senyamule ametoa maagizo hayo hapa Jijini Dodoma wakati akihitimisha kikao cha...
  5. Uliwezaje kuacha pombe au kilevi chochote ?

    Kuna mwamba yeye alikua anakunywa pombe anavuta na sigara. Kulingana na yeye sigara ina stim sana ukiikosa unaweza ukaenda kuitafuta hata usiku wa manane, Sasa siku moja ilikua ni usiku sana alafu mvua inanyesha na hana sigara ilibidi aende kutafuta duka lililo wazi akakosa duka lililo wazi...
  6. Ujumbe Kwa wanywaji.

    Drink responsibly
  7. Sijui kuwa kuna pombe halamu na halali!

    Ninachojua pombe pombe tu Kuna za wanaojifunza na makonki kama sisi Sasa pombe. Nyepesi isiwe sababu ya kuzihirisha Kuna pombe haramu na HALALI pombe itabaki pombe
  8. Inakuwaje imani fulani zika shikilia sana kuhusu pombe ni haramu sio vilevi vingine pamoja na ngono

    Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu. Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar. Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi kubwa ni upande huu.Ndio maana ikifika karibia na mfungo watu ufunga ndoa kwa madhumuni ya kujipatia...
  9. Zijue faida za Pombe

    Kama ulikua hujui faida ya POMBE MWILINI wacha nikufahamishe;- Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara, Sasa leo wacha nikufahamishe faida ya kunywa pombe, Lakini kabla sijakuletea faida ya pombe mwilini, Wacha kwanza nikufahamishe pombe ni nini, Pombe ni neno ambalo...
  10. K

    Kuna mwana jf wa kike aliye hapa mbuzi online ya kimara suka aje nimpige pombe?

    Kama kuna mwana jf wa kike aliye hapa mbuzi online ya kimara suka aje tupige vyombo.
  11. T

    Wadau wa JF karibuni tunywe Pombe

    Niko na washkaji zangu tunapiga bombe na nyama joma. Karibuni wadau tujuumuike, tufahi.
  12. Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

    Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
  13. A

    Mnaonywesha pombe watu wa Mungu usingizini Mungu anawaona

    😭😭😭😭
  14. Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

    habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa. mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance. NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa...
  15. DOKEZO Arusha, Kilimanjaro kuna ongezeko kubwa la viwanda bubu vya pombe

    Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini. Wanywaji wa Pombe hizo wamekuwa wakisema zinawapotezea kumbukumbu pindi wanywapo. Na wengine hupoteza fahamu hadi siku mbili ...
  16. Niliwahi kuambiwa na mmakonde kuwa pombe aina ya Gongo inayotegenezwa kwa korosho ikipata joto inalipuka. je hili nikweli?

    Wakuu dunia ina mengi sana.Huku kwetu Gongo hutegenezwa kwa malighafi ya muhongo au jina maalfu ni udaga. Nadhani kila sehemu wanatumia malighafi tofauti tofauti kulingana na upatikanaji wake. Basi katika kutembea huko na pale na kule nikakutana na mtu wa songea mmakonde alichoniambia...
  17. Vijana wanavyohatarisha maisha yao kwa bodaboda, pombe kali, mirungi, na korokoro la mchina usiku kwenye night club

    Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana. Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
  18. Fahamu matokeo ya meditation

    Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate. Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
  19. Kunywa Pombe asubuhi ni kosa kisheria?

    Wakuu naomba kuuliza kunywa pombe asubuhi ni kosa kisheria?
  20. Kwa jinsi nilivyoharisha leo, natangaza kuacha pombe aisee

    Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae. Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea. Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka. Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…