Nimeona baadhi ya wabunge na kuwaskia wakisema mheshimiwa rais then samahani mheshimiwa supika.
Hivi hawa jamaa wanawakilisha ujumbe wao wapi?au kero za wananchi wao wapi?
Kwa supika ama rahisi?
Ina maana hawajui hata mada yao waipeleke wapi?
Au ni makusudi tu.
Rais na supika ni vitu mbili...
Hivi kwa nn ukiwa Bar au eneo lolote la kupata drinks ukianza ile kuongea kwa sauti ya juu tofauti na awali wanazengo hutupia jicho kinywaji unachotumia?
Kuna uhusiano wowote wa aina ya pombe na tabia ya mtumiaji?
Ikiwa vyama vya Siasa vinapewa Ruzuku. Iweje sekta inayoingiza Kodi kwa wingi hawapewi Ruzuku toka mfuko mkuu wa Taifa? Tatizo ni Nini? Tumechelewa sana!
Nilikuwa nafuatilia runingani namna Rais Samia anavyowakabidhi majengo wale wananchi walioahidiwa kujengewa na hayati JPM. Alipoanza kuongea yule Bibi aliyekuwa ameongozana na Babu kama ndio wawakilishi wa wakazi 644 akawa mzalendo katika kutoa shukrani zake.
Kasimama mbele ya Rais SSH lakini...
Ni sababu zipi, zinazokuvutia wewe kwenda kunywa pombe bar, pub au club? Kwa nini usiagize vinywaji ukanywea nyumbani?
Wengi tunaamini, kama utaamua kuagiza vinywaji na kunywea nyumbani kuna faida nyingi sana; mojawapo ni kubana matumizi, kwa sababu hutoshawishika kutumia zaidi ya bajeti...
Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna.
Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi.
Asante.
Leo ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli afariki, nimekaa chini muda fulani nikatafakari siku hii ya kumbukizi ya kifo chake, Kuna somo nimelichukua kupitia kwake. Kwa kulinganisha kipindi akiwa hai na baada ya kutuacha, somo hilo ni kutokuogopa...
Wengine wanaokunywa bar walizozizoea wakilewa na kulala wake zao wanapigiwa simu. Kweli dignity iko wapi hapo, mke anakukuta umetapika au kujikojolea.
Wengine wenye bar wana wafungia ndani kwa usalama wao. Sasa moto utokee usiku bar wakati imefungwa ndiyo tunaimba parapanda.
Wengine...
Moja kwa moja kwenye hoja. Kinywaji hiki cha 'mnazi' ni maarufu sana na kinatumiwa kwa wingi katika ukanda wa pwani wa nchi yetu ambao kwa kiasi kikubwa una idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiisilamu.
Kwa kuwa kinywaji hiki kina 'ulevi' ndani yake, yaani kwa kunyoosha maelezo ni pombe, na kwa...
Kuna siku nilikuwa nimechoka sana, kutokana na changamoto za kidunia, nikaamua kwenda kiwanja na jamaa yangu kwa ajili kupiga kinywaji pamoja na kuosha osha macho kwa kuangalia watoto wazuri. Siku hiyo tulipiga pombe sana huku tukibembelezwa na ‘ live band’. Baada ya kukaa masaa kazaa, tukaona...
Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store.
Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe...
Hali imekuwa ngumu sana maana maisha yamekuwa tight.
Utakuta jirani yako au ndugu yako hana chakula, mavazi hata watoto wake hawana mahitaji ya shule.
Lakini unakwenda baa unazungusha round za kibabe. Mbaya zaidi inakuwa kila siku.
Kwa hiyo kama kwa wiki unatumia laki kwenye pombe basi...
"Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.
Nimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito.
Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe.
Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke...
Nina ndugu yangu alikuwa ameacha pombe kama miaka minne hivi iliyopita.
Sasa hizi sikukuu za juzi: Akaniambia: "Aisee, ngoja niinjoi kinywaji kuanzia krismasi mpaka mwaka mpya tu, halafu mambo yarejee kama awali."
Jamani, Leo hii (tarehe 15/1/2022) yuko kaunta ana bia ya nne! Jamani kuna...
Jeshi la polisi mkoa wa Manyara katika operesheni zao, wamegundua kiwanda bubu kilichopo Mtaa wa Ngarenaro mjini Babati, kinachozalisha pombe kali feki zinazofungashwa kwenye vifungashio vya kampuni ya Konyagi.
Jeshi hilo limekamata shehena ya pombe hizo feki huku wakiwaweka wafanyakazi wa...
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameomba radhi kwa kushiriki katika sherehe ya kunywa pombe iliyofanyika katika bustani ya ofisi yake wakati nchi hiyo ilipokuwa chini ya vizuizi vikali vya watu kujumuika.
Hata hivyo, kiongozi huyo amepuuza miito ya upinzani ya kumtaka ajiuzulu...
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana...
Mimi ni muumini wa Uhuru wa kweli na kujiamini kama mtanzania !
Kauli mbiu yangu wakati naingia JF ni moja tu inatambulika kama "KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA"
Kaulimbiu hii inamaanisha kuwa tunaweza kufanya makubwa iwapo tutajiamini au tutachagua kujiamini.
sisi ni watu wenye akili,uwezo na...