Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya dawa kama ilivyo kwa dawa zingine hivyo kupunguza ufanisi.
Mkurugenzi wa kuratibu na kukuza utafiti...
Mtangazaji Maulid Kitenge ametoa hoja katika swali kuwapa changamoto wanaokataa chanjo
Amesema kama unatumia pombe kali na unavuta sigara ambazo zinakuweka katika hatari ya magonjwa na kufariki, unaogopaje chanjo ya #COVID19
Je, unaionaje kauli ya Kitenge, kiungo mshambuliaji?
Takwimu zimeonesha kuongezeka kwa matumizi ya pombe kwa 24.4% kwa mwaka 2020/21 ukilinganisha na 2019/20, mbali na kuwa na lockdown ambapo baa zilifungwa kwa wiki 31
Aidha vifo vinavyotokana na ini kuharibiwa na pombe vimeongezeka kwa 21% kwa kipindi ambacho #COVID19 imekuwepo, hali...
Hivi majuzi nilisikiliza interview ya Sallam SK kupitia kipindi cha The Switch cha Wasafi FM nikajifunza jambo -- kuwa kumbe si kila msanii yupo tayari kunyakua kila dili linalowekwa mezani, no matter how much mulla it brings.
Kumbe si ughaibuni tu ambapo watu wana uthubutu wa kukataa michongo...
Rais ambaye umekulia mazingira ambayo unayafaham vizuri. Unabana kwenye Mafuta ambako ni usafiri uti wa mgongo wa maendeleo. Unaongeza kodi huko.
Kuumiza wakulima, wafanyabiashara na wafugaji. Unaachia kwenye kilevi ili wote tuwe tunalewa tusitumie tena akili. Si ndiyo?
Unaongeza kodi kwenye...
Hii nchi ni tajiri, Tanzania ni Tajiri sana ndugu zangu
Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani
Hata wasiompenda kwa kuwabana kwa maslahi ya taifa wanakubali kazi zake
Tunakumiss ila tunakushukuru kwa kutuachia chuma kingine Samia Suluhu Hassan, Mama wa taifa.
Mama anasema KAZI IENDELEE 💪
Japo mwenyewe alishawahi kukiri kuwa ana ukichaa fulani kichwani lakini wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema Nyongo kutoka huko kanda ya ziwa. Lakini ningependa tujikumbushe kitu ukiachilia mbali umwagaji huo wa Nyongo. Kuna walakin labda sababu ya chuki za kisiasa hapa ama yasemwayo...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums Maxence Melo amesema vyombo vingi vya habari hukubali matangazo kwa kuwa yana hela nyingi
Kwa JamiiForums amesema wana sera ambayo inawafanya wakatae matangazo ya Pombe na Matangazo ya Betting japo yana hela.
Aidha Chombo cha habari kutegemea matangazo ni...
Connection nyingi za kazi mara nyingi utazikuta Bar.
Ukiwasikiliza walevi mazungumzo yao huwa ni ya maendeleo tu kama ujenzi, harusi, miradi mbalimbali n.k
Kazi yangu ya mwisho (temporary) nimeipatia Bar baada ya kuhangaika for 4 yrs.
Na kazi inayofuata (naiombea iwe) imepatikania kwa kuwa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema!
Hivi wanyaji wa bia na pombe kari tunaibiwa au? Maana pombe kali zishapanda bei ila bia Zimebaki pale pale shida iko wapi? Au mi kwa sababu niko uku ruvuma?
TRa
Tbs
OSHA
Wateja
TUPAZE SAUTI
TANZANIA NI YETU
Mnataka baba zetu waendelee kubet sio? Wahamie kabisa na mashuka na magodoro?
Hii nchi hii yaani kuna mtu yuko bungeni kimkakati kuhakikisha betting hata inafutiwa ushuru, mwingine yeye ahakikishe pombeee pombeee zinakaa pazuri shida za wananchi na kero zao acha wafie mbali.
Aiseee we are finished
Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14
Aidha, Rais Cyril Ramaphosa amesema katika siku hizo mauzo ya pombe na safari kuelekea au kutoka maeneo yaliyoathiriwa...
When citizens of Tanzania wanted to hold their leaders accountable in 2015 Tanzanians Election,no body knew that Magufuli was coming,When Bagamoyo dispute raises questions over Chinese business practices Magufuli stood up to say that the Bagamoyo investment condition set was tantamount to...
Kwenye Matangazo ya pombe mwishoni kuna sauti nzito ya njemba moja sijui ni nani anasemaga ...."Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako"....
Anazingua sana anawapa cha kusema wake zetu, siku ukiamua kitulia home bahati mbaya tangazo likatoke basi ikifika hiyo sehemu kama ni TV au...
Wakuu heshima kwenu,
Kwa mara ya kwanza nimeweza kujicontroll na kuacha kufanya mapenzi na kunywa pombe kwa muda wa miezi mitatu (kuanzia January hadi Aprill mwanzoni)
Nikiri kwamba nimepata nguvu za ajabu mno na uwezo wa ubongo kuchanganua mambo umeongezeka mara dufu. Nilipokuwa meza moja na...
Salam wakuu.
Nimewaza sana kwanini viwanda vya pombe Kali (Distilled spirits) kama konyagi, kvant, vodka, dompo, wana design chupa nzuri sana tena zenye mionekano bomba.
Lakini cha kushangaza chupa hizo baada ya matumizi hutelekezwa na kuwa kero kwa uchafuzi wa mazingira yetu.
Sasa sijui...
Sukari ni kiungo mhimu kabisa kwenye maisha ya Mtanzania, haijalishi matajiri au maskini lazima atumie sukari.
Binadamu woote bila kujali mzima ama mgonjwa lazima atatumia sukari.
Ndio maana sukari ikiadimika nchi inatikisika.
Lakini ajabu tunapunguza kodi kwenye Pombe. Yaani Watanzania...
Afrika Kusini imewafukuza wanadiplomasia kadhaa wa Malawi baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara haramu ya kuuza pombe bila kulipa tozo. Taifa hilo pia limefukuza Wanadiplomasia kadhaa kutoka Lesotho kwa sababu hizo
Wizara ya Mambo ya Nje ya Malawi imesema Afrika Kusini iliwapa...
Amongst all his predecessors John Pombe Magufuli stands out as the most legendary President who toiled his blood for Africans, Tanzanians particularly to benefit from their natural wealthy and resources and that one alone made him a lot of enemies, He nullified the Mangungo wa Msovero contracts...