Shikamoo mama Samia. Nimeona uko serious sana na report ya CAG. I love you. Nchi hii imejaa notable crooks. Please deal with them.
Nenda kwenye public institutions and do something. Halmashauri nyingi ni wezi but hali ni worse kwenye public institutions. Unfortunately your CAG doesnt audit all...
Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka...
Bila kuzungusha sana uzi mambo hayo ni;
(i) Kugusa maisha ya wengi
(ii) Kusifiwa akiwa hai
(iv) Kuondoka wakati bado anahitajika.
Mambo haya kwa ujumla wake kulingana na hotuba iliyosomwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ni bahati aliyokuwa nayo Hayati D.k John Pombe Joseph Magufuli.
Fuatilia mbashara hapa
RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli.
Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa Kanisani kwa ajili ya Misa ya Mazishi
Kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Mama Janeth...
Raila Odinga: The John Pombe Magufuli I knew
TUESDAY MARCH 23 2021
Summary
I first met Dr Magufuli at an international conference on infrastructure in Durban, South Africa some time in 2003. I had just assumed office as Minister for Roads, Public Works and Housing in the National Rainbow...
Katika hali ya upendo na nguvu za asili zinaotawala mazingira yetu ya kila siku. Nguvu zinazoifanya hali ya hewa kuwa tulivu au kuwa katika hali inayotahayarisha wanadamu na viumbe wengine hali mkoa huu imekuwa tulivu sana ikitawaliwa na mvua kiasi inayonyesha kwa upole mkubwa jambo...
Nyimbo nyingi zimekua zikitungwa kwa ajili yakuonyesha namna tulivyompenda Rais wetu, nadhani kila mtu ana nyimbo ambayo kwa namna moja ama nyingine akiisikiliza anajikuta anatonesha kidonda anaanza umia upya.
Kwa upande wangu nimeguswa sana na nyimbo mbili ambazo ki ukweli nimezipenda nimezi...
Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
DODOMA NI MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI.HAWA NI WAKAZI WA DODOMA WAKISHIHUDIA SAFARI YA MWISHO YA Rais...
Leo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati akitoa salamu za pole kufutia kifo cha Rais Magufuli, amewataka watanzania kuwa watulivu na kusema ilani ya CCM ya 2020 - 2025 na miradi yote ya maendeleo aliyoacha Rais Magufuli itatekelezwa kwani fedha zote za miradi hiyo...
Mods Moderator naomba msiunganishe huu uzi🙏
Tumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa nchi yetu. Ametutoa pagumu sana, ametuthubitishia yaliyoambiwa hayawezekani yanawezekana kwa vitendo
Ametuachia viongozi makini aliowapika kuwa wazalendo kama yeye mwenyewe...
Habari na poleni sana kwa msiba.
Niseme tu kwamba wengi wanaweza kusema mengi kuhusu Msiba huu ila mimi naweza kusema Jambo Moja. Maisha ni zawadi, tuyaenzi. ujifunze kutoka katika maisha ya Magufuli; Maisha ambayo yaliacha alama.
Mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi mama yangu mzazi aliniuliza...
Sifa ya kiongozi ni kuweza kufikiri nje ya boxi, kwa maana ya kuwa na IQ kubwa katika kutatua changamoto za kila siku za wale unaowaongoza. Rais wa Tanzania amekua akilionesha hili wazi kupitia mapambano yake na rushwa, wafanyakazi hewa, matumizi mazuri ya pesa za umma, usimamizi mzuri wa...
SIKU HIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR
Umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja story nyingiiiii badae unasikia nipe moja brother atakupa au utasikia brother napiga moja
Umenunua zako K Vant unapiga...
Awali ya yote napenda kutoa salamu za dhati kabisa kutoka katika kina cha nia yangu kwenu nyote nikiwa na uhakika salamu hii itapokelewa na kila mtu atakayesoma andiko hili na kuruhusu kuelewa zaidi ya uelewa ulivyo.
Natamani sana andiko langu niliweke katika lugha ambayo itamfanya kila mmoja...
Kwa mujibu wa mtandao wa African full facts nchi zinazo ongoza kwa unywaji wa pombe barani Africa ni..
1. South Africa
2. Gabon
3. Namibia
4. Nigeria
5. Uganda
6. Rwanda
7. Burundi
8. Sierra Leone
9. Botswana
10. Tanzania.
Na vilevi (bia) vinavyohusidiwa sana na walevi wa bara la Africa ni:
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.