Habari, naomba kutoa waraka huu mfupi iwe sehem ya kunena yalio mazur kuhusu NSSF Tawi la Kinondoni.
Ni kweli NSSF ni suala ambalo limekua pasua kichwa mno, hususan kwa watumishi waliopewa dhamana ya kuhudumu wa wanachama, mim nilikua sehem ya muhanga, sintotaja ni kampun gan nilihitim mkataba...