Ingekuwa ni enzi zangu nacheza mpira (naupiga mwingi) nina uhakika huyu Mshambuliaji Mbovu wa Yanga SC Fiston Mayele sasa hivi angekuwa Muhimbili Hospitali anauguza Jeraha la Miaka 6 ijayo kwa Rafu ambayo ningemchezea.
Mabeki wa NBC Premier League (Siku hizi) ni Wapuuzi sana na ndiyo maana...
Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima?
Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima zaidi Tanzania hasa kwa Mambo makubwa na ya Kimataifa baada ya kutoka Niger juzi nikalala Ulaya...
Baada ya kuwa na matokeo mabaya hivi karibuni ikiwemo kufungwa na kupata sare, Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Brighton katika mchezo wa Premier League.
Mchezo huo uliochezwa usiku wa kuamkia leo Februari 16, 2022, mabao yamefungwa na Cristiano Ronaldo ambaye...
Habari,
Semina ya waamuzi wa NBC Premier League Tanzania Imeanza leo kama ambavyo ilivyoelekeza TFF. Semina hiyo itachukua siku tatu na hapa chini ni baadhi ya picha ya Matukio yanayoendelea kwenye semina hiyo.
Simba imeshinda mchezo wake wa ligi kuu bara dhidi ya wajelajela wa Tanzania Prisons, goli pekee la Meddie Kagere alilofunga kwa mkwaju wa tuta dakika ya 64 baada ya muamuzi wa mchezo kusema beki wa Tanzania Prisons kanawa mpira kwenye eneo la hatari.
FT: Simba SC 1-0 Tanzania Prisons
64'...
NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC.
Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki?
Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF
UPDATE
Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba.
17” Kagera Sugar 0...
Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha?
Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha...
Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa kwa Mshangao huo Uzi siuoni (kwa Lugha sahihi ni kama vile Umefutwa) kwasababu wazijuazo Walioufuta...
Wakati aina mpya ya kirusi cha corona kinachofahamika kama Omicron kikiendelea kusambaa kote Uingereza, ligi kuu ya Premier League ya England imefuta mechi kadhaa kutokana na ongezeko la maambukizi, pamoja na wachezaji wengi kujiweka karantini.
Mechi ya leo kati ya Leeds United na Aston Villa...
Nashukuru leo nilibahatika Kukaa Ukumbi Mmoja waliokuwa baadhi ya Wakufunzi wa Waamuzi nchini, Kiongozi Mmoja wa TFF na Mchezaji wa zamani wa Yanga SC Magomeni Mapipa ambapo Wote kwa pamoja walionekana Kuchukizwa na Penati ya Kiuonevu dhidi ya Namungo FC na ya Kuipendelea ( Kuibeba ) Yanga SC...
Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu.
Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na...
Habar..
Kila team pale epl Ina nickname yake
..orodha za team zote na nickname zake
1.Liverpool( The reds)(Majogoo)
2.Mancity(The citizens)
3.chelsea(The blues🌐)
4.Manchester United(The red devil's🛑) mashetani wekundu
5.Everton👤(The toffees)blues
6.Brighton and have Albion(The seaguls,the...
Brentford will play in the Premier league next season, it is the first time in 74 years after beating Swansea 2-0 in the Championship Play - Off final.
Huu ndio uvumilivu tunaousema miaka yote, siyo timu yako mbovu ikishindwa kupanda daraja miaka mitatu tu mnaanza kushikana uchawi.
Taarifa...
Mkenya huyu anayeitwa Henry Ochieng amejiunga na timu ya watford. Kuna Mkenya mwingine anayeitwa Clarke Oduor ambaye naye anachezea Barnsley. Kwa hivyo sasa hivi kuna Wakenya wawili wanaochezea harambee stars na pia wanacheza kwenye English premier league.
=======
Henry Ochieng: Championship...
English Premier League has a long history. Some of clubs of the League is even older than League itself. Each club has their own culture, where their nickname come from. Let's talk about some interesting nickname of English Premier League clubs.
Manchester United - Red Devil
When Salford's...
Premier League, ligi kuu soka ya Uingereza ikifahamika vyema hapo awali kama BPL kabla ya mabadiliko mnamo mwaka 2015 toka BPL iliyokuwa ikiuza kupitia chapa ya Barclays Premier League chini ya mkataba wa udhamini kutoka kampuni maarufu inayoshughulika na masuala ya kiuchumi, fedha, uwekezaji na...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani;
Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia majiji mengine makubwa kama Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka katika Tanzania...
Wakati wa mechi kati ya Burnley na Manchester City, iliyochezwa Jumatatu, Juni 22 katika uwanja wa Etihad, kuna ujumbe uliosema “White Lives Matter” ulipitishwa uwanjani hapo kwa ndege
Ligi ya Uingereza ilionyesha kuunga mkono juhudi za watu wanaoendelea kupinga ubaguzi wa rangi unaoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.