propaganda za ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa Watanzania bado ni mdogo, inaelekea propaganda za CCM zimeshinda

    Baada ya CCM kupitia serikali yake dhalimu kupiga marufuku mikutano ya siasa na wao kuanza kumtumia waziri mkuu wao fake Mwigulu kumwaga sumu ya kuwa maandamano yameandaliwa kuleta vurugu na wao CCM ndo watunza amani. Hayo maneno naona yameanza kukubalika kwa baadhi ya wananchi na kuamini kuwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Shitukeni, CCM inamtumia waziri mkuu kupiga propaganda za CCM kwa kofia ya kuwa yuko kwenye shughuli za kiserikali

    Chadema ni wakati sasa wakutoa tamko kali. Hii ya kusema kuzuia mikutano ya kisiasa ni danganya toto tu, wao CCM wanaendelea na mikutano kama kawaida kupitia waziri mkuu wao fake. Leo huyo waziri mkuu fake alichokuwa anaongea ni siasa tu. Na ataendelea hivyo nchi nzima kwa kisingizio ni ziara...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi zote ni propaganda za CCM tu na chawa wao. Behind the scene, Samia alisha - surrender kitambo kwa mwamba Tundu Lissu. Fuatilia mjadila👇🏻

    Wote nimewaelewa Ila kuna mmoja hajamuelewa Mwingine kwako MangeKimambi na kaka @HecheJohn Tusiwape Mwanya CCM kupata upenyo wa kutugawa kupitia nyufa za Majadiliano ya namna ya tunavyojadili masuala, Kwa namna yeyote ile @TunduALissu Lissu lazima awe out na ndo suala muhimu! Tunajua...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania Kamwe tusilogwe tukasahau agenda zetu nyeti kwa propaganda za kijinga za CCM

    GT. Narudia tena kuwaambia kwa sasa CCM wanawaza uchaguzi wa 2030 tu hawana jingine...Mwigulu kaja kama master mind wa kutengeneza upumbavu ili siku zisonge mbele. Tusipokuwa makini mtachezewa hapa propaganda za kipumbavu mara paaa 2030 hii hapa hakuna lolote la maana lililofanyika. Tuna...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa hizo ni propaganda huwezi mkiki wa CCM

    Siasa za mchakamchaka huzuwezi. Hujawahi kuwekwa lupango, hujawahi kupigwa kirungu. Hujawahi kufikia level ya Wenje ktk harakati za upinzani za kwenda ughaibuni Umechukuliwa kama favor baada ya kuwa kampeni manager wa Lissu ambae ametoa kama zawadi ya cheo hicho. Unaposema kwamba bila ya tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…