Nilibaatika kusoma shule ya vipaji maalumu tu punde baada ya kumaliza darasa la saba,, uko nilibaatika kukutana na marafiki wa aina mbalimbali,
Shule yetu ilikua ni ya bweni. Ambapo ilikua ni jinsia moja tuu, kama mnavyojua kwamba, "kwenye msafara wa kenge MAMBA naye huwa akosekani...