putin

  1. S

    Mabeberu yalalamika kuwa mfuasi wa Putin (Giorgia Meloni) ndio kachaguliwa kuwa Prime minister wa Italy

    Mabeberu yanalalamika kuwa mtu wa Putin ndio ameshinda kura za kuwa Prime minister nchini Italy. Binti mrembo aliyechaguliwa kuwa Prime minister anaitwa Giorgia Meloni. Hapo kabla, Uingereza ililalamika na kulialia kuwa Georgia Meloni ni hatari kwa Italy na EU kwa ujumla...lakini wa-Italy...
  2. MakinikiA

    Vita vya Ukraine: Putin hadanganyi kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia, EU yasema tupo wakati hatari.

    Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
  3. MK254

    Putin arekodi meseji kadhaa za kuhamasisha vita vita, kisha atoweka zake

    Haijabainika alikojificha, ila kaacha amejirekodi video zake kadhaa za kutia hamasa ya watu wake wapigane Ukraine kisha akatoweka.......... Huku maandamano yakirindima nchi yote. Vladimir Putin has reportedly hunkered down in a remote palace on ‘holiday’ as widespread protests spread through...
  4. MK254

    Putin amfuta kazi jenerali mwingine

    Anaendelea kutapatapa hajui mchawi wake nani, anayemroga yuko wapi... Vladimir Putin has sacked its highest ranked general in charged with managing its military’s logistics operations in Ukraine. Russia’s Defense Ministry announced Dmitry Bulgakov was being transferred to a new role and will...
  5. Zanzibar-ASP

    Kuna kila dalili kuwa Putin kaanza kukata tamaa!

    Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita. Kuna dalili fulani ambazo zinazoonyesha kama vile Putin pumzi inaelekea kukata. Hizi hapa chini ni baadhi ya sababu muhimu zenye...
  6. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Mrusi wa Buza: Barua ya wazi kwa Rais Putin

    Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
  7. MK254

    Tiketi za ndege zimekwisha, Warusi wanaitoroka nchi yao baada ya hotuba ya Putin

    Putin ametoa hotuba itakayoanza kulazimisha wanajeshi wa akiba.... Tiketi za ndege zimeisha, hamna ndege, watu wanaikimbia nchi, tatizo ni mataifa machache yanawapokea Warusi kwa sasa.... Russian President Vladimir Putin has announced the partial mobilization of his country's reservists...
  8. Suzy Elias

    Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

    ...mchezo mchafu unaoendeshwa na Nato huko Ukraine tulishautambua. ....tumeitisha jeshi lote la akiba. ....hivi punde, Dunia itashuhudia isichokuwa ikikitarajia. Putin. Nb: Ndugu zangu tuombe Mungu atunusuru.
  9. 5

    Rais Erdogan wa Uturuki: Putin yuko tayari kumaliza vita

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anaamini kuwa mwenzake wa Urusi anatafuta njia ya kukomesha vita alivyoanzisha Ukraine, na kwamba "hatua muhimu" itachukuliwa. Alisema mtazamo wake kutokana na mazungumzo ya hivi majuzi na Vladimir Putin ni kwamba alitaka "kumaliza mzozo huu haraka...
  10. MK254

    India yamchoka Putin, yamuagiza aache vita

    Maswahiba wa Putin wameanza kuchoka kumsubiri, walitegemea ataparamia Ukraine kwa siku chache ila kwa ambavyo anapokea za uso, wameanza kumsema sema. India imejitokeza wazi, bado China na Iran, sema kwa China mnufaika wa hivi vita itaendelea kuomba visiishe. Iran haiwezi kubadilisha msimamo...
  11. Narumu kwetu

    Rais wa marekani amempa onyo kali raisi wa Russia ,kwamba kamweasijaribu kutumia silaha za kemikali

    Rais wa marekani amempa onyo kali raisi wa Russia ,kwamba kamweasijaribu kutumia silaha za kemikali au maangamiz makubwa maana itageuza mwenendo mzima wa hii Vita. Kumbuka US siyo mandonga huwa akikuonya ukikaid unapata haki yako.Biden ameongeza kuwa ikiwa Russia itakaid basi dunia itashuhudia...
  12. Gama

    Rais Zelensky apendekeza dunia kumtambua Rais Putin kama gaidi

    Baada ya rais wa Ukraine kutembelea maeneo yaliyokombolewa na kukuta makaburi ya haraiki amependekeza viongozi wa dunia wamuorodhese rais wa Urusi katika orodha ya magaidi na wanaofadhiri ugaidi Soma hapa Tortured, shot, killed’: Zelensky accuses Russia of genocide after Izyum mass grave...
  13. MK254

    Video: Mamluki wa Putin apokea kichapo na wanajeshi wa Urusi hotelini

    Mwanachama wa kikosi cha mamluki wanaoitwa Wagner, ambao Putin anawatumia kupigana huko Ukraine, anaonekana hapa kwenye video akigombana na wanajeshi wa Urusi, kisha ghafla akapokea kichapo cha mbwa, watu wana hasira... Videos posted to Telegram on Friday apparently show a Russian mercenary...
  14. MK254

    Putin alikua amekoswa koswa kuuawa mara sita, ndani ya nchi yake

    Jamaa anaishi maisha magumu sana kama kibaka, anaogopa hadi kivuli chake ndani ya nchi yake pamoja na utajiri wote ule. Anawindwa kuuawa kila siku tena ndani ya nchi yake supapawa ambapo ndiye rais. Najaribu kuwaza maisha wanayoishi wahudumu wake wakiwemo wapishi, lazima wananyimwa amani sana...
  15. MK254

    Putin anusurika jaribio la mauaji

    Jamaa anaishi maisha magumu sana, anasakwa kwa kila namna, wamekamatwa hadi walinzi wake wa karibu baada ya jaribio la kumuua... ======= Vladimir Putin has survived an assassination attempt while in his limousine, it has been claimed. The Russian president is said to have been targeted when...
  16. YEHODAYA

    Putin katelekeza wanajeshi wake toka vita ianze miezi 8 sasa hajawahi watembelea askari wake walio msitari wa mbele Ukraine

    Vita ikilipuka amiri Jeshi mkuu huwa ana kawaida kuwatembelea wapiganaji walio msitari wa mbele vitani kuongea nao na kuwatia moyo na kuwasikiliza Raisi Zelensnkyy wa Ukraine amekuwa akiwatembelea mara kwa mara Askari wake walio mstari wa mbele na kupokelewa kwa shangwe na Askari wake Putin...
  17. MK254

    Mapigano yazuka kati ya walinzi wa mpaka wa Kyrgyzstan na Tajikistan

    Siku zote Urusi amekua akikingia kifua Armenia, na yupo hadi na base pale, ila ilipobainika Urusi hana chochote cha maana kwenye medani za vita baada ya aibu anayopata Ukraine, ghafla Azerbaijan wakaanza kuchakaza Armenia. Na mtanange haujaishia hapo, kunao hawa Kyrgyzstan na Tajikistan...
  18. MK254

    Tajiri mwingine, mndani wa Putin afa kwa kuanguka kutoka kwenye meli, wanamalizwa aisei

    Nani anawaua hawa na kwa nia gani, maana mpaka hivi vita vinaisha matajiri wengi wa Urusi watakua wamekufa sana.... Another Russian energy boss has died in mysterious circumstances after "falling overboard" from a boat, according to local media reports. Ivan Pechorin's body was found washed...
  19. Championship

    Je, Rais Putin ataenda kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth?

    Hili ni swali najiuliza. Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine? Pengine muda utatupatia majibu.
  20. MK254

    Jamaa wa karibu sana na Putin aibuka kwenye TV na manundu usoni na hataki kusema nini kimemsibu

    Ni dhahiri kachezea kichapo, ngumi za kwenye uso, ila alipohojiwa nani kampiga akagoma kutoa jibu. Kwa hasira alizo nazo Putin sasa hivi inabidi kukaa mbali naye, hata kama una urafiki naye wa karibu kiasi gani, utachezea za uso muda wowote... Ukraine inamuuma kichwa sana kwa kweli...
Back
Top Bottom