putin

Vladimir Vladimirovich Putin (; Russian: Владимир Владимирович Путин, romanized: Vladimir Vladimirovič Putin, Russian pronunciation: [vɫɐˈdʲimʲɪr vɫɐˈdʲimʲɪrəvʲɪtɕ ˈputʲɪn]; born 7 October 1952) is the president of Russia since 2012, previously holding the position from 2000 until 2008. In between his presidential terms, he was also the prime minister of Russia under President Dmitry Medvedev.
Putin was born in Leningrad and studied law at Leningrad State University, graduating in 1975. Putin was a KGB foreign intelligence officer for 16 years, rising to the rank of Lieutenant Colonel before resigning in 1991 to enter politics in Saint Petersburg. He moved to Moscow in 1996 and joined president Boris Yeltsin's administration where he served as director of the FSB, the KGB's successor agency, and then as prime minister. He became acting president on 31 December 1999, when Yeltsin resigned.
During his first presidency, the Russian economy grew for eight straight years, and GDP measured in purchasing power increased by 72%. The growth was a result of the 2000s commodities boom, recovery from the post-Communist depression and financial crises, and prudent economic and fiscal policies. In September 2011, Putin announced he would seek a third term as president. He won the March 2012 presidential election with 64% of the vote. Falling oil prices coupled with international sanctions imposed at the beginning of 2014 after Russia's annexation of Crimea and military intervention in Eastern Ukraine led to GDP shrinking by 3.7% in 2015, though the Russian economy rebounded in 2016 with 0.3% GDP growth and the recession officially ended. Putin gained 76% of the March 2018 presidential vote and was re-elected for a six-year term that will end in 2024.Under Putin's leadership, Russia has experienced democratic backsliding. Experts do not generally consider Russia to be a democracy, citing purges and jailing of political opponents, curtailed press freedom, and the lack of free and fair elections. Russia has scored poorly in Transparency International's Corruption Perceptions Index, Economist Intelligence Unit's Democracy Index and Freedom House's Freedom in the World index (including a record low 20/100 rating in the 2017 Freedom in the World report, a rating not given since the time of the Soviet Union). Human rights organizations and activists have accused Putin of persecuting political critics and activists, as well as ordering them tortured or assassinated; he has rejected accusations of human rights abuses. Officials of the United States government have accused him of leading an interference program against Hillary Clinton in support of Donald Trump during the U.S. presidential election in 2016, an allegation which both Trump and Putin have frequently denied and criticized.

View More On Wikipedia.org
  1. Afisa wa ngazi ya juu Urusi, ambaye mndani wa Putin auawa kwa bomu Ukraine

    Huyu alikua anasimamia mji wa Berdyansk mpaka sasa haijaeleweka nani kamfanyizia, aidha itakua wanajeshi wa Urusi au makundi yanayounga mkono Ukraine. Kalipukiwa na bomu lililotegeshewa kwenye gari lake....watakufa sana hawa. Russian colonel and one of Vladimir Putin’s ‘closest allies’ was...
  2. Mikhail Gorbachev kazikwa kiaibu sana ila yatamrudia Putin

    Huyu aliyekua. Rais wa Russia kipind hicho cha ukomunist ,alifanya mengi mazuri ,ila kuna mambo alichemka ,siyo mbaya kuna kufeli plan ,kufel plan siyo kwamba binadamu anapenda ,ila Putin kaonyesha utoto sana kutihudhuria msiba wa muasisi mkubwa nchini Russia . Ilanatabiri Putin ataipeleka...
  3. Video: kwa huu mkumbatio wa meza, maskini Putin anatia huruma, anateseka jamaa

    Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....
  4. Urusi: Rais Putin hatohudhuria mazishi ya Gorbachev

    Taarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa Kisovieti aliyejipatia sifa nyingi kutoka Mataifa ya Magharibi. Gorbachev, ambaye alifariki Agosti 30,2022...
  5. Putin hana unafiki, haendi mazishini, siyo kama wengine!

    Kama haumpendi mtu kwa nini kujibaraguza kuhudhuria mazishi yake kama akifariki tena wengine mpaka wanatoa hotuba kwenye mazishi lakini you don’t mean it, Rais wa Urusi Putin ameonyesha njia baada ya kifo cha Rais wa mwisho wa USSR kwenye mazishi yake Gorbachev haendi, Putin siyo fun wa...
  6. Putin hatakuwepo katika mazishi ya raisi aliyemtangulia

    Soma hapa na jiulize kwa nini Ibaki kusema tu Putin yupo smart sana na mambo yake. Vladimir Putin Will Not Attend Mikhail Gorbachev Funeral: Kremlin "The farewell ceremony and funeral will take place on September 3 but unfortunately the president's work schedule will not allow him (to attend),"...
  7. S

    Bloomberg: Putin azikusanya China na India nchini Urusi kwa mazoezi ya kivita akiibeza Marekani

    Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1. Bloomberg yasema hatua hiyo ya Putin kuyakusanya mataifa makubwa nchini Urusi inazizodoa na kuzivunjavunja jitihada za Marekani...
  8. Urusi: Rais Putin kuwalipa Tsh. 398,436, raia wanaohamia kutoka Ukraine

    Rais Vladimir Putin leo Agosti 27, 2022 amesaini amri ya kuwalipa kiasi hicho cha fedha watu wote walioondoka Ukraine na kuhamia Urusi wakiwemo Wastaafu, Wajawazito na Walemavu. Amri hiyo iliyowekwa kwenye tovuti ya serikali, inaweka malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa waliolazimika kuondoka...
  9. Putin mpaka anatamani kutumia hawa wanajeshi wa Korea Kaskini licha ya njaa yao na unyonge

    Kwa sasa Urusi inaomba msaada wa wanajeshi kutokea popote, hadi wanafuata hawa wa Korea Kaskazini, sema itabidi kwanza walishwe chakula kama miezi miwili ndio waingie kwenye mapambano North Korea offering 100,000 troops to help defeat Ukraine, Russian state media says...
  10. Urusi: Rais Putin aagiza wanajeshi wapya 137,000 kuajiriwa

    Leo Agosti 25, 2022 Putin ametia saini amri ya kuongeza ukubwa Jeshi kutoka Wanajeshi Milioni 1.9 hadi Milioni 2.04 ikiwa ni miezi 6 tangu kuanza Vita baina yake na Ukraine. Kwa mujibu wa agizo lililotolewa leo kupitia Wizara ya Sheria, ongezeko hilo linajumuisha ajira mpya za Wanajeshi 137,000...
  11. Putin alalamikia USA kwa kusababisha vita vya Ukraine vichukue muda mrefu

    Aishutumu USA kwa kuipa Ukraine silaha ambazo zinampa shida kwenye kujaribu kuparamia Ukraine. Sasa hivi Warusi wamekwama kwenye mahandaki inakua vigumu kupiga hatua maana mziki wa HIMARS umekua balaa. ============= Russian President Vladimir Putin accused Washington on Tuesday of drawing out...
  12. Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

    Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache.... Ukraine said several shells landed near a facility where...
  13. China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  14. A

    Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

    Mambo yanazidi kuwa magumu na kama nilivyokwisha kusema kwamba Putin kashapoteza Dira ya vita Duniani: Vita ya Ukraine, Putin amepoteza Dira, mpaka sasa haelewi afanyeje kumaliza vita aliyoianzisha. Kwa sasa Ukraine inazidi kupata nguvu ya hali ya juu tofauti na mwanzo kabisa, kwa sasa Ukraine...
  15. Wahudumu wa afya wa ziada waitwa kumhudumia Putin baada ya afya yake kudorora

    Tarehe 22 julai rais putin alilalamika kupata kichefuchefu kisicho cha kawaida hali iliyosababisha matabibu zaidi kuitwa ili kumhudumia. Taarifa hizo zilitolewa katika mtandao maarufu wa telegram katika chaneel ya SVR inayomilikuwa na Luteni Generali wa zamani katika vikosi vya ujasusi vya...
  16. PUTIN anavyowachanganya WEST hadi wanahisi ana "CLONE" yake 😅😅😅😅

    Vladimir Putin may have used a body double during his visit to Tehran, according to the head of Ukrainian military intelligence. The Russian leader looked awkward as he came down the steps of his flying Kremlin presidential plane, says Major-General Kyrylo Budanov. He added that Putin seemed...
  17. Mkuu wa CIA kasema Putin ni mzima wa afya

    Kama mnakumbuka miezi kadhaa iliyopita zilitembea rumors kwamba Putin anaumwa siujui ni kansa, wakasema anaumwa sana anakaribia kukata moto wengine walifika mbali Wakasema ameshakufa tusubiri tu breaking news , tena humu Kuna mdau ndio alikuwa kinara wa kusambaza hizo taarifa huku...
  18. Putin: Acheni kunywa Coca Cola, ni kemikali tupu, ni sumu

    Putin amewataka wananchi wa Urusi kuachana na kunywa sumu ama kemikali kutoka kwenye vinywaji baridi kama Cocacola na wapendelee kunywa vinjwagi vya asili ambavyo havina sumu na pia sio kemikali. Putin anasema Coca Cola ni kemikali tupu na ni sumu. Mwaka .2012 Donald Trump aliwahi kusema Pepsi...
  19. Putin ajisahau na kukiri kwamba Urusi inapitia kipindi kigumu kwenye teknolojia

    Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake. ===== Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country. But the...
  20. M

    SI KWELI Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifanya kazi Nchini Tanzania

    Picha ambayo baadhi ya watu wanadai kuwa inamuonyesha raisi wa Urusi Vladimir Putin akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru kusini mwa Afrika ilisambaa na kutumiwa na baadhi ya watu kuhalalisha kuwa nchi za kiafrika zinapaswa kuunga mkono Urusi katika vita vya Ukraine. Picha hiyo ilisambazwa sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…